mtu

  1. JamiiForums Tanzania Je hii, ndiyo taswira kamili ya CCM? Mtu kama huyu hafai kuwa kiongozi

    Aliunga mkono mauaji na utekaji hadharani leo hii anapata teuzi. Hii ndio CCM👇
  2. R

    JamiiForums Tanzania KERO KERO ZA USAFIRI: Umekumbana na kero gani kwenye harakati za usafiri?

    Wakuu, Usafiri wa umma una vimbwanga yake, unaweza kukutana na jambo mpaka ukatamani ungekuwa na gari lako ili usikutane na masaibu hayo! Mabasi machafu, wazee wa kubadili ruti na kusema magari hayaendi hasa kukiwa na watu wengi kituoni ni baadhi ya kero nilizokutana nazo kwenye usafiri huu wa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Mahubiri na Matangazo ndani ya Mabasi ya Mikoani

    Ninawasilisha kero kuhusu watu wanaotoa mahubiri au kutangaza bidhaa zao ndani ya mabasi ya mikoani. Kwa kweli, jambo hili limekuwa kero kwa abiria wengi wanaohitaji kusafiri kwa utulivu. Safari ni muda wa abiria kupumzika, lakini si kila mtu anayekuwa safarini yuko katika hali ya kusikiliza...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ai IMEDONDOSHA BOMU LA NUCLEAR! 💣🔥 Mtu mmoja atumia Ai kutengeneza mbadala wa software za Adobe bure - Photoshop, Premiere Pro, Illustrator, n.k.

    Adobe imekuwa ikilalamikiwa na baadhi ya watumiaji wake kutokana na gharama za usajili na ada za kughairi huduma. Brandon Thomas ametumia uwezo wa AI kutengeneza programu zinazolenga kuchukua nafasi ya bidhaa mbalimbali za Adobe zitazokuwa bure na wazi, bila kuhitaji kulipia usajili. Watumiaji...
  5. JamiiForums Tanzania Mtu anayekuombea mafanikio, ni mwizi tu.

    Ili apate cha kuiba; wengine wanakuombea mabaya, mfano:- Daktari anataka uugue ili aende kukutibu Wakili anataka uwe na kesi ili aweze kusimamia Muuza majeneza anataka ufe ili auze majeneza Nabii anataka urogwe ili akutoe mapepo Mganga anataka urogwe na wachawi ili akupe tiba Askari anataka...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mtu pekee aliyekuwa na maono makubwa kuhusu miundo mbinu ya barabara ni Jakaya Mrisho Kikwete, Magufuli ndiyo aliturudisha nyuma!

    Nchi yetu barabara kuu km za 1. Dsm-Moro-Iringa-Mbeya-Tunduma(T001) 2. Chalinze-Moshi-Arusha-Namanga(T002) 3. Morogoro-Dodoma-singida-Nzega-Shinyanga-Mwanza(T003/T004) zilitakiwa njia ziwe njia 4 magari yasipishane. Badala yake angalia vipaumbele vya hovyo vya Magufuli; 1. Uwanja wa ndege wa...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna mtu alishapata simu ya Android iliyopotea kwa kuitrack location.?

    Nilipoteza simu Toka mwaka jana mwezi wa 9, nilifungulia loss report na nikatoa posho kdg kituoni kwamba simu itafutwe ila nikawa napigwa kalenda kila siku nikienda kituoni. Nahitaji kujua je, humu kuna ambaye alishapoteza simu akaipata kwa kutrack imei bila kutumia polisi, au mwenye uwezo wa...
  8. JamiiForums Tanzania Utambulisho Wetu: Kila Mtu na Fahari Yake

    Binadamu sisi tuna namna tofauti za kujenga utambulisho. Kila mmoja wetu ana eneo analojivunia nalo, linalomfanya ajisikie fahari hata kama hasemi wazi wazi. Mwingine ni kuonekana mtu wa familia. Mwingine kuonekana kasoma sana. Mwingine kuonekana ana hekima. Mwingine kuonekana ana maadili...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna mtu aliniambia kuwa hizi dola trillion 2.6 ambazo Afrika ilipokea kama msaada tokea mwaka 1960 ndizo zilizo changia Afrika kuwa ya kiduanzi zaidi

    Picha imejitosheleza maelezo
  10. JamiiForums Tanzania Kuna mambo watu wa dini huwa wanaamini na kuyatetea mtu mwenye fikra huru unabaki kushangaa tu.

