rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Pre GE2025 Mpaka yanatumika magari kutangaza birthday ya Rais Samia lakini bado kiki imebuma. Safari hii watanzania wamenuna kwelikweli!

    Wakuu, CCM ndio mko deparate kiasi hiki?:BearLaugh::BearLaugh: Nguvu kubwa sana inatumika kumpaisha 'mama' lakini watanzania wamegoma kutoa kiki:BearLaugh::KEKWlaugh::pepeLaughers: Barabara zimebaki nyeupe muonekane kwa uzuri lakini bado haijasaidia :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: ...
  2. Pre GE2025 Wasanii wakata Keki ya birthday ya Rais Samia na kutoa zawadi ya Mitungi Soko la Feri! Wakitoka hapo wanapitisha kikombe!

    Wakuu, Balaa sana, japokuwa tunajua hii mitungi imetoka CCM, hivi si wakirudi kuanza kulialia kwa watanzania kuomba msaada tuwakache? ===== Baadhi ya wasanii wa filamu nchini kwa kushirikiana na ofisi ya mkuu wa Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam, wamesheherekea siku ya kuzaliwa ya Rais...
  3. Huyu Meneja wa TRA Tanga kuipongeza CCM Kumteua Rais Samia kugombea Urais 2025 inaruhusiwa katika Sheria za Utumishi wa Umma na ni rukhsa Kikatiba?

    Kwa wale Wote ambao leo Asubuhi tulitizama Jambo Tanzania na TBC1 nadhani tulimuona Meneja wa TRA Mkoa wa Tanga alipokuwa akimpongeza Rais Samia kwa Siku yake ya Kuzaliwa leo na baadae akaenda mbele na kusema kuwa anakipongeza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Kumpitisha Rais Samia kugombea Urais...
  4. Pre GE2025 Wanafunzi wa vyuo wamchangia Rais Samia na Rais Mwinyi fedha ya fomu

    Wakuu, Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini wamefanya harambee ya kuwachangia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassani pamoja na Rais wa zanziba Dkt.Hussein Mwinyi Fedha za kuchukua fomu ya ugombea Urais 2025 ikiwa ni katika hatua za kuwaonga mkono kutokana na kazi nzuri...
  5. Pre GE2025 Samia atakuwa Rais mwenye umri mkubwa zaidi kuchaguliwa katika historia ya Tanzania endapo atashinda Uchaguzi Mkuu

    Kesho ni Januray 27. Miongoni mwa watu maarufu wanaozaliwa kesho ni Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Atakuwa anafikisha miaka 65. Ni mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Endapo atashinda uchaguzi huo, kwa umri wa miaka 65...
  6. P

    Mnaotetea Chalamila ripoti za CAG huwa hamzioni? Rais Samia usipomtumbua umebariki unyama huo kuendelea

    Nashangaa mnaowasakama wajawazkto na kusema wanajidekeza sijui wajifunze kuchagia huduma, wapuuzi kabisa! Huwa hamuoni mabilioni ya pesa yanavyotafunwa na kuripotowa kila mwaka lakini hakuna hatua inayochokuliwa? Kwani hamjui kama hizo ni kodi zetu na ndio wanasababisha huduma kuzorota? Pia...
  7. M

    Pre GE2025 Mikoa ambayo Rais Samia na Lissu watachukua kura nyingi za Urais

    Siasa za Tanzania ni Za kutabirika, Kwasasa tukiweka mambo ya maridhiano kwenda vizuri, yaani kuwe na uchaguzi huru na wa Haki basi uchaguzi wa Urais utakuwa Mrais na Kwa kiasi kikubwa tunajua matokeo yatakavyokuwa kimkoa, nina amini kutokana na siasa za kukubalika kwa CCM na Chadema kwa mikoa...
  8. Pre GE2025 Dodoma: Machinga kusherekea siku ya kuzaliwa Rais Samia kwa kutoa punguzo la 30% kwa bidhaa zote

    Wakuu, Kunaanza kunoga huko😂😂😂. ===== Wamachinga wa Soko la Wazi la Machinga Complex, jijini Dodoma, wameandaa sherehe ya kipekee kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, itakayofanyika Januari 27, 2025. Katika kusherehekea...
  9. Tujadili: Nini kinajenga mashaka kwa Rais Samia?

