Simba wanapaswa kukubali kuwa wao ni timu ya pili baada ya yanga na kwa jinsi tunavyoenda huenda ikawa ya tatu.
Naona yanga wana mikakati mikali kama shetani.
Shetani anaweka makasisi,mitume,manabii na wachungaji feki wengi sana.Mnaweza kudhani mpo safari moja mkimwabudu Mungu ila siku ya...
Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ili saini mkataba wa makubaliano ya ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa na Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group (BCEG) ya China ambao uligharimu zaidi ya Sh. bilioni 31 na ulipaswa kukamilika Julai 2024.
Hayo yalisemwa Dar es...
Habari zenu wadau wa michezo.
Kwa ukweli nimeghadhibika na kauli ya afisa habari wa timu yangu ya SIMBA sc kwa kupost katika mtandao wa Instagram juu ya hii kadhia iliyotokea jana na anaonekana kuchukulia poa tu suala hili bil ya kujali gharama ambazo mashabiki tumezitumia kusafiri kuja Dar...
Meneja wa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally, amewasilisha ujumbe wa pole kwa mashabiki wa klabu hiyo kufuatia kuahirishwa kwa mechi yao leo.
Kupitia taarifa yake, Ahmed Ally ameomba radhi kwa mashabiki wote wa Simba, hususan wale waliotoka mikoa mbalimbali kwa ajili ya kushuhudia mchezo huo...
Kila mwaka, kila msimu, kila mechi – Simba na Yanga. Mashabiki wanapiga kelele, wanavunja viti, wanalia, na wengine wanashindwa hata kulipa kodi za nyumba kwa sababu ya klabu wanazoabudu kama mungu wa mitala. Soka? Hapana, huu ni upumbavu wa kiwango cha kimataifa.
Wanavalia jezi, wanajichora...
Mashabiki wa Simba wamepaza Sauti na kuhoji kama michango iliyoitishwa na Meneja Habari wa klabu hiyo kama ililipwa kama lilivyokuwa kusudio
Kimsingi kama timu inashiriki mashindano ya CAF, timu hiyo ikitozea faini pesa hiyo Huwa inakatwa kwenye pesa ambayo wangelipwa, wala haina haja ya timu...
Wanajukwaa la Sport habar,
Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika?
Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious?
Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena...
Wanajukwaa la Sport habar,
Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika?
Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious?
Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena...
Hakuna kitu kinachotukera ndani ya Simba kama Back Pass, mpira akishika Razak Hamza anarudisha kwa Camara, Che Malone akianzishiwa mpira anasogea nao halafu anamrudishia tena Camara, Kagoma naye hivyo hivyo,
Ngoma naye hivyo hivyo, yaani kurudisha nyuma kwa kipa Camara yaan Back Pass hata kama...
Mechi ya leo tutamlaumu bure Chasambi na kumsingizia kila jambo, ila ukweli unafichwa.Ukweli ni kuwa watu wanaosafiri na timu yetu mikoani sio waadilifu, wameanza kutuchomesha mahindi, mimi nilikuwa kimya kwa muda mrefu na nilitamani siku moja niwatahadharishe Simba kabla ya hata mechi na Tabora...
Simba sio timu mbaya, ni timu nzuri mno
Lakini laZima tubaki kwenye lengo mama kuwa tunatengeneza timu.
Timu yetu Bado changa kushindana Kwa ajili ya ubingwa, tusiwape wachezaji wetu pressure
Kuna mashabiki walijidanganya ati wanachukua ubingwa msimu huu
Utachukuaje ubingwa mbele ya Yanga...
Uongozi wa Klabu ya Simba Pamoja na wachezaji wamehudhuria Mkutano wa 18 wa Bunge leo tarehe 4 Februari, 2025, jijini Dodoma ambapo wapo jijini humo wakiwa wameweka kambi ili kuikabili Fountain Gate tarehe 6 Februari, 2025, shangwe nyingi zimesikika bungeni wakati wekundu hao wakitambulishwa na...
Vaibu la mashabiki wa Simba Mwembeyanga, Ahmed Ally achizika wakimkanda CS Constantine bao 2-0 na kuongoza kundi A kwa kufikisha alama 13.
Soma, Pia: FT: CAFCC: Simba SC 2-0 CS Constantine | Estadio Benjamin Mkapa | 19.01.2025
Jumapili mnyama anakwenda kushika nafasi ya kwanza katika kundi, mechi hiyo haitakuwa na mashabiki kwa sababu ambazo tayari zimeshatajwa na viongozi wetu.
Nawasihi sana mashabiki wa Simba wote twendeni Mwembe Yanga na wale ambao hamtakuwa na nafasi tubakie nyumbani kumwangalia Elia Mpanzu...
Tajiri dewj usione aibu kutuomba tuongezee tulichonacho ili timu isajili vizuri tuko tayari kuichangia timu
Hizo kelele na kebehi za mashabiki wa Yanga usizingatie sisi tuko tayari kuichangia timu yetu kipenzi simba ili isonge mbele zaidi ya ilipo sasa
Tuko tayari kuipigania timu yetu simba...
Kuna Timu moja nina uhakika wangekumbana na hili Rungu la CAF kama Wangesema wachangishane ili wakalipe Faini huko CAF kwa Mashabiki wao walivyo Masikini na Wabahili (Malugume) nina uhakika hadi hivi sasa wangekuwa na ama Shilingi Mia Tano (Jero) ya Sarafu au Elfu Moja (Buku) ya Karatasi.
Wakuu
CAF yaifanyia Ubaya Ubwela Simba SC
==
Timu ya Simba Sports Club imeamriwa kucheza mchezo mmoja bila mashabiki na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kufuatia vurugu zilizotokea Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi dhidi ya CS Sfaxien.
Adhabu hiyo itaathiri mchezo wao wa nyumbani...
Beki wa kimataifa Che Malone kupitia ukurasa wake wa Instagram anewaomba radhi mashabiki wa Simba na wadau wa soka kutokana na makosa aliyoyafanya ikiwemo lililoigharimu Simba January 13, 2024 nchini Angola dhidi ya Bravos , kwenye mchezo huo Simba alipata sare ya moja moja na kuipa nafasi ya...