mwanamke

  1. Mwanamke akiwa na mkia anajiamini kuliko mwenye degree

    Eti ni ya kweli haya ? Naona reply nyingi kwenye nyuzi zangu kua wanawake waliojazia kwenda nyuma ndiyo kila kitu. Haya mtuambie mnayapendea nini matraaakoooo makubwa 🍑? Vipi wanawake wenye makalio makubwa, huwa mnapata special treatment kwa ajili ya maumbo yenu au ni usumbufu tu? PS: Sisi...
  2. Kicheche anageuka wife material pale anapokuwa ni sexy na mesmerizing. Bandidu anageuka attractive pale anapokuwa na pesa na ushawishi

  3. R

    Kwa research niliyofanya, Ukioa mwanamke kwao ni first born na kalelewa na wazazi wote ni wife material na wavumilivu

    Haya mambo hayana formula lakini tunachoangalia ni pattern, wanawake wengi wa kundi hili kuna vitu vingi wanafanana kwenye maisha ya ndoa. Conditions: Kwao wawe wawili au zaidi, watoto wa baba moja mama moja Awe kalelewa na wazazi wote, sio baba na mama walifarakana Kutakuwa kuna...
  4. Dalili 5 za mwanamke kufika kileleni.

  5. Kwenye Kila anguko la mwanaume nyuma yake Kuna mwanamke Mla Hela.

    Fanya research zako zooote Kisha utakuja kukubaliana namimi. Wengi wa wanaume walio firisika % kubwa wanawake vimeo wauza uchi walihusika pakubwa sana. Wengi wa wanaume walio anguka iwe kazini kiuchumi nk wasababishi ni wanawake. Ni mara chache sana mwanaume kufirisiwa na mwanaume mwenzake...
  6. Afrika Kusini yaomboleza kifo cha Mwanamke wa kwanza mweusi kuwa Nuclear Scientist

    Habari Wakuu! Mwanamke wa kwanza wa kiafrica kuwa nuclear physicist amefariki dunia tarehe 9/02/2025 akiwa na umri wa miaka 37. Mwanamke huyu anaitwa Senamile Masango ambaye amezaliwa mwaka 1987 katika kijiji kiitwacho Nongoma kilichopo Kwa Zulu Natal nchini South Africa. Masango alijiunga...
  7. Nimeamua kumuacha mwanamke ninae mpenda sana roho yangu inaniuma sana

    Habari. Moja kwa moja kwenye mada Mnamo mwaka 2016 nikiwa form form five mkoa x nilibahatika kuonana na huyu binti mweusi, mrefu wastan, mnene kiasi na mcha Mungu mpaka sasa. Nilimpenda ikiwa ni sababu hizo alikuwa ananishauri muda mwingi kuwa mtu mwema na kumpenda, kumcha Mungu wakati wote...
  8. Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

    Wakuu Habari zenu! Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela. Jamani tabia hii kwa wanawake imekuwa kero kuliko hata wale wanaoomba msaada barabarani. Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo...
  9. Mwanamke akishaanza kuona hastaili kuteseka umalaya ndio unaanzia hapo

    Narrative kama.. "Sitaki nioelewe nimtegemee mume tu" "Nataka niolewe angalau na pesa zangu au kazi" "Niolewe bila ata kazi mume akifa ntateseka" "Sitaki niolewe then nipelekeshwe" Zimetengeneza single mothers wengi na wanawake wasomi wasiolewa mpaka miaka 30+..... Plus umalaya wa kutosha...
  10. Maumivu Wakati Wa Tendo Kwa Mwanamke.

    Maumivu wakati wa tendo la ndoa kwa mwanamke hujulikana kitaalamu kama dyspareunia. Hili ni tatizo linalowakumba wanawake wengi kwa nyakati tofauti. Maumivu haya yanaweza kuwa ya muda mfupi au ya muda mrefu, na yanaweza kusababishwa na sababu za kimwili au za kisaikolojia. Leo katika mada...
  11. Assets za asili za Mwanamke na Mwanaume. Hizi ukizijua zikikusaidia pakubwa