    Kuna mambo waamini mungu huwa wanalazimisha na kuyatetea tu lakini hata wao wenyewe kwa akili za kawaida tu walipaswa kujua sio sawa 1. Kuhukumu/ Kulaani watu (watoto na wajukuu) kwa makosa ambayo hawajayafanya ya wazazi wao. 2. Kuruhusu utumwa, kununua na kuuza watu kama bidhaa. 3. Kuteua...
  11. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Mzee Magufuli alikuwa mtu mwema sana.

    Ameyasema hayo katika ibada baalumu ya shukrani aliyoalikwa na mchungaji Deus wa Pentekoste huko Mtama. Anasema pamoja na kumkosea mzee alikuwa anampigia simu kumsalimia na kumkumbusha kuwa asikubali kutumia ujana wake kuwatumikia mafisadi. " Sauti yake inanirudia mara kwamara usingizini"...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi kumbe mtu unajua destiny yako kadri unavyoishi

    Kwanza kabisa nipende kujitambulisha, You can call me King of hearts ♥️ Mimi ni mgeni humu(ila ni wenyeji pia) Nimekuja kugundua, kitu kimoja na nitatoa mfano hai Mtu hujua yeye ni nani, sio kwa maamuzi binafsi bali ni kwa kuishi na kufuata kile roho yake inamwambia, sio kile walimwengu...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake Acheni Umalaya jamani, Palipo na Hazina ya Mtu, ndipo palipo na Moyo wake . Kama Jamaa anakuhudumia Kila kitu, Siutulie?Mtaendelea kufa

    Dunia na Kila kitu vimebadilika. Watu hawaogopi Jela wala Kufa. Mtauliwa sana !!
  14. JamiiForums Tanzania Ila waafrika bwana!, mtu anaweza kugeuka kuwa paka ili asumbue watu usiku ila hawezi geuza makaratasi yakawa pesa

    Which is which
  15. JamiiForums Tanzania Unapokataliwa na mwanamke usiumie wala kujiona hufai. Kisaikolojia Wanawake wamebobea kufanya bad decisions

    UNAPOKATALIWA NA MWANAMKE USIUMIE WALA KUJIONA HUFAI. KISAIKOLOJIA WANAWAKE WAMEBOBEA KUFANYA BAD DECISIONS. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii siri hutokuja uambiwe popote. Na bahati nzuri siri nyingi nilishakupatia. Na hii ni mojawapo. Kisaikolojia mwanamke ni kiumbe ambacho kimebobea...
  16. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Mtu, Mfanyabiashara Na Siasa Zisizomuelewa Tena

    Mwandishi wa habari mkongwe, Ansbert Ngurumo ameandika makala hii kupitia tovuti yake ya Sauti Kubwa. Endelea... Freeman Mbowe. Kwa takribani miaka miwili sasa, Freeman Aikaeli Mbowe amekuwa akikabiliwa na kampeni isiyo ya kawaida ya kumchafua kutoka kwa baadhi ya wanachama, viongozi...
  17. JamiiForums Tanzania Utawala wa JF, pale inapokuja mtu kupost picha ya mfanya tukio au mhanga wa tukio ni vyema picha iwe yake mwenyewe na sio ikiwa na watoto wake wadogo

    Huu ndio utu. Hii ndio ethics Sio wema kabisa watoto hawa wawe exposed na kuwa targeted. Sio kila mtu anakili ya alfajiri, watu vichwa vyao vimejaa giza. Maxence Melo Cookie Payge Active 255Fixer
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Mtu anayesema 'Katiba haileti chakula mezani' ni mjinga na mpumbavu

    Huwezi kutenganisha katiba na maisha ya watu, huwezi kuitenganisha katiba na uchumi wa mtu, ajira ya mtu, afya ya mtu, elimu ya mtu. Swala muhimu si tu “katiba inaleta chakula” bali pia katiba inaweza kuathiri mazingira yanayowezesha watu kupata chakula, kazi na huduma mbalimbali. Katiba ndiyo...
  19. JamiiForums Tanzania Tunatimiza mwezi sasa hakuna kisa cha kutekwa mtu...

    Angalau tusherekee kama taifa kutimiza mwezi mmoja bila kuskia taarifa za kutekwa kwa raia wa kitanzania..... Hongereni sana vyombo vya ulinzi na usalama kuimarisha ulinzi...
  20. JamiiForums Tanzania Hakuna mtu aliyetenda dhambi kubwa duniani kama aliuegundua kuweka sponji kwenye sidiria.

    Yaani, ukiwa pale mashati bar njia panda ya mbweni huwezi kuamini macho yako. Dah! One man down, tena leo jumatatu mchana sijui ndio amekuja kula lunch alafu akamalizie pale DM Lounge. Nawasilisha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…