simba

  1. U

    Mechi ya Yanga na Simba iwe game ya 30 kwao kuondoa mzizi wa fitina

    Sasa Baada ya Kuona Mikiki mikiki ya kukimbiana na kuogopana baina ya simba na yanga, ikichagizwa na mambo ya kishirikina na msururu wa majeruhi kwa timu ya Simba, hivyo kulingana na siasa za mpira wa tanzania na Ukubwa wa Simba na Yanga , ambazo kiuhalisia zina nguvu kuliko hata TFF na Bodi...
  2. D

    Simba inafahamika Hadi CAF

  3. M

    Simba walitoa taarifa rasmi kwa timu mwenyeji kuwa saa 1:15 watautumia uwanja?

    Kwa maana kanuni inasema timu mgeni ana haki ya kufanya mazoezi katika uwanja utakaochezewa mechi angalau SIKU MOJA kabla ya mechi. Sasa swali ni je simba walienda kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi? siku za kisoka zinahesabiwaje? Kwa mfumo wa masaa 24,48,72? Au zinahesabiwa kwa mfumo wa...
  4. SIMBA SC: "NO REFORM, NO GAME", KIZAZI CHA MABADILIKO

    Ni masaa kadhaa tangu shirikisho la mpira wa miguu Tanzania, TFF kutoa taarifa rasmi ya kuahirishwa kwa mchezo na 178 wa ligi kuu Tanzania bara huku mashabiki na wadau wa soka nchini wakiachwa vinywa wazi. Taarifa hii imekuja mara baada ya timu Simba Sc ikidai kuzuiwa kufanya mazoezi yao ya...
  5. Simba waweka mpira kwapani kwa kugoma kupeleka timu uwanjani kwa Mkapa.

    Kwa kuhofia kipigo cha mbwa koko kutoka Yanga viongozi wa Simba kwa makusudi kabisa hawakuzingatia kanuni inayoitaka timu ngeni kuwasiliana na Kamishna wa mchezo na meneja wa uwanja kuhusu kufanya mazoezi katika uwanja wa Mkapa. Badala yake usiku wakaisomba timu yao kupeleka uwanjani na bahati...
  6. Ahmed Ally awaomba radhi mashabiki wa Simba, awasihi kurejea nyumbani kwa utulivu baada ya mechi kuahirishwa

    Meneja wa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally, amewasilisha ujumbe wa pole kwa mashabiki wa klabu hiyo kufuatia kuahirishwa kwa mechi yao leo. Kupitia taarifa yake, Ahmed Ally ameomba radhi kwa mashabiki wote wa Simba, hususan wale waliotoka mikoa mbalimbali kwa ajili ya kushuhudia mchezo huo...
  7. R

    Mechi kusogezwa mbele ni nafuu kwa simba, vuta picha leo wangeweka rekodi ya kufungwa mara tano mfululizo,

    mechi sio ya kuiogopa ila ni rekodi mpya inayoenda kuwekwa Acha tuendelee kuwa na amani ya kufungwa mara nne mfululizo, acha tuishi nayo. Leo simba angeingia kwa Mkapa ingekuwa kujifedhehesha tu, kwa Yanga hii ni jambo la wazi kabisa simba angekandwa, Shida ingekuja kwenye rekodi mpya ya...
  8. M

    Kama Simba tungeruhusiwa kufanya mazoezi jana hakyamungu kesho mashabiki wa Yanga msingezurula motaani, aliyewashtua Hongera zake

    Jana kama tungeruhusiwa kufanya mazoezi pale kwa Mkapa hakyamungu naapa juma pili msingeamka majumbani mwenu na jumatatu msingeenda kazini, sisi sio wajinga wajinga kama mnavyodhania, kama tungekubali kuingia kucheza leo tukiwa tumezuiwa kufanya mazoezi tungekula magoli ya kutosha leo, sisi...
  9. Malalamiko ya Simba yangeweza kujadiliwa hata baada ya mechi na adhabu stahiki ingetolewa!

    Bodi ya ligi ilipaswa kutulia na kuyajadili malalamiko ya Simba kwa mujibu wa kanuni. Aidha ingethibitika kuna ukweli Yanga au mashabiki wake wamefanya ndivyo sivyo adhabu stahiki ingetolewa ikiwemo kupokwa points kama kanuni za adhabu zinataka hivyo. Bodi ni lazima itoe tamko la kikanuni...
  10. Bodi ya ligi mmetubeba Simba

    Na declare interest. Mi Mwana msimbazi damu. Tuendeleee Tukiachana na Ushabiki pale hakuna Kanuni inayotubeba Simba ya kutofika uwanjani, hiyo kanuni hatuna ndio maana kwenye taarifa ya Klabu hakuna nukuu ya kifungu cha kugomea mechi ila kwenye Kanuni kuna kifungu cha adhabu ya timu ambayo...
  11. Kiuhalisia Simba na Yanga ndio zinaharibu ukuaji wa Soka nchini Tanzania

