mengi

Mengi is a common masculine Turkish given name. It means "eternal", "without a beginning", "having no beginning". It is an Oghuz accented version of Mengü which is also a Turkish given name. Compared to Mengü, Mengi has an additional meaning: "happy".

View More On Wikipedia.org
  1. Uelewa mdogo wa jamii juu ya Uzazi wa Mpango, ni chanzo cha ndoa na mimba nyingi za utotoni

    Ukosefu wa Elimu ya Uzazi wa Mpango katika Jamii nyingi hasa Wazazi, hupelekea watoto wao kupata mimba za Utotoni ambazo nyingi husababisha ndoa za utotoni. Vijana wengi hawana Uelewa juu ya mabadiliko yao ya kimwili yanayoambatana na kuanza mahusiano ya kimapenzi kwenye Umri mdogo bila kuwa na...
  2. Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

    Maswali yanayojibiwa na hichi kitabu ni Mengi sana, mfano... 01. Upendo vs Maovu Biblia imeelezea sana hili neno upendo, faida zake na hasara zake, ni kwanini mwanadamu anapenda na n.k Tabia ya mwanadamu ni ubinafsi, uchoyo, wivu na mengine mengi Historia kubwa ya uwovu inapatika humo, taifa...
  3. D

    Kuwa tajiri hapa bongo si mchezo Kuna mambo mengi ya kupitia.

    Ukitaka kuwa tajiri let say ukiwa mfanyakazi lazima uibe sana kama wafanyavyo TRA hasa wa firodha na wafanyakazi wa bandari. Ukiwa dada lazima uliwe sana au uwategeshee Mimba matajiri ili watunze mtoto na wewe. Ukiwa mbunge au mwanasiasa lazima uue albino sana kama anavyofanya musukuma na...
  4. Angola walitangaza zabuni na DP World ikashinda na sasa yasimamia kitengo cha makontena bandari ya Luanda

    Naam, ni DP World Luanda Port. Bandari ya Luanda ni moja ya bandari kubwa nchini Angola kati ya bandari zake zikiwemo za Lobito na Benguela ambazo zipo pembezoni mwa bahari ya Atlantic. Lakini serikali ya Angola kwa kuona ufanisi mdogo uso na tija kwa uchumi wake ikaamua kutafuta mzabuni ambae...
  5. SoC03 Sitokusikiliza tena! Umenidanganya mambo mengi

    Ni miaka mingi imepita toka nikupe dhamana ya kuniwakilisha mimi mwanachi wa kawaida maneno yako matamu yalinipa faraja nikahisi kweli haya ni matunda ya uhuru wangu, Haukusita kunipa ahadi nyingi zenye matumaini ooh! Utahakikisha napata maji , Utahakikisha napata huduma nzuri za afya na...
  6. Selection ya kidato cha tano kuna mengi ya kujifunza

    Habari wanajamvi... Niende kwenye mada; mwaka huu TULIPATA habari kuwa wanaopangwa SAYANSI yaani PCM na PCB ni wenye daraja la kwanza tu tena wavulana ni 7-15 na WASICHANA ni 7-17... Ni jambo jema kuimarisha msingi wa elimu ili kujihakikishia wataalam bora hapo baadaye; Ninachojiuliza mimi ni...
  7. Hadithi Fupi: Vita vya Maji Mengi

    Na: Mwalimu Makoba "NI hadithi kama hadithi za sungura na fisi. Haihusiani na tukio lolote halisi." Sehemu ya Kwanza Hapo zamani za kale watu kutoka mbali waliwavamia Wenyeji. Watu hawa waliwachukua na kuwauza kama anavyouzwa mbuzi mnadani. Ili kujihakikishia Wananchi hawafurukuti au...
  8. Hakika watu tunakabiliwa na Magonjwa mengi, kila Ugonjwa unayo Dawa yake

    Salam wakuu, Nilipata kuhadithiwa kisa kimoja cha kweli kilichotokea miaka mingi huko India, nami nimeonelea nikiweke humu ili tupate kujifunza. Katika miaka ya mwishoni mwa 1800 na mwanzoni mwa 1900 katika kijiji kimoja huko India alitokea mwanamke mmoja aliyepatwa na ugonjwa wa ajabu wa...
  9. Ni kwanini maamuzi mengi ya Viongozi (Serikali) yanapingwa sana na wananchi walio wengi?

