mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Hii naita 'upende utanunua usipende utanunua'. Mwaka wa kufosi watu hawana mchezo

    😂😂😂😂 Wakuu majuzi nilienda kumchek anko bush flani hivi one time. Nilifika mida ya jioni, nikalala kesho yake asubuhi nikaamka ile kutoka nje nikaona msululu wa ma pikipiki na baiskeli watu wamebeba mafurushi. Nikamuliza nikaambiwa ni wafanyabiashara na siku ile ilikuwa siku ya gulio au mnada...
  2. Dkt. Biteko aagiza Kigoma kuingizwa kwenye Gridi kabla ya Mwaka 2025

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha linatekeleza kwa kasi miradi ya umeme itakayounganisha Mkoa wa Kigoma katika gridi ya Taifa ifikapo mwishoni mwaka huu ili Mkoa huo usitumie umeme unaozalishwa kwa kutumia mafuta...
  3. Wajumbe wa UN waitaka Israel ijiondoe maeneo ya Wapalestina katika kipindi cha mwaka mmoja

    Mataifa 123 yameunga mkono tamko hilo,14 yamepinga na 43 wamejiondoa kupiga kura. Pindi Israel isipofanya hivyo basi kitakachofuata ni vikwazo dhidi yake. Wakati huo huo katibu mkuu wa UN ,bw Gueteres amesema Israel iache kutumia vifaa vya matumizi ya kiraia kama silaha za kivita. UN members...
  4. C

    Naingia katika biashara ya korosho za kurost naombeni order zenu wadau

    Jamhuri ya muungano wa Tanzania Amani iendeleee wananchi . Baada ya maneno hayo mazito napenda kuchukua fursa hii kuwatanabaisha ndugu zangu wajarsiriamali na wazalendo ,wapenda uhuru wapenda amani kokote mlipo duniani Huu uzi uwafikie watu wote Bila kupoteza muda nimekaa na kuwazua nikaona...
  5. Kama jana tu Gari limeanza Kufanyiwa Majaribio kama litafaa Mashindanoni mwaka 2025 limeleta shida Njiani je, likirekebishwa litaweza Kutuvusha vyema?

    Na Mimi GENTAMYCINE tatizo langu Kubwa siyo hilo Gari kwani tokea linaruhusiwa kuwepo njiani (barabarani mwaka 2021) nililiona kuwa ni Bovu ila Abiria wengi walikuwa Wanalitamani kwakuwa hawakuwa hawakumuelewa Dereva wake Mtata wa Mwanzo. Hata hivyo kwa sasa Mimi wasiwasi wangu mkubwa ni...
  6. Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii kufanyika Septemba 18-20, 2024

    Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii Septemba 18-20, 2024
  7. U

    Waziri Mkuu: Serikali imesajili miradi ya Dola Bilioni 8.65 ndani ya mwaka mmoja

    Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema ndani ya mwaka mmoja, Serikali imefanikiwa kusajili miradi 9,678 yenye thamani ya dola za Marekani milioni 8,658 hali ambayo inaonesha matokeo chanya ya uwekezaji nchini. “Miradi 9,678 yenye thamani ya dola za Marekani milioni 8,658 ilisajiliwa mwaka 2023...
  8. VC UDSM na DVC(PFA) mnajua kuwa Watumishi wenu hawajawalipwa malipo yaliyo nje ya mshahara karibia mwaka sasa.

    VC na DVC(PFA) UDSM mnajua kuwa Watumishi wenu hawajalipwa malipo yaliyo nje ya mshahara wa serikali karibia mwaka sasa. Je nini kimesababisha malipo kama Incentive, Airtime, Transport, Nyumba n.k kusimama na kusababisha wafanyakazi wa UDSM kuishi kinyonge sana? Hamlipi Watumishi waliochini...
  9. Mimi nilifanya mtihani wa darasa la saba mwaka 2013, wewe je?

    Ikiwa siku ya leo wadogo zetu wapo katika mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi, nawaombea wamalize salama na wafanikiwe kuwapa faraja wazazi wao kwa matokeo mazuri. Binafsi nilifanya mtihani huu mwaka 2013, share nasi ni mwaka gani ulimaliza elimu ya msingi...
  10. Vitu hatarishi vya kuepukana na kuachana navyo kabisa kabla hata mwaka 2024 haujaisha

    [.MUHIMU.]...Vitu HATARISHI Vyakuepukana Navyo na Kuachana Navyo Kabisa Kabla Hata MWAKA 2024 Haujaisha.... 1.Kutumia Muda mwingi Sana Kwenye Social Media . Kwenye mitandao, wewe ni mwandaa maudhui au mlaji? . Zaidi ya 90% ni walaji. . Unapoteza muda wako kuangalia maisha ya wengine. ...
  11. J

