"Huwezi badilisha kile unachovumilia, tumekuwa tukivumilia shida zilizosababishwa na CCM, imefika wakati sasa wa kuacha kuvumilia shida na kuifanya kama sehemu ya maisha yetu, hatuna sababu ya kuvumilia shida kwa sababu mamlaka inatoka kwetu hizi na kudai mabadiliko, wananchi tuache kuvumilia...