sio

Silicon monoxide is the chemical compound with the formula SiO where silicon is present in the oxidation state +2. In the vapour phase, it is a diatomic molecule.
It has been detected in stellar objects and has been described as the most common oxide of silicon in the universe.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kanisa Katoliki kila Jumapili tunaombea marehemu wote, ila wa Oktoba 29, 2025 tuna maombi maalumu maana waliuawa kikatili

    Siku ya kumwombea Nyerere hufanyika kila mwaka, misa ya Mkapa hivyo hivyo, misa ya wafu wote waliotangulia mbele ya haki sisi uwa tunaiadhimisha tu. Tofauti ya marehemu wengine na hawa wa Oktoba 29, 2025 tunawaombea ibada maalumu kwa maana hawa waliuawa na wahuni, wezi wa kura, majizi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Kataa umaskini, umaskini sio sifa

    Sina time ya kusalimia Wengi tunadhani UMASKINI ni Ukosefu wa Hela...WALA! Hela zipo teleeee tena Bwerere,ni wewe tu ndio unapishana nazo! UMASKINI ni UKOSEFU WA MAWAZO(Ideas)...Ukiwa Huna IDEAS Hela haiwezi kuwa rafiki yako KAMWE! Ukienda Benki kuomba mkopo watakuuliza UNA WAZO GANI unataka...
  3. JamiiForums Tanzania Nina mashaka hata huyu mtoto Sio wa Kwangu

    Habari zenu wakuu, Japo mnasema Kitanda hakizai haramu lakini Kwa hapa nimekuwa nimekuwa Na mashaka, Ni miaka miwili Sasa imetimia Toka niachane Na Yule binti wa kizaramo Na kuachana kwetu Kwa upande wangu sikuwa Na sababu kubwa japo Nina Imani Kwa upande wake sababu ilikuwepo japo mpaka Leo...
  4. JamiiForums Tanzania VIDEO; Hii sio sawa kabisa, mnaachaje kumsaidia mwenzenu ili tu muendelee kuswali?

  5. M

    JamiiForums Tanzania Huu sio ustaarabu; uniombe nikutumie pesa, niitafute au nijibane, nihangaike kukutumia halafu ikifika ukae kimya bila hata kunijulisha

    Imagine mtu amekuomba umtumie pesa. Wakati huo huna au unayo ila ilikuwa na kazi nyingine, utajiminya au utahangaika mpaka umtumie, lakini ikifika yeye hafanyi hata effort ya kukujulisha kwamba amepokea. Unaweza kubaki na wasiwasi, ukidhani labda pesa haijafika, kuna tatizo la mtandao au...
  6. JamiiForums Tanzania Hii siyo ramli Ila soon Watanzania Mtapata mnacho kiomba

    Kwenye ndoto nimeona nderemo na vifijo vingi sana mtaani kama kuna sherehe
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Makonda umekataa kutupa hela waandishi wa mtandaoni kwani sisi sio Content Creators?

    WAZIRI MAKONDA UMEKATAA KUTUPA HELA WAANDISHI WA MTANDAONI KWANI SISI SIO CONTENT CREATORS? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Juzi tulionana pale kwenye Final ya Pongwe Cup, Upanga, ukiwa kama Mgeni Rasmi. Sikupata nafasi ya kukujulisha hili kutokana na hali iliyokuwepo. Hii ni mara ya pili...
  8. JamiiForums Tanzania SUMA JKT watengeneze drone, missile, bunduki, Armoured vehicles n.k na sio kujenga barabara au majengo

    Binafsi naona sio sawa kwa SUMA JKT kujenga barabara, majengo na nyinginezo kama hizo Kuanza qualification za kwenda jeshi iwe ni JKT au JWTZ ziwe ni form six aliyefaulu kwa dv 1 au 2 Naamini SUMA JKT wajikite kwenye kutengeneza vifaa vya kijeshi kuanzia kwenye tafiti research mpaka kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya kweli tuwaachie watoto wadogo tu

    Naona kabisa hapa ni kheri niachane na mapenzi.. Nitapoteza muda, na energy bure wakati umri umeshanitupa mkono. Sioni na sitambui kama kuna watu wakweli katika hii dunia iliyo chafuka Naona kabisa, ni kheri nifanye mchakato nizalishe mtu, nipate majukumu alafu maisha mengine yaendelee Mambo...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwenge wa Uhuru sio msingi wa maendeleo ila ni chanzo cha wezi na wabadhirifu kuiba na kupiga mali ya umma?

