Katika harakat za kutafuta kujua kusoma na kuandika (elimu) kuna matukio mengi ambayo kila mtu kupitia, kuanzia "msingi hadi sekondari"
Katika harakat za kutafuta elimu
Nakumbuka siku moja nikiwa form 4, Kama kawaida stori za kuwahi asubuhi kuhesabu zilikuwa zikinikera sana, lakin kuna wiki...