Kwema Ndugu zangu,
Naomba kufahamu jambo hili muhimu tunalo linalofanya sote kila siku na linalofahamika pakubwa na Jamii duniani pote.
Kiafya, nguo za ndani za kike na kiume, mathalani chupi, boxer, sidiria, singland socks na kadhalika zivaliwe siku ngapi kisha ubadili au kuzifanyia usafi ili...