makofi

Teddy Makofi is a Zambian boxer. He competed in the men's light welterweight event at the 1980 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. Netanyahu na wenzake walisema Gaza hamna njaa mpaka congress wakampigia makofi, leo analalamika kuwaona mateka wake hali zao

    Wanaukumbi. All three Israeli captives were starved because of Israel. Israel controls the borders and the aid going in. It is Israel that imposed starvation on Gaza as a whole. The irony is that the same Israelis who claimed there was no famine in Gaza and ignored the suffering of Palestinian...
  2. Huu mchezo wa kuzabana makofi na bongo upo?

    Aisee huu mchezo sio poa yani unazabwa kofi mpk unaskia marue marue. Kibongo bongo mechi zake zinachezewa wapi?
  3. Uchawa hadi msibani! MC awataka waombolezaji wampigie Rais Samia makofi baada ya salamu msibani kwa Mafuru

    Wakuu Nimeshangazwa na namna MC wa msiba aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Lawrance Mafuru alivyoomba waombolezaji wampigie Rais Samia makofi baada ya kutoa salamu zake. Katika mazingira ya msiba, ambapo wengi huwa wamezama katika huzuni na unyenyekevu, ombi hilo lilionekana...
  4. Washtakiwa Wapiga Makofi Wakihukumiwa Faini Ya Tsh 40000/=

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewahukumu Watanzania 64 kulipa faini ya Sh40,000 kila mmoja au kwenda jela miezi sita baada ya kupatikana na hatia ya kuondoka nchini kwenda Afrika Kusini bila kufuata taratibu za uhamiaji. Walihukumiwa adhabu hiyo katika kesi ya jinai namba 31302 /2024 ni...
  5. M

    Hivi ni sahihi kuipiga makofi msibani?

    Leo nilikuwa kawe kwenye msiba wa Askofu Jonathan kwanza nilikuwa nahuzuni kweli moyoni. Mpaka pale alipo panda Askofu mkuu wa makanisa ya Calvary akatoa maneno ya kuchangamsha kusahaulisha msiba kidogo moyo ukalainika huzuni ikapungua Katika kuendelea endelea pale akatoa maneno mazuri...
  6. Nimepigwa makofi na mke wangu

    Hii ndoa inaenda kunishimda kwa kweli Na sijui nifanyeje wakuu kwasababu ninawawaza watoto Wangu hiyo inanipa mawazo sijui nifanyeje sijui maana kila siku mimi ni wa kupigwa na mke wangu tu kila mara tu yaani hauipiti siku bila mimi kupigwa na mke wangu kosa sometimes silijui kwahiyo mie nabaki...
  7. Ni sahihi kupigwa na Mwenzi hata kama umekosea?

    Kupigwa makwenzi, makofi, ngwara, ngumi au mateke na mwenzi wako wa kike, hadharani au faragha ni sahihi hata kama umekosea? Jamaa, jirani mwenye ndoa yake mtaani, na ana nafasi kubwa tu miongoni mwa mashirika ya kutoa huduma za kifedha mjini, ameamua kwenda kuripoti kwa mjumbe baada ya...
  8. Tuliomuona Guede ni Garasa tukutane tunamuomba Radhi na pia tukawawambe Makofi waliotumwa Wachovu Fred na Job

    Kwa Mechi zangu Tatu tu nilizotulia na Kumtizama Kiufundi Guede nimelazimika kuuweka pembeni Usimba wangu na Kubakia Mwanamichezo na Mchambuzi kwa kusema kuwa hakika Yanga SC wamepata Mshambuliaji wa uhakika ambaye Natabiri atakuja kuwasaidia mno. Receiving yake, Positioning yake, Anticipation...
  9. P

    Ni kwamba nchi ilikuwa na barabara nzuri muda wote mvua za El Nino ndio zimekuja kuharibu?