    Sarakasi zilizotokea kwenye kumpitisha Samia kuwa mgombea wa CCM kwenye uchaguzi Mkuu ni za kutia aibu kubwa sana. Lakini nimekuwa najiuliza nini hasa sababu ya CCM kumpitisha bibi harusi huyu mlango wa nyuma? Kwa nini haiwezekani fomu zikatolewa kwa wote wenye nia na kupigiwa kura? Nini sababu...
  10. Rais samia usikubali alichofanya Magufuli 2020 kitakurudia na wewe

    sitaki sana kusema mengi kwako samia, kwa sababu najua pia kama ccm ingeamua kupiga kura kuchagua mgombea urais, ungeshindwa. ila waliamua kuivunja katiba ili kukufanya kuwa mgombea pekee. sasa onyo langu na la wengi katika ulimwengu wa kiroho wa Mungu, wewe na wenzako, msithubutu kufanya...
  11. Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia

    Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan Ikiwa zimebaki siku 29 kuelekea Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika, Tanzania inajipanga kuandika historia kwa kuwa mwenyeji wa tukio hili kubwa. Mkutano huu, unaotarajiwa...
  12. Pre GE2025 CCM Iringa yatoa onyo kwa wanaobeza Rais Samia na Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

    Naona mambo yanazidi kunoga tu! =============== Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kimeonya vikali watu wanaobeza maamuzi ya Mkutano Mkuu wa chama hicho ya kuwateua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kupeperusha bendera ya urais katika Uchaguzi Mkuu...
  13. Pre GE2025 Njombe: Rais Samia achangiwa zaidi ya milioni 2 za kuchukua fomu za kugombea urais

    Ikiwa ni wiki moja imepita tangu chama cha mapinduzi CCM kimpitishe Rais Samia kuwa mgombea pekee wa Urais kwa tiketi ya chama hicho na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea Mwenza kwa nafasi ya Makamu Rais katika uchaguzi mkuu wa 2025. Maelfu ya wafuasi wa chama cha mapinduzi pamoja na Makundi...
  14. Pre GE2025 Lissu unataka kuongea nini na Rais, subirini uchaguzi uishe mwezi Oktoba 2025

    Wanaukumbi. KUONGEA KUHUSU NINI? Yaani Lissu, anachekesha sana. Yaani mnataka kuingia serikalini kwa mlango wa nyuma. Nyie mnataka kuongea subirini uchaguzi uishe mwezi Oktoba 2025 kwa sasa hakuna muda wa kuongea watu wako bize na kuaandaa ilani na kujipanga na uchaguzi Juzi tu ulikuwa...
  15. L

    Kesho Mtaniona Live na kunifahamu nitakaposhiriki Kwenye maandamano makubwa Mkoa wa Songwe Ya kumpongeza Rais Samia kwa kuteuliwa Kugombea Urais

    Ndugu zangu Watanzania, Siku ya kesho ya Jumamosi natarajia kushiriki katika Maandamano Makubwa Mkoa Wa songwe ya Kumpongeza RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya Urais katika Uchaguzi Mkuu...
  16. B

    Pre GE2025 Tamko zito la vijana CCM wa vyuo vikuu waunga mkono Rais Samia na Dkt.Mwinyi kugombea urais 2025

    24 January 2025 Dar es Salaam, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=woYIDnx1xcw Wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu mkoani Dar es Salaam wametoa tamko rasmi kuunga mkono azimio la Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya...
  17. Kama Rais hataki kufanya kazi na Kassim Majaliwa amuombe ajiuzuru kama Philip Mpango

    Sitaki salamu, naingia kwenye mada moja kwa moja. Wahenga walisema akutukanaye hakuchagulii tusi na asiyekutaka hakuambii toka bali atakutoa kwa visa ovu dhidi yako. Kabla ya kwenda mbali kwanza naomba ku declare intrerst kuwa mm ni mwanaCCM kindakindaki na juzi nilikuwepo ndani ya ukumbi kule...
  18. Rais Samia afanya Uteuzi, Uhamisho na Mabadiliko ya Viongozi Mbalimbali Januari 24, 2025

    Wakuu, Pia soma: Uteuzi: Rais Samia, afanya uteuzi wa Makamishna wa Jeshi la Polisi Desemba 9, 2024
  19. Rais Samia alisema aliyegundulika na Marbug ni moja, huyu wa pili ametokea wapi?

    Siku ya Jumatatu, Januari 20, 2025 Rais Samia, alithibitisha kuwa mtu mmoja amekutwa na maambukizi ya virusi vya Marburg (MVD) katika Wilaya ya Biharamulo, mkoani Kagera. Leo imetoka taarifa kuwa mtu mmoja kati ya wawili waliobainika na ugonjwa wa Marburg aliyekuwa akipatiwa matibabu katika...
  20. Usalama wa Taifa kuna Waziri mmoja Mwandamizi Serikali ya Rais Samia tafadhali anzeni Kumchunguza hasa

    Ni Kirusi HATARI kwa Usalama wa Taifa letu. Nimemaliza.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…