    Ni kweli kuwa huwezi hufanya jambo la kuwafurahisha watu wote. Na si kila mtu atapendezwa na mambo uyafanyayo hata kama ni mazuri kiasi gani, Ila basi angalau mambo yaliyo mengi ufanyayo yapendezwe na walio wengi.! Mie nachukulia JF kama case study. Ukiachana na watu wachache sana ambao wao...
  10. Chongolo ana muiga Magufuli kwa mambo mengi

    Ukimsikiliza anavyoongea, kutenda na kuamua Katibu Chongolo ni aina ya Magufuli ki utendaji kwa maana ya hapo na papo kwa kwa NIA NJEMA YA JAMBO LIENDE. mfano ni ziara yake kule Iringa hakika unaweza kutamani uendelee kuwashuhudia viongozi wachache majasiri wa aina yake waliobaki hapa nchini...
  11. Duniani kuna mambo mengi hatuyaoni ila dalili hizi ni ushahidi kuwa yapo

    Huwezi kuona kwa macho vidudu vingi tu kama vya malaria, typhoid, amoeba, nk mpaka vipimo! lakini dalili za malaria na typhoid zipo na unaweza kuzigundua tu na kisha ukajiridhisha kwa vipimo na kuanza tiba. Mikosi na nuksi dalili zake ni: -Kuchukiwa na watu wengi bila sababu -Kupanga kazi na...
  12. Akutwa hana hatia jaribio la mauaji baada ya miaka 33 jela

    MWANAUME mmoja huko California ambaye alikaa gerezani kwa miaka 33 kwa jaribio la kuua ametangazwa kuwa hana hatia na kuachiliwa huru baada ya kubainika kuwa hata hakuwepo eneo la tukio. Daniel Saldana, ambaye sasa ana umri wa miaka 55, alipatikana na hatia mwaka wa 1990 ya kufyatulia risasi...
  13. R

    TANZIA Joel Misesemo afariki dunia kwa kujirusha kutoka ghorofani jengo la Derm eneo la Makumbusho, Dar

    Pale Mwanga Tower, Makumbusho limetokea tukio la mtu asiyefamika kujirusha kutoka gorofani, ambapo inasemekana tukio hilo limetokea mapema leo majira ya saa kumi na moja asubuhi. Mpaka majira ya saa mbili asubuhi bado mwili wa mtu huyo ulikuwa eneo hilo. Taarifa zaidi zitakujia kadri...
  14. Jamii na makabila mengi yanataratibu zao, hii ya kurithi watoto imekaaje?

    Inatokea mzazi amefatiki, tuseme baba anatokea. Baba mdogo anawarithi watoto kuwapa tumaini la uwepo na baba Yao mzazi, Wakuu ikiwa baba mdg anakiwa KERO je ukiamua kujua maisha yako, akidai atakulaani inahusu hapa?..
  15. Mgomo wa wafanyabiashara una mengi ya kujifunza

    Nianze Moja Kwa Moja. 1. Sekta ya biashara ndiyo Kila kitu. Ieleweke kwamba watumishi wa umma wasipojifunza kwaambafanyabiashara ndiyo mfalme wa kada zote basi hawatarthubutu kugoma maana hawana nguvu. Serikali zote duniani biashara trade is another level. Zinaheshimu wafanyabiashara kupita...
  16. Hali ya mazingira ya uuzaji wa chakula katika maeneo mengi ya Stendi ni hatarishi kwa afya

    Salaam Wakuu, Katika maeneo mbalimbali ya huduma za kijamii kama vile stendi na hospitali ni kawaida mazingira hayo kuzungukwa na biashara mbalimbali za vyakula. Maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam hasa msimu huu wa mvua kumekuwa na uchafu uliokithiri maeneo ya vituo vya daladala. Hali...
  17. M

    Wizara ya Elimu, Taasisi ya Elimu. Mapendekezo yenu ya Rasimu ya mabadiliko ya Mitaala bado yana mapungufu mengi

    Nimesoma Rasimu ya Mitaala inayopendekezwa, kufuatia kile kinachoitwa mabadiliko ya mitaala ya Elimu nchini Nilichokiona katika mabadiliko hayo naweza kusema kuwa bado hakikidhi mahitaji ya Watanzania katika kupata Elimu bora ya kuwakomboa. Katika Rasimu hiyo inayoelezea mitaala ya Elimu...
  18. S

    Usiangalie kigezo cha "Mambo mengi" tu kwa mchumba wako zingatia na "Financial management skills" zake.

    Watu wengi sana huchunguza kigezo cha uchepukaji tu kwa mchumba wake kabla ya kuamua kufunga naye pingu za maisha. Mimi Sexless kama kungwi mzoefu naomba niwaase ya kwamba kuchepuka hakuepukiki na kunavumilika sana na wanandoa walio wengi, ili mradi tu mwenzi wako asikuone. Cha kuzingatia...
  19. Mnaopanda daladala mnashuhudia mengi ya ajabu

    Hellow African Jana nikikuwa na safari ya kwenda Chanika nikaona bora nitumie daldala kutokana na umbali pia folenii na marekebisho ta njia Nikiwa kwenye daladala nilikuwa nimesinzia kutokana na kuchoka tulipo fika sehemu fulani sikumbi kwasababu sio mwenyeji wa mitaa iyo nikawa nimetulia...
  20. M

    Kwanini Wabunge wanataka majimbo mengi zaidi?

    Binafsi sielewi kabisa sababu za Wabunge kupigania Majimbo yao yagawanywe ikiwa hatuna mfano bora wa maendeleo katika jimbo dogo. Kwanza, Vigezo vyote vilivyowekwa ndani ya Katika ya JMT havilingani kabisa na Uhalisia maana Zanzibar kuna majimbo hayakidhi vigezo hivyo na sidhani kama Katiba ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…