polisi

  1. JamiiForums Tanzania Polisi wathibitisha kumshikilia dereva Rodgers Kateba ambaye awali aliripotiwa kutekwa

    Mwenyekiti wa Taasisi ya Taifa ya Madereva Tanzania (TATAMATA), Yohana Mwanyaga, amesema Jeshi la Polisi limethibitisha kuwa Rodgers Kateba, ambaye awali aliripotiwa kupotea, yuko hai na anashikiliwa na jeshi hilo. Akizungumza na waandishi wa habari , Novemba 1, 2026, Mwanyaga amesema baada ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya Wazanzibari kujaa TISS na watanganyika kushika nafasi za juu katika JWTZ na Polisi?

    Kuna tofauti gani kati ya Wazanzibari wengi kujiunga na kufanya kazi katika TISS (Idara ya Usalama wa Taifa) na Watanzania kutoka Bara kushika nafasi za juu za uongozi katika JWTZ (Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania) na Jeshi la Polisi?
  3. JamiiForums Tanzania Polisi: Tunachunguza Vijana Jamii ya Kimasai kuvamia wenzao wa Jamii ya Kimasai eneo la Kimnyaki - Arumeru

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, linaendelea kufanya uchunguzi kuhusiana na tukio lililotokea tarehe 03.11.2026 muda wa asubuhi baada ya kundi la vijana jamii ya Kimasai kudaiwa kuvamia maboma ya jamii nyingine ya Kimasai na kuchukua mifugo huko katika Kijiji cha Kimnyaki, Wilaya ya Arumeru...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Leo kuna nini, Mbona Barabara ya Morogoro Road hasa maeneo ya kimara mpaka ubungo kuna magari makubwa ya Polisi pamoja na polisi wengi wenye silaha?

    Toka majira ya asubuhi ,nimeshuhudia uwepo wa askari polisi wengi wenye silaha kwenye hii barabara! Je kuna shida yoyote?
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kizaazaa Nairobi: Polisi wa Trafiki akabiliwa na Wananchi wenye hasira baada ya kunyakua Funguo za Basi likiwa kwenye kasi

    Mtaa wa Mirema ulibadilika na kuwa uwanja wa taharuki na hasira kali baada ya tukio la kushtua ambapo afisa wa polisi wa trafiki alinaswa kwenye video akidaiwa kunyakua funguo za basi la abiria (PSV) wakati likiwa bado linaendelea na safari. Kitendo hiki cha hatari kilihatarisha maisha ya abiria...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan Prince Apuuza Polisi wa INTERPOL, Apuuzilia Mbali Uvumi wa Kukamatwa

    Mtayarishaji wa maudhui na mfanyabiashara wa Forex, Raymond Omosa, maarufu kama Kenyan Prince, amepuuzilia mbali madai yanayosambaa kuhusu kukamatwa kwake na polisi wa INTERPOL. Katika video inayosambaa mitandaoni, Kenyan Prince amewakosoa maafisa wa INTERPOL akiwaita waoga, huku akionekana...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KANISA KATOLIKI walimpenyezea Nyerere taarifa kuwa TISS na Polisi wameua, maiti zimebwagwa BUGANDO, vyeti vya vifo ni feki!

    KANISA KATOLIKI wametupigania muda mrefu sana Tanganyika. TISS na Polisi waliua raia Mwanza na Shinyanga, January mpaka March 1976. Maiti zilipelekwa Maswa District Hospital na Bugando Hospitali zikitokea kwenye dangulo la mahojiano la Kigoto, nje ya jiji la Mwanza pamoja na dangulo na...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi aliyekuwa akijiita nabii tito, alikamatwa na Polisi hadi leo hajaonekana

    Ni miezi minne tangu yule nabii Tito, ambaye kimsingi alikuwa ana matatizo ya afya ya akili alikamatwa na Polisi lakini hadi leo hakuna habari zozote za kumhusu zikiwamo za kufikishwa mahakamani kama alikuwa ana makosa ya mtandao, au hatukuelezwa kama amepelekwa hospitali ya watu wenye matatizo...
  9. JamiiForums Tanzania Polisi ndiye mtenda kosa pekee anaye jichunguza mwenyewe na kujiandikia ushahidi mwenywe,Nyerere aliwaweza sana watanganyika

    Polisi ndiye mtenda kosa pekee anaye jichunguza mwenyewe na kujiandikia ushahidi mwenywe,Nyerere aliwaweza sana watanganyika, Mada tayari
  10. JamiiForums Tanzania ACP Mwanyasi aongoza maofisa wa polisi K'njaro kutoa pole msiba wa ajuza wa miaka 120

    Habari Kutoka Dawati la habari polisi Kilimanjaro Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro kupitia Polisi Jamii kwa kushirikiana na Dawati la Jinsia na Ulinzi wa Mtoto, limetembelea familia ya marehemu Elizabeth Yohana Simba na kutoa pole kufuatia kifo chake akiwa na umri wa miaka 120, katika...
  11. JamiiForums Tanzania Nilichokutana nacho leo kwenye Mataa ya Morocco kimenitafakarisha sana Kuhusu Askari Polisi wa Tanzania

    Leo, tarehe 30/10/2026, majira ya saa 12:00 asubuhi, nilikuwa napita maeneo ya mataa ya Morocco. Kama tunavyofahamu, kutokana na shughuli za ujenzi zinazoendelea katika eneo hilo, mara nyingi nyakati za asubuhi taa za kuongozea magari hazifanyi kazi, hali inayosababisha madereva kutumia utashi...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Je, kipi kimefanyika kwa inspekta wa Polisi aliyeshinda tuzo ya fasihi Afrika?

