Wapashiwa ni kabila au jamii ambayo kwa sasa imekua sana. Miaka ya nyuma ilikuwa ni uchafu na laana kuwa Mpashiwa. Kwa sasa unakuta wanasiasa, wanamichezo, waigizaji, wanadini, wanamuziki, watu baki ni wapashiwa.
Sifa za Wapashiwa.
1. Hawana msimamo. Yaani anaweza kuwa aliumbwa mwanaume ila...