nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. Catherine Kariuki, Mwanahabari aliyepigwa risasi na polisi ameruhusiwa kwenda nyumbani.

    Mwanahabari wa kampuni ya MediaMax inayomiliki K24 na Milele FM, Catherine Wanjeri Kariuki, ameruhusiwa kuondoka hospitali leo baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye mguu wake uliopigwa risasi kwenye maandamano ya #RutoMustGo jijini Nakuru. Catherine ambaye alikuwa kazini akiripoti mubashara...
  2. M

    Mbowe anatakiwa nyumbani Nshara.

    Leo Freeman Aikael Mbowe akiongozana na Godbless Lema Mwenyekiti anayemaliza muda wake kanda ya Kaskazini pamoja na Catherine Ruge walikuwa na mkutano wa hadhara Kijiji cha Nshara nyumbani kwao Mbowe. Ni kama Amekataliwa kutokana na idadi ndogo ya watu waliojitokeza huku idadi kubwa ikiwa ni...
  3. Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

    Gazeti la Raia mwema leo, Julai 10, 2024, linaeelezea utajiri wa kutisha wa mabosi wa TRA, hawa ndio wale hutuma vijana wao waje kiusumbua mtaani na kodi za Tsh. 100,000 wakati kuna watu wanakwepa kodi za trilion za pesa kwa makubaliano. Hawa ndio wale tunaambiwa tutunze amani ili waibe na kula...
  4. MREJESHO: Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

    Wakuu , nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote walionitia moyo kwa kunishauri katika changamoto hii niliyopitia nawashukuru wale wote pia mlionipondea na kunilaumu. Kwa kweli niseme hili suala lilikuwa limepangwa na mungu litokee maana limetumika kama turning point katika maisha yangu...
  5. Msinicheke jamani, nina miaka 45, kazi sina, mke sina, naishi nyumbani kwa wazazi ila sipendi

    Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu. Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea. Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne. Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu Mali nikimiliki hazidumu. Nimefilisika...
  6. SoC04 Tanzania mpya: Kuanzisha chuo maalumu kitakachotoa taaluma kwa dada wa kazi za nyumbani

    TANZANIA MPYA: KUANZISHA CHUO MAALUMU KITAKACHOTOA TAALUMA KWA DADA WA KAZI ZA NYUMBANI. Ni wazi kuwa Viongozi wakubwa wa serikali walioko madarakani na waliomaliza muda wao wengi wao walilelewa na wazazi wao wote wawili hasa mama ambaye muda mwingi alikua nyumbani. Na katika malezi haya...
  7. Kagoma Kukopwa kama Walivyokopwa wengine na sasa Wanashtaki hivyo ni ama anabakia au anaenda Kwingineko au anamalizia Nyumbani

    Siyo kila Mtu anapenda Kudanganyika na Kukopwa huku Mali Kauli zikiwa nyingi. Kawatoleeni Mbavuni Kudadadeki. ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA yako...
  8. Kisa cha kusikitisha Kuhusu kujifungulia Nyumbani

    Je wajua 37% ya wanawake kujifungulia Nyumbani Nchini Tanzania? Anyway tuendelee Katika kijiji kidogo huko Pwani, Tanzania, aliishi kijana mmoja mdogo aitwaye Kaanayi, dereva bodaboda mwenye juhudi na upendo mwingi kwa mpenzi wake mjamzito, Ngaremu. Usiku mmoja, Ngaremu alianza kupata uchungu...
  9. UNATAMANI UWEKE SOFASET KALI NYUMBANI KWAKO? ONA HII

    Ni mpya kabisa , ina 2 month tu ni fiber & spring 1..5M ukiitaka nicontact: 0697224996
  10. SoC04 Matumizi ya Elimu kidigitali kwa wanafunzi wa sekondari Tanzania hasa wanapokuwa nyumbani

    Ufafanuzi wa Elimu Kidegitali Elimu kidigitali ni mchakato wa kujifunza na kufundisha unaotumia teknolojia za kidigitali kama kompyuta, vifaa vya mkononi simu janja, vishikwambi na mtandao ili kuboresha na kurahisisha upatikanaji wa maarifa na ujuzi. Elimu hii inajumuisha matumizi ya zana na...
  11. A

    KERO Wafanyakazi wa SGR (Lot 3,4,5,6) tumerudishwa nyumbani na hawajaingiza michango ya NSSF kwa Miezi 14

