sio

Silicon monoxide is the chemical compound with the formula SiO where silicon is present in the oxidation state +2. In the vapour phase, it is a diatomic molecule.
It has been detected in stellar objects and has been described as the most common oxide of silicon in the universe.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Simulizi za kwenye biblia sio historia Kama unavyofikiria ni codes zinazofichua Hali zetu za kiroho

    umewahi kufikiria kwamba simulizi za Adamu na Hawa, nyoka wa Edeni, Kaini na Abeli, Sodoma na Gomora, Ayubu na hata majaribu ya Yesu yanaweza kuwa na maana kubwa zaidi ya namna ambavyo tumekuwa tukiyasoma? Vipi kama baadhi ya simulizi hizo si historia ya watu waliopita tu, bali ni ujumbe...
  2. JamiiForums Tanzania Styles za chumbani sio uonezi kwa wanawake, sisi wanaume hua tunazitumia tuwapo kazini

    Wakuu habarii, Moja kwa moja kwenye maada! Kuna hii ishu ya baadhi ya mikao ya kula tunda kuonekana kama vile ni unyanyasaji wa kijinsia kwa wanawake. Leo naomba niwasanue wanawake kua mikao karibia yote unayopangwa na mtu wako hua wanaume wanaikaa na wao wawapo job. So unavyo geuzwa geuzwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mwauwasa sisi ni binadamu sio ngamia

    Inasikitisha Sana kwa Ukanda Wa Pembezoni Mwa Ziwa Viktoria Kuwa na Tatizo sugu La Huduma ya Maji, Mkoa Wa Mwanza Imekua Si Changamoto tena imekua Kama ni Wajibu wa Wananchi Kukosa Huduma Hii Muhimu Kwa Wiki kadhaa au Miezi,Bahati Mbaya Hakuna Taarifa zinazotolewa Wazi kwa Umma Kama kutakua na...
  4. JamiiForums Tanzania GODBLESS LEMA anaonesha siasa sio uwanaharakati!

    Ilikuwa inanishangaza sana eti mpuuzi mmoja ambaye tuliwahi kumsema humu JF ndio amegeuka kuwa nguzo ya kisiasa ya chadema
  5. JamiiForums Tanzania Ccm acheni upumbavu aliyekufa leo ni mwaccm mwenzenu ingawa alidai yeye ni wa Nyerere sio wenu nyie matapeli toeni pole tu kwa familia ya Lissu mbona.

    Mbona Lissu alimpa pole Samia hata alipokuwa jera? Nawakumbusha tu alute ni mwanaccm mkongwe jamani toeni pole .
  6. JamiiForums Tanzania Kwa Mujibu wa LEMA, kuhamasisha Maandamano ni Kosa, ila vyombo vya Dola kuua Watu Kwa Risasi moto , Sio Kosa !!!

    Hela za Abdul ulizokula zinakulazimisha ulopoke kama Mtu aliyekatwa kichwa !!. LEMA wewe ni kadudu kadogo sanaaa kulinganisha na CHADEMA.
  7. JamiiForums Tanzania Hii picha sio AI. Kuna video kamili ya tukio hili. Mama na mwanae walirushwa kwenye shimo and shortly after wakauliwa.

    mcTobby mwafrika atafanya haya kwa mwafrika nwenzake alafu kesho atakaa katika vyombo vya habari aseme "wazungu ndio mashetani"
  8. JamiiForums Tanzania Sio kila mtu wakumpa upendo / heshima , wengine ukiwapenda wanakuzawadia dharau

    Sio kila mtu wakumpa upendo / heshima . Wengine ukiwafanyia hivo wanakuzawadia dharau , chagua watu wakuwaheshimu na watu wakuwapenda .
  9. JamiiForums Tanzania Tambua Harusi yako ni ratiba yako sio ya watu wengine , usikasirike mtu asipohudhuria

    https://www.instagram.com/reel/DfMCitbtkdX/?dlrf=Y2prNXZxcGthb3J2
  10. JamiiForums Tanzania Sio Kila maumivu ni Hospital mengine ni Pesa tu

    Kuna siku Mwanamke anaweza kuamka na maumivu makali sana ya mwili. Wakati mwingine maumivu hayo hayahitaji dawa ya Hospital. Maumivu ya wanawake huweza kusababishwa na vitu vingi ikiwemo mawazo tu ya kupata vitu vizuri kutoka Kwa mwenzi wake. Siku ukisikia "mume wangu/Mpenzi naumwa" hatutaki...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mtumba (kama zile nguo chakavu kutoka Ulaya) sio jina sahihi la kuuita mji mpya, wa kisaa tena mali ya serikali. Watunga sera wale waliwaza nini??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Hivi kweli, mji mpya (sio second hand), wa kisasa tena mali ya serikali unauita mtumba?? Seriously?? Mh. Mizengo Pinda aliwahi kukataa sehemu anayoishi hapo Dodoma kuitwa zuzu. Hiyo sehemu ikabadilishwa jina ikaitwa jina la kabila la wagogo lenye maana ya jiwe kubwa...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kiburi na jeuri ya Chama Dola sio vyombo vya Dola kama wanavyodai ni mali Yao Bali ni Kodi na tozo za wananchi maskini wanazikusanya