    Katika kipindi cha maswali na majibu, wakati maswali yakielekezwa kwa Naibu Waziri, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Ndg. Deogratius Ndejembi, wabunge wote wanauliza nini mpango wa serikali baada ya barabara kuharibiwa na mvua za El Nino. Yaani ni kama huko...
  10. Diwani wa CCM akamatwa kwa kumpiga makofi Mwenyekiti wake

    Diwani wa Kata ya Ilenda, Halmashauri ya Buchosa, Sengerema mkoani Mwanza kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mneke Mauna anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, akituhumiwa kumshambulia na kumpiga makofi Mwenyekiti wa CCM wa kata hiyo, Lazaro Lubalika. Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  11. Pre GE2025 Hofu: Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba na Sheria aliwazuia Wajumbe kumpigia Makofi Mnyika

    Joseph Mhagama ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Katiba ya Bunge, akiongoza vikao vya kupokea maoni juu ya marekebisho ya Sheria za Uchaguzi , amewazuia wadau kumpigia makofi , Katibu Mkuu wa Chadema alipokuwa anawasiliaha Nondo kabambe mbele ya Kamati hiyo . Yaani Mhagama roho...
  12. Katiba iruhusu viongozi kukata makofi wafanyakazi wazembe

    Kuna wafanyakazi wa serikali wanakera sana. Akilini mwao wanawazaga sijui vitu gani. Katiba ingeruhusu viongozi wakuu wawakate makofi pale inapobidi.
  13. Nilitaka kumpiga makofi Afisa wa uhamiaji

    Kwa muda mrefu Nilikuwa nasikia kwamba Maafisa Uhamiaji wengi ni wababaishaji, Leo nimeshuhudia kwa macho. Nilijaza fomu la maombi ya passport online Nikalipia kisha nika download na kuwasilisha Ofisi za uhamiaji mkoa. Afisa Aliyenipokea akaniuliza wewe ni kabila gani? Nikamuambia Maasai...
  14. F

    Ni sahihi kusema Talaka ya Malaya ni Makofi ?

    Habari wadau. Vijana wanasema talaka ya malaya ni makofi. Je wapo sahihi Nimeona tik tok vijana wanaimba na kucheza kwamba Talaka ya malaya ni makofi
  15. R

    Hakuna watu wa kuogopa kama wale walioanza kuwaza kuwa Makamu wa Rais, naamini leo walikuwepo Ikulu wanapiga makofi ila moyoni acha tu

    Mhe. Philip Mpango waliotumia mitandao vibaya wasamehe kwani wao waliamini kwenye kile walichosikia. Lakini pia yawezekana kabisa waliotumia mitandao ya kijamii vibaya wamefanya kazi ya Mungu kushinda ila za shetani. Nitakupa mfano ambao unaweza usiuelewe sana ila una umuhimu; MO alipotekwa na...
  16. Ewe mwanamke mumeo ukimkuta kwenye saloon hizi piga Makofi

    Hii ndo siri ya kambi kama hamjui nini huwa kinaendelea huko. Msiseme hamkuambiwa.
  17. R

    Leo Waziri Mkuu Majaliwa ni kusifia tu, kila mara utamsikia "Piga makofi mengi kwa Rais"!

    Leo 18/9/2023 Rais Samia anafanya mkutano Ruangwa Lindi, jimboni kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Majaliwa kila akiongea leo kidogo tu piga makofi mengi kwa Rais, Mh Rais umeleta maji piga makofi kwa Rais, kuna barabara piga makofi kwa Rais, piga makofi kwa Rais, piga makofi kwa Rais...
  18. Mtoto wa Rais wa Nchi ya Jamuhuri ya Afrika ya Kati awazaba Makofi wazungu huko Urusi.

    Evariste Touadera, mtoto wa Rais wa Afrika ya Kati Faustin-Archangel Touadera, ameonekana kwenye video (hapo chini) akiwashambulia maafisa wa Urusi katika kituo cha kurekebisha tabia huko Kislodovsk, Moscow. https://dai.ly/x8o0qen Evariste alilazwa hivi majuzi katika kituo cha kurekebisha...
  19. B

    Joseph Kasheku Musukuma alalamikia Wananchi wa Geita Vijijini kumpigia makofi Tundu Lissu

    Ni katika hatua za kujaribu kuzima moto wa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chadema. Basi Bwana Josefu Kusheku a.k.a Musukuma aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita. Huku wanacnchi wakimtaka ktk ufafanuzi wake ajikite kwenye vifungu vya mkataba. Wananchi hawataki kusikia maneno ya rejareja...
  20. Wanaume acheni tabia za kutupiga makofi kwenye makalio wakati wa kufanya mapenzi

    Sijui nyie mmeumbwaje jamani! Khaaaaa! Hivi aliyewapa kibali wakati wa sex kutupiga makofi makalio yetu ni nani? Aliyewaambia wakati wa sex ni wakati wa kupigana makofi nani? Unakuta jitu hata kukufikisha halikufikishi kazi kukupiga makofi tu makalioni ili lionekane linaweza mambo kumbe hamna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…