    Sisi wafanyakazi wa SGR kwa sasa tupo nyumbani tukiwa hatujui hatima yetu juu ya kinachoendelea kuhusu project hiyo hasa kuanzia Lot 3 na 4. Ipo hivi, Lot 3 na 4 kwa sasa zimesimama, wafanyakazi tuliokuwa katika mradi huo kwa sasa tupo tu nyumbani, awali tuliambiwa tukae nyumbani hadi...
  12. Hawli ya Aliyekuwa Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan bin Ameir Imesomwa Nyumbani Kwake Magomeni

    Mufti Sheikh Hassan bin Ameir Katika masheikh waliosomesha Tanganyika Mufti Sheikh Hassan bin Ameir ameacha historia ya pekee kabisa. Licha ya kuwa Ulamaa mkubwa wa kutegemewa alikuwa pia mpigania uhuru na mmoja wa wanachama wa mwanzo wa TANU. Sheikh Hassan bin Ameir anakumbukwa kwa kuuza...
  13. Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl)

    Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl) Sehemu ya kazi -Dar es Salaam Majukumu yake -Kufanya usafi wa nyumba ya wastani -Kufua nguo za watu wawili tu -Kupika chakula cha watu wawili Mapendekezo -Napendekeza awe Mkristo ili aishi ndani ya familia pasipo kukinzana katika imani ya...
  14. S

    Wanaume walio na wake wafanyakazi wana mapungufu. Mwanaume kamili mkewe ni mama wa nyumbani.

    Mwanaume anayetafuta mke mfanyakazi ili asaidiwe baadhi yamajukumu ya kuendesha familia kwa mshahara wa mkewe ni dhaifu. Ana mapungufu makubwa kwenye uanaume wake. Ndiyo maana wanadharaulika na kugongewa. Ushawahi kuwaona wake wa Mo, Bakhresa na mzee mengi (rip) wakiwa kwenye ajira? Hao ndiyo...
  15. Trump adai Rais Biden aliagiza maafisa wa FBI wamuue wakati wa upekuzi nyumbani kwake

    MAREKANI: Rais wa zamani wa Marekani, ametoa madai dhidi ya Rais Joe Biden kuwa aliwaagiza Majasusi wa FBI kumuua kwa Risasi wakati walivamia makazi yake na kufanya upekuzi ulioibua nyaraka za masuala ya Usalama wa Taifa nyumbani kwake Trump amesema "Biden aliagiza nguvu ya mauaji itumike...
  16. Pika popcorn simple kwenye jiko la gesi nyumbani

    Hakuna haja ya kununua bisi. Ni gharama ndogo sana kuzipika nyumbani kwa kutumia jiko la gesi. Nunua mahindi ya popcorn. Kilo inauzwa 4,000 na ndonya 1,500. Tenga sufuria kubwa kubwa jikoni. Weka mafuta. Pasha mafuta hadi yaive. Yakiiva punguza moto uwe mdogo kabisa na weka popcorn zako ndani...
  17. K

    Vyombo vya nyumbani

    Jipatie vyombo vya nyumbani Kwa bei sawa na bure, Jipatie bakuli 6, side plate 6 na sahani kubwa 6, na serving bowl 3 Kwa bei ya 125,000 tuu, Tupo Dar Kariakoo; Tupigie 0744466202
  18. Siku za weekend unapenda kufanya nini zaidi?

    Watu wengi siku za weekend huwa wanafanya shughuli tofauti wakiwa home au nje ya home. Vipi mdau wewe unapenda kufanya nini zaidi? Toa maoni yako
  19. N

    Jitahidi uwe unaenda haja kubwa mbali na nyumbani

    Kukata gogo ni moja ya kutoa uchafu mwilini. Katika mambo ya kiroho kukata gogo ni moja ya kutoa mikosi, nuksi na majanga katika mwili wa binafamu. Kwa maana hiyo watu tunashauriwa usipendelee kunya nyumbani. Jitahidi uwe unaenda kufanya haja kubwa sehemu tofauti ili kama unatoa mikosi, nuksi...
  20. Baada ya matatizo, leo nimerudi nyumbani

    Nyumban ni nyumbani, nina line za mitandao yote, miezi miwili iliopita, Voda walibadilka wakawa hawana kazi nikahamia tigo na airtel ambayo ili nipate kazi nzuri kwa eneo nilipo, ni lazima niitege simu sehemu fulani. leo mambo yakawa tofauti, nikakumbuka nina line ya TTCL, nikaweka kwa kweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…