    Hizi timu mbili bila kuwekewa Discipline na sheria kali soka letu halitokuwa. Taratibu za mazoezi zipo wazi kwa mwenyeji na mgeni. Wasimamizi wa Uwanja wanajulikana na wenye mamlaka ya kuruhusu nani aingie nani asiingie wanajulikana; je mabaunsa wa Yanga wananafasi gani kwenye Utaratibu wa...
  12. Mnaombeza Lissu jifunzeni toka kwa timu ya Simba

    Kuna watu ambao kwa bahati mbaya wengine ni wanachama waandamizi wa CHADEMA, wanabeza msimamo wa Lissu wa kusimamia maamuzi ya vikao vya chama kuwa "No reforms No election" kuwa ni jambo lisilowezekana. Lakini Klabu ya Simba kwa kusimamia Kanuni za ligi ya Tanganyika, imefanikiwa kugomea mchezo...
  13. Mechi ya Yanga na Simba ni tukio la Kisiasa mpaka kuhairishwa kwake.

    Leo ikiwa siku ya wanawake duniani Rais atakuwepo Arusha hivyo taifa linapaswa kumsikia. Hivyo nahisi kwa sense yangu ya Sita ambayo ni "intuition" Hivyo tukio lilipangwa kimkakati kabisa.
  14. Video: Hali ilivyo uwanja wa Mkapa kuelekea mechi ya Yanga na Simba, mashabiki wanasuasua kuingia uwanjani

    Hali ilivyo nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya mchezo wa Yanga na Simba ni tofauti na matarajio ama ilivyo zoeleka. Pia soma: Breaking News: Bodi ya Ligi yahairisha Mechi ya Derby
  15. Simba SC ni kubwa kuliko Bodi ya ligi kuu na TFF

    Viongozi wa simba wakikaa wakaamua jambo basi TFF na Bodi ya ligi kuu watatii Mechi ya Pamba na simba, mabaunsa wa simba walifanya fujo huko mwanza wakavunja madirisha na kuwafungia viongozi wa pamba jiji ofisini kwao mechi hsikuahirishwa TFF ikawachekea , leo hii wao wenyewe bodi ya ligi...
  16. K

    Kama mechi ya Yanga na Simba haitakuwepo kama ilivyopangwa. Je waliolipa fedha zao kuangalia mechi hii watarudishiwa fedha zao?

    Kuna taarifa zinazozunguka kwenye mitandao kuwa mechi kati ya Yanga na Simba haitakuwepo kwa sababu Simba wamesusia mechi hii kwa sababu wananazozijua wao wenyewe. Swali langu. Kama mechi haitakuwepo. Je wale waliolipa fedha zao kwa ajili ya kuangalia mechi hii, watarudishiwa fedha zao?.
  17. Viongozi wa Simba mmeshindwa na hamtaki kukubali kuwa mmeshindwa...simple!!

    Kanuni IPO wazi kabisa, wanaohusika watawajibishwa, HII YA KUSUSIA MCHEZO hapana sijaiona kwenye hizo kanuni Tuseme labda ni UOGA??, inawezekana na pia ni njia ya viongozi kujikingia kifua, isionekane kuwa wamefeli kwa mara nyingine, wanataka kuvuta vuta kamda ( hii game Simba ilitakiwa ashinde...
  18. S

    Hakuna kanuni inayoibeba Simba kugomea Mechi

    Tukiachana na Ushabiki pale hakuna Kanuni inayotubeba Simba ya kutofika uwanjani, hiyo kanuni hatuna ndio maana kwenye taarifa ya Klabu hakuna nukuu ya kifungu cha kugomea mechi ila kwenye Kanuni kuna kifungu cha adhabu ya timu ambayo inagomea mechi kutokana na makosa ya Kikanuni😀! Ukitaka...
  19. Hili la Simba Sc kujifanyia vurugu ili wasifanye mazoezi kukwepa goli nane, TFF wasiliache lipite hivihivi

    Haya maigizo wanayofanya Simba sc sio ya kufumbiwa macho kabisa na mamlaka, zichukuliwe hatua kali kwa viongozi wa Simba, Meneja wa uwanja ambaye pia ni mwanasimba pamoja na kamishna wa mchezo (mwanasimba) kwa kula njama ya kuzuia Simba sc isiingie uwanjani Taifa kufanya mazoezi ili wapate...
  20. Simba chagueni uwanja mnaoutaka Yanga tuwafuate.

    Kama hawa ndugu zetu wanaoamini ushirikina kwenye zama hizi wamegoma kucheza nashauri wachague uwanja wanaoutaka kwa mazingira wanayoyataka wao. Sisi Yanga tupo tayari kuwafuata kokote kule mtakapopachagua. Iwe bunju,msimbazi juu ya ghorofa au kule tandahimba mlipokusanya wazee wenu mliotaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…