The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".
Wakuu, Mradi wa SGR Upande wa Ticketing ni kama tumefeli hivi,
Website ya SGR ni Iko down tangu Jana na muda wote train kwa ordinary seats zimejaa zipo Zile za Bei Tu, Juzi kuna Mbunge ame raise concern kuhusu issue hio na Kuhoji kama kuna Hujuma zinaendelea Kwenye Mradi Huo lakini Majibu...
Nina kero kuhusu utaratibu wa ukataji wa tiketi kwa magari katika Stendi ya Jakaya Kikwete, mkoani Morogoro. Utaratibu uliopo si mzuri kwa sababu tunatumia muda mrefu kwenye foleni kusubiri kukata tiketi ili magari yaweze kutoka nje ya stendi.
Changamoto hii inahusu magari yanayoleta na...
Anonymous
Thread
foleni
kituo
morogoro
mrefu
muda
muda mrefu
sgrsgr morogoro
tiketi
ukataji tiketi
utaratibu
Takribani tiketi 782,000 zilizonunuliwa kwa ajili ya huduma za treni ya Reli ya Kisasa ya Standard Gauge Railway (SGR) nchini Tanzania hazikutumika kati ya Januari na Septemba 2026, kwa mujibu wa takwimu zilizowasilishwa bungeni.
Shirika la Reli Tanzania (TRC) liliuza tiketi milioni 7.64 katika...
Mbunge wa Tanga, Kassim Amari Mbaraka amehoji kuhusu kutopatikana kwa tiketi za Treni ya SGR kwa kuonesha kuwa No Seat Available ilihali ukiingia ndani ya Treni kunakuwa na Siti nyingi ambazo hubaki wazi.
Ametoa hoja hiyo leo Oktoba 27, 2026 Bungeni jijini Dodoma wakati akiuliza swali Wizara ya...
Jambo hili limenihuzunisha Sana, Station ya SGR ya Magufuli DSM ni nzuri Sana, kuanzia nje Hadi ndani, kingo za Barbara zimejengewa pavement, na land Scape nzuri flani. Na hii pia inafanana na uwanja WA ndege wa Nyerere Dar.
Sasa njoo hii station ya Samia Dodoma, ukishatoka nje ya fensi , ni...
Najaribu kukata tiketi ya treni ya SGR lakini tangia jana usiku mfumo haufanyi kazi ,nilitegemea nikiamka nitakuta mfumo umerekebishwa ila cha ajabu mpaka wakati huu hali bado ni ile ile na TRC hawajatoa tamko lolote mpaka sasa.
Hili shirika linafikirisha sana kuhusu uendeshaji wake 🚮
Dodoma imeleta mshituko mkubwa, kwa kukosekana kwake kwenye kumi bora ya mikoa yenye uzalishaji mkubwa (GDP) licha ya mbwembwe za SGR, magorofa na mikwara ya v8 za serikali. Dar es Salaam imeendelea kushika namba moja kwa mbali.
Nadhani wachumi mtatusaidia, inaonekana Dodoma ni spenders/...
Rwanda imepanga kuwekeza katika kituo cha usafirishaji na uhifadhi wa mizigo katika eneo la Mai Mahiu Special Economic Zone, Naivasha, hatua inayolenga kurahisisha usafirishaji wa bidhaa kutoka Bandari ya Mombasa kwenda nchini humo kupitia reli ya Standard Gauge Railway (SGR).
Waziri wa...
Habari wakuu wa jukwaa hili la JamiiForums. Ni miezi kadhaa sasa tangu mradi wetu wa kimkakati wa Treni ya Kisasa (SGR) uanze kutoa huduma kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma. Wakati Watanzania wengi wakifurahia reli hii mpya, kuna changamoto kubwa sana inayoumiza kichwa na inayozua...
Leo, Oktoba 10, 2026, mimi na ndugu yangu tulisafiri kwa treni ya SGR kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro, katika behewa namba 14, siti namba 41 na 42.
Wakati wa kukata tiketi, tulifanya makosa kwa kukata tiketi mbili zenye jina moja. Hata hivyo, tulifanikiwa kutatua changamoto hiyo na kupanda...
Anonymous
Thread
dar
kutoka
mimi
morogoro
namba
ndugu
rushwa
sgr
tarehe
yangu
Wanabodi habari.....
Tumekua tukilalamika sana lakini hatusikilizwi juu ya upataji wa tiket za SGR... mfano mzuri ni lalamiko la Afande na ASKOFU Fulani hivi... toka jana najaribu kukata tiketi toka dom kwenda dar naambiwa tiket hakuna hadi jumatatu lakini kwa wakati huu huu naambiwa niingie...
Member mwamba and 998 others alipo anajuta kwa nini aliposti hule uzi wake wa kuzamia SGR business class kwa nauli ya Morogoro kwenda Dodoma.
Kwa mshangao hakuamini members walivyomshukia kama mwewe na kumshutumu. Nadhani alijuta kuposti.
Kwenye huo uzi nilijifunza bado kuna integrity na...
Huduma ya kukata ticket ya SGR kiwekwe kipengele cha ku-pdate jina ikiwa limekosewa au kubadilisha hata ikiwa kuna charge kidogo.
Maana watu wanapata hasara endapo wakipata dharura ticket haiwezi kufanyiwa update ya jina akasafiria mtu mwingine, hivyo ticket inaenda bure bila kutumika...
Anonymous
Thread
baada
jina
kukamilisha
kurekebisha
malipo
mteja
sgr
tiketi
Baada ya Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Selemani Msindi "Afande Sele" kutoa maoni yake kuhusu ratiba ya treni ya SGR kutokea Mkoano Morogoro kuelekea Dar es Salaam. ufafanuzi umetolewa na Shirika la Reli Tanzania (SGR).
Alichokisema Afande Sele kipo hapa ~ Afande Sele: TRC mliwaza nini kuondoa...
Unalipa Nauli ya Business Dar -Moro (50,500/=) ila unasafiri mpaka Dodoma na huduma za full VIP [soft drinks na snacks], (badala ya kulipa bei halali ya 120,000) na huduma za kifalme. NB: ukimuona TT anakagua tiket unazuga unaenda chooni au unapokea simu mpaka aondoke.
behewa za Business class...
Habari wakuu
Natoa ushauri kuwepo na wakala wa SGR TICKETS kama zilivyo huduma ya Mpesa kila sehemu ya miji ambayo SGR inapita
Huyo wakala anapata commission kwa kila ticket atakayokata
Treni ikijaa ile chart ya kuchagua seat inaondoka kwenye mfumo automatic
Kama zilivo bus za shabiby