    Kumekuwa na ukimya tangu Inspelta wa Jeshi la Polisi, Salim Hussein Ngazi aliposhinda Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi ya Afrika 2025/2026. Hatujaona kwenye vyombo vya habari, polisi ikitangaza ushindi wake na kumpa tuzo, pongezi na hata cheo kama walivyofanyiwa akina Ibrahim Bacca na...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi laongoza kwa kunyanyasa waandishi wa habari

    Jeshi la Polisi limetajwa kuwa miongoni mwa makundi yanayoongoza kwa kunyanyasa waandishi wa habari nchini Tanzania, huku wadau wa sekta hiyo wakitaka uchunguzi wa vitisho na mashambulizi dhidi ya wanahabari kufanyika kwa haraka na wahusika kuwajibishwa. Hayo yameelezwa leo, Oktoba 29, 2026...
  14. JamiiForums Tanzania Makala ya BBC (video) kumbukizi la mauaji ya 29/10: Serikali na Jeshi la Polisi wakataa kutoa ushirikiano wa kujibu maswali ya mwandishi

    https://youtu.be/izWs1lJ4QrI?si=T7BS6pnvbL4C6Ynx 1. Kuna baadhi wahanga bado wanauguza majeraha ya risasi za polisi mpaka leo. Wataka serikali iwafidie gharama 2. Mama mmoja aliyekuwa mwanae mmoja wa kike na wa pekee aliuwawa kwa risasi za polisi akiwa dukani akinunua vocha ya simu.. 3...
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Rais William Ruto Hawezi Kubadilisha Sheria kwa Kauli!” Mahakama Yabatilisha Agizo la Kutenga Nyumba kwa Walimu na Polisi

    Mahakama Kuu nchini Kenya imetangaza kuwa agizo la Rais William Ruto la kutenga asilimia 20 ya nyumba za bei nafuu kwa walimu na maafisa wa polisi halina nguvu za kisheria, ikisema Rais hana mamlaka ya kubadilisha sheria zilizopitishwa na Bunge kupitia matamshi yake. Katika hukumu iliyotolewa...
  16. JamiiForums Tanzania Paroko Na Polisi Watoa Wito Wa Kukabiliana Na Migogoro Ya Ndoa Malinyi

    Paroko wa Parokia ya Shirika la Roho Mtakatifu, Kilosa Mpepo, Padri Nikas Kiuko, amewaomba waumini wa Parokia hiyo kuikataa migogoro ya ndoa inayoweza kusababisha vitendo vya ukatili na unyanyasaji, majeraha na hata vifo kwa wanandoa. Wito huo umetolewa wakati wa adhimisho la Misa Takatifu ya...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Polisi :umeenda kwenye sherehe , ukalewa piga simu Polisi tutakuja kukusaidia kuendesha

    Lakini sisi kama jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani tunashauri, endapo labda kuna semu mmeenda, either kwenye sherehe au maeneo yoyote yale ya starehe, umekunywa pombe, asiwieme wewe ambaye unaonekana ni dereva unayeendesha chombo kile au unatarajia kuongoza chombo kile. kawa...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Kutekwa Kwa Twaha Mwaipaya: Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya polisi Wala Serikali wakati ni mtanzania mwenzetu

    Kuna baadhi ya watu wanaona kama vile CCM au Serikali yao inaonewa Kwa kutumiwa kuhusika na utekaji mfano mzuri suala lile la mabinti waliomaliza form iv walivyorecord na kutoa maneno ambavyo hayana maadili Serikali ilireact haraka kupitia waziri Gwajima na Sio tu hili mambo mengi ambavyo...
  19. JamiiForums Tanzania HOJA Polisi Traffic muwe wabunifu: Kero ya Bodaboda na Bajaj Dar- jaribuni hili!

    Mji wa DSM unazidi kukua, na usafiri wa umma(Rapid Bus Transport) bado ni ndoto. Ongezeko kubwa la Bodaboda na Bajaja unajitahidi kuziba tatio la usafiri wa haraka hasa foleni jijini. Lakini huu ni safiri kwanza ni wa roho mkononi kwa watumiaji, na pili kero kubwa kwa watumiaji wengine wa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro azindua kampeni ya "Ongea na kamanda

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Afande SACP Simon Maigwa, Tar 20/10/2026 amezindua rasmi Kampeni ya "ONGEA NA KAMANDA". Kampeni hii inalenga kuwapa fursa wananchi wote wa Mkoa wa Kilimanjaro kuwasiliana moja kwa moja na Kamanda. Kupitia kampeni hii, wananchi watapata nafasi ya kueleza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…