kaka habari yako pole na majukumu,nakuomba uni postie hili Jambo linanisumbua Sana naomba nipate ushauri wa watu wengi moyo wangu upone lkn naomba unifichie jina langu..
Kaka sasa liko ihvi, mimi nimeoa mwaka 2014 mpaka sasa Niko na watoto wa3 watoto wangu nawashughulikia kama Baba vizuri...