Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, anatarajiwa kuanza mgomo wa kula leo, akipinga kile ambacho mawakili wake na chama chake wanaeleza kuwa ni ukiukwaji wa haki yake ya kuwasiliana kwa faragha na wanasheria wake akiwa mahabusu, wakati akisubiri hukumu ya kesi ya uhaini...