    Vyombo vya Dola haviwezi kujiendesha bila Kodi na Tozo za wananchi maskini Serikali haiwezi kujiendesha bila tozo na Kodi kutoka Kwa wananchi maskini Kwa wananchi ndo wenye MAMLAKA ya mwisho juu ya hatima ya Taifa lao sio vyombo vya Dola Wala majeshi Watawala waovu wanachoweza kufanya ni...
  13. JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki huadhimisha siku ya Marehemu wote yaani Commemoratio Omnium Fidelium Defunctorum, kila mwaka tar.02 Nov, na sio ule unafiki wa teki.

    Siku ya Marehemu Wote inayojulikana Kilatini kama Commemoratio Omnium Fidelium Defunctorum, huadhimishwa kila mwaka tarehe 2 November, ili kuwakumbuka, kuwaenzi na kuwaombea waamini marehemu katoliki wote na waja wa Allah wote waliotangulia mbele ya haki. Mtakubaliana nami kwamba kilichofanyika...
  14. JamiiForums Tanzania Ni tabia sio uhalisia wa usahihi

    Pole sana SweetyCandy Sijui kilichokukuta na pole kwa maumivu. Naomba tuwe wa haki kidogo. Kuna wababa wanaoyumba, ni kweli, na kila mtu ana mfano wa mmoja. Lakini kuchukua mfano wa watu wachache kisha kusema "wababa wote kazi yao ni kupiga watoto na kukimbilia michepuko" si ukweli wa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nape, Nchimbi sio mpuuzi

    https://youtu.be/xTGJUQFLlI4?si=YFELlBh43spliZUs
  16. JamiiForums Tanzania Hizi videos za madogo wa form four zinafurahisha kama sio wadogo zako au watoto wako

    Alafu ikukute wewe ni masikini , aisee utachapiwa nyumba nzima, mke, mtoto wako mwenye divsheni 4, mdogo wa mke wako,etc unakuta hadi boda boda wamewatungia majina tayari maana wamegawana familia yako😁, utasikia binti yako anaitwa "aisha sarakasi" Aisee Eli Cohen secretarybird Kinyungu Harmful
  17. JamiiForums Tanzania TBC mnazungumzia kuporomoka gorofa Kenya vipi kuhusu kutekwa kwa mtanzania mwenzetu Twaha Mwaipaya hiyo sio habari kwenu?

    TBC mnazungumzia kuporomoka gorofa Kenya vipi kuhusu kutekwa kwa mtanzania mwenzetu Twaha Mwaipaya hiyo sio habari kwenu? TBC hivi kutekwa KWA TWAHA MWAIPAYA sio habari kwenu?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Art of politics in Africa: bana pesa na miradi ili wananchi waone maendeleo ni fadhila sio haki yao, kisha wabaki wanyenyekevu kwa viongozi na mamlaka

    Nimeikuta hii video random mtandaoni, ukikaa na kui analyze kwa upana ni nchi nyingi za Africa jamii inayolazimika kuomba, kushukuru na kunyenyekea ili iweze kuishi Tunasikia kauli kama “Mradi wangu,” “Nitatoa pesa,” “Nitaleta maendeleo,” na “Mimi ndiye niliyesaidia.” Tunaomba kwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO acheni kukosa ustaarabu: mkisema umeme utakatwa saa 12 asubuhi na kurudi saa 12 jioni, basi rudisheni umeme saa 12 jioni sio saa mbili usiku!

    Tanzania tuna silka moja ya kuongea uongo hasa linapokuja suala la wakati. Mtu anakuambia nitafika hapo baada ya dakika kumi halafu anafika baada ya saa nzima. Mkutano unaotakiwa kuanza saa tatu asubuhi unaanza saa tano asubuhi. Kiongozi alisemwa atafika saa nne asubuhi anafika saa sita mchana...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Sio kwamba wanawake wa Kinyakyusa ni wagumu, bali taasisi ya ndoa inahitaji mwanamke kujishusha, kutii na kukubali mwanaume kuwa kichwa cha nyumba

    Kuna mtazamo hasi sana umekuwa ukisambazwa kuwa wanawake wa Kinyakyusa wana kiburi, ni wababe, Lakini, je, umewahi kujiuliza kuna nini nyuma yake ? Ndoa inamuhitaji mwanamke kujishusha (Submissive), Ndoa inamtaka mwanamke kumtii mme wake, ndoa inamtaka mwanamke kukubali mwanaume ndie kichwa cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…