Habari za jioni.
Mwisho wa wiki hii nataka kutoka na Mpenzi wangu.
Sehemu iwe imetulia(kusiwe na vurugu nyingi)
Chakula kizuri, Mziki kwa mbalii, Gharama isiwe kubwa sana( bajeti iwe <100K). Pia isiwe nje ya jiji sana.
Nilitaka kumpeleka kwa wahindi, skweez( tatizo hakuna mziki).
M.
Thread...