wakuu habari zenu,
Naomba kupata uzoefu, ni site gani nzuri ya online shopping,kati ya amazon,ebay, na aliexpress, kwa kununua simu ambayo nitakua na uhakika wa mzigo wangu kufika.
Huwa natumia aliexpress kwa kuagiza vimizigo vidogo vidogo, upande wa simu sijawah naomba uzoefu wenu wakuu.