    ASSETS ZA ASILI ZA MWANAMKE NA MWANAUME. HIZI UKIZIJUA ZITAKUSAIDIA PAKUBWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Assets ni rasilimali aliyonayo mtu au kampuni, taasisi au shirika, au taifa ambayo inaweza kutumika kuleta faida kiuchumi. Siku hizi Istilahi hiyo "Assets" hatimiliki tuu kiuchumi...
  12. Hakuna mwanaume aliyeweza kumshinda mwanamke katika argument kwa sababu siku nzima alikuwa anahifadhi energy kwa jili yako hata kama alikuwa busy 12hr

    Wanawake ni supernatural😂😂 Unakuta anapika, huku ananyonyesha mtoto hapo hapo kichwani anakuundia risala kama zile hotuba za hitler😂... Wanawake hubishana kulingana na hisia. Wanaume hubishana kwa kuzingatia mantiki. Usiingie kwenye mtego wa kugombana na mwanamke yani utapoteza hata kabla...
  13. K

    Msaada, dawa ya mwanamke mpenda kununanuna bila sababu za msingi

    I hope jumapili iko poa kwenu nyote, Kwangu haiku poa kabisa, nina mwanamke naishi nae na tumebarikiwa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka miwili, tatizo ni huyu mwanamke wangu, yaani anapenda kununa kuliko kula, yaani ukimkosoa kitu ambacho ni kweli anakua kakosea basi hapo ni kununa kuanzia siku...
  14. Je, ni kawaida kwa mwanamke kukaa miezi 2 hadi 4 bila kupata hisia za kuwa na mwanaume?

    Ivi nikawaida kwa mwanamke ambaye ameolewa kukaa miezi miwili mpaka 4 uko bila kupata feeling zozote Za kufanya tendo la Ndoa na mume wake ?
  15. Katika hali gani unaweza kulazimika kuoa mwanamke mwenye mtoto?

    Je unaweza kuoa mwanamke mwenye mtoto.
  16. Ukiongea ukweli kwa Wanawake watakuona unawachukia. Mwanamke akiongea ukweli kwa Wanaume ataonekana ni mjuaji na mwenye kiburi

    Wasalamu! Humu ndani kunakuwaga na mijadala ya hapa na pale. Ipo mijadala inayogusa hisia za watu Moja Kwa Moja na kuamsha mihemko ya hasira zinazopelekea matusi na kutoa Lugha chafu na Kali. Mijadala mtambuka kama ya Kijinsia, kidini, Mila na desturi n..k. ni baadhi ya midajala inayoleta fujo...
  17. Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) Yagawa Ambulance 4 na Viti 50 kwa Wenye Ulemavu

    MWANAMKE INITIATIVES FOUNDATION (MIF) YAGAWA AMBULANCE 4 NA VITI 50 KWA WENYE ULEMAVU Siku ya tarehe 27 Januari 2025, kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini ya Mwenyekiti wake...
  18. Nilidondoshaga wallet bar. Sijui barmaid au mwanamke gani akaiokota, alichofanya Mungu anajua

    Bar fulani pale Kinyerezi nilipita kupata moja moto Baada ya kumaliza wallah sijalewa kivile, ilikuwa mifuko ya nyuma ya jeans yangu imelegea ikadondoka pale kwenye tent la tasker kuna kigiza. Nikasepa, akapita nayo huyo aidha barmaid au mwanamke kwa sababu iliokotwa kwenye dust bin chooni kwa...
  19. Njia pekee ya kuyashinda mapenzi ni kutokuwekeza kwenye mapenzi, usiwekeze kwa Mwanamke

    Hamjamboni wote! Ukiona mtu yeyote mapenzi hayambabaishi ujue anatumie Kanuni ya kutowekeza kwenye mapenzi na kuwekeza kwa Mwanamke. Asije Panya yeyote akakudanganya kuwa usipokeeza kwa Wanawake ati utaishia kuwaita shemeji wanawake warembo. Huo sio UKWELI. Nakuhakikishia, kuna mwanamke Mmoja...
  20. M

    Kinje asema hatoweka malengo na mwanamke kwani wana tamaa ya kupitiliza, asema anaangalia maisha yake tu

    Kinje kama kinje kaongea Akiongea na Radio moja pale SA Kasema kwa sasa anaangalia mambo yake kwani kuweka malengo kwa wanawake ni kupoteza muda Amesema kwa sasa wanawake wamekua na tamaa ya Mali na mafanikio ya haraka kuliko chochote. "Fikiria mtu anajiuza apate pesa unadhani huyo anaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…