    Balaa la walimu waliozaliwa mwaka ya 1980

    Ualimu ni taaluma inayotaka nidhamu na maadili ya hali ya juu. Hilo ni kwa kuwa ndio taaluma inayohusiana moja kwa moja na malezi ya watoto. Hata hivyo, uzoefu unaonyesha kada hiyo imekuwa ikikabiliwa na changamoto mbalimball, Ikiwamo utovu wa maadili na ukengeukaji wa miiko miongoni mwa...
  12. G

    Ni mwaka wa tano sijaenda kanisani ila nasali na kusaidia watu naowambea Mungu awasaidie, Kanisani nitarudi iwe kama sehemu ya kusocialize zaidi

    Utaratibu wangu mara mbili au tatu kwa wiki nikitoka kazini mida ya jioni huwa napaki gari maeneo kadhaa kwa dakika 10 hadi nusu saa naanza kuzunguka nikiona bibi anauza karanga nampa elf 5 ntachukua karanga za mia sichukui chenji, mtoto anaeuza ndizi ntampa elf 2 naweza nisichukue ndizi...
  13. Tatizo la kunesa kichwa kwa mtoto wa mwaka mmoja

    Habari za asubuh wakuu, kama kichwa cha habari kina vyojieleza hapo juu.mimi ni BABA wa mtoto mmoja wa kike wa mwaka mmoja, mtoto amekuwa na tatizo la kunesa kichwa anapoangalia kitu kwa mara ya kwanza mfano akiangalia TV at the first look ananesa kichwa then anakaa sawa au akiangalia mtu,kitu...
  14. Mpenzi wangu aliniomba siku yake ya Birthday nimnunulie zawadi itakayo dumu mwaka mzima nimemnunulia Calendar kanuna

    Za sahizi wakuu. Wakuu nipo njia panda simuelewi huyu mpenzi wangu maana alitaka zawadi nimempa ananuna Au nimezingua wakuu
  15. Bodi ya Mikopo (HESLB) yasogeza mbele muda wa kuomba mikopo ya Chuo Mwaka 2024/25

    Wahitimu wa Diploma Chuo cha DIT hatujapata AVN Namba, tunashindwa kuomba Mkopo, tunaomba Bodi iongeze muda wa maombi KUONGEZWA KWA MUDA WA MAOMBI YA MIKOPO 2024/2025 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa...
  16. Iwepo sheria kuwalazimisha wafanyabiashara wote wenye turnover ya zaidi ya Tsh 400m kwa mwaka wawe na wahasibu angalau ngazi ya certificate.

    Hii ninashauri ili kupunguza tatizo la ajira na pia kusaidia kupunguza migogoro kati ya serikali na wafanyabiashara. Kuna kutokuelewana pakubwa kati ya serikali na wafanyabiashara kwenye hesabu zao. Mamlaka zinaona wafanyabiashara wanakwepa kodi huku nao wakiona mamlaka wanawaonea. Kupunguza...
  17. Ni mwaka wa 2 sasa bila kufanya mapenzi ni raha kweli kweli

    Hapo vip!! Mimi ni kijana rijali haswa ila baada ya kumchunguza kiumbe anayeitwa mwanamke kwa miaka mingi nimegundua sintoweza kuishi naye kwasababu kipindi cha nyumba nikiwa kwenye mahusiano mwanamke amekuwa chanzo ya kunipokonya uhuru na furaha yangu ya asili. Pili ninapoona ushetani...
  18. Dar es Salaam ya mwaka 1975 ilikuwa nzuri sana!

  19. Namba yako ya simu unayotumia sasa ulianza kuitumia mwaka gani?

    Mimi nilianza kuitumia mwaka 2008 enzi hizo unasajili bila NIDA na ndiyo laini yangu kuu mpaka leo yaani takribani miaka 16 sasa! Ya kwako umeanza kuitumia mwaka gani?
  20. Serikali imesitisha nyongeza ya mishahara ya kila mwaka (annual incriment) na tucta ipo kimya tuu

    Mwaka jana mama alitangaza kurudisha ile nyongeza ya kawaida ya kila mwaka baada ya kusitishwa na Raisi Magufuli, Pamoja na kupandisha vyeo wafanyakazi ambapo walikuwa wamesitishiwa .. Tumeona wafanyakazi wakipanda vyeo kwa mujibu wa sheria japo kuna miaka iliyodhulumiwa vyeo Yaani mwaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…