    Mwenge umeshindwa kuwa na tija na faida kwa taifa letu la Tanzania. Hapa kuna uchambuzi wa takwimu za bajeti zinazohusika na mbio hizi, pamoja na hoja kuu za upande wa pili unaounga mkono Mwenge kama nguzo muhimu ya taifa. 💰 Makadirio ya Bajeti na Gharama za Mwenge Ingawa serikali haijaweka...
  11. JamiiForums Tanzania "Huu Sio Wakati wa Unyonge,ni Wakati wa Kuunguruma Kwa Sauti Kubwa, Kuthibitisha Maana Halisi ya Utawala wa Sheria", - Hatubabaiki- Rais wa TLS

    Wanabodi, Msikilize Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi Atuma Salaam nzito https://youtube.com/shorts/D8VgSlxC6Uw?si=JOjb2R7WjtdwsBbf Ni kama ametangaza vita. Mzee Pasco Rejea za Pasco kumhusu Rais wa TLS...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanaume, Nini kinachangia utembee na mwanafunzi, tena under 18?

    Licha ya Sheria lakini bado tu hamkomi. Wengine wengi wamefungwa. Ndio kubet ama vipi? Kuna binti alikuwa anatafutwa kwao wiki nzima nyumbani haonekani wala shuleni haonekani. Wenzie wako kwenye maandallizi ya kufanya mtihani wao wa form four week ijayo. Wakajua kapotea kumbe kafungiwa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Pwani kakosea kutaka waziri aombe radhi, kilichosemwa na waziri kilihusu watu sio jumuiya.

    Siku zote Kuna tofauti kubwa kati ya mtu ( binafsi) na taasisi au jumuiya katika jicho la kisheria licha ya kwamba Taasisi au jumuiya zinaongozwa na watu. Katika mazingira hayo, Taasisi inatenganishwa na watu moja kwa moja. Hili ndio naliona tatizo kwa UVCCM Mkoa wa Pwani kutaka kuhusianisha na...
  14. JamiiForums Tanzania From now on, sitatumia pombe ya aina yoyote. Miaka 12 ya unywaji wa pombe si haba; it's enough

    Baada ya kukaa kikao kizito na ubongo wangu tukishauriana baadhi ya mambo hatimae tumefikia conclusion hio. Najua ni ngumu kuacha pombe ila nimeamua sitatumia pombe ya aina yoyote ile from now onwards.
  15. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo maana halisi ya kuwa Makamu wa Rais wa nchi, sio kile kituko

    Mh. Ndejembi anafanyakazi kama cheo cha Makamu wa Rais halisi kinavyotaka na kinavyofahamika duniani. Ile nyingine looh!! https://youtu.be/wAfurtxDKh0?si=fVo4QbwaIxUNWOEN Ile nyingine hii hapa. Utadhani alirogwa kwa kutupiwa jini liitwalo Kambona https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=9C3XL_ZkRpimhWw9
  16. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu tumseme kwa mengine sio hili la kutumia watu jini Makata mtoa roho

    Kuna dada nimeona mtandaoni anadai eti alikuwa anaumwa. Akasema eti Samia Suluhu Hassan alimtumia jini Makata ambalo kidogo limtoe roho. Akadai eti amerudi na amepona yupo lelelelee.. Mwamwamwamwa..! Swali ni Jini makata Samia alitoe wapi labda jini maimuna. Makata? 🤣🤣. Kwanza jini Makata...
  17. JamiiForums Tanzania Wadau sio jambo jema kufurahia kifo cha mtu kisa tu hujamuona mitaani akifanya shughuli za kisiasa kama udiwani n.k

    Subiri Mungu afanye kazi yake. Sio kuanza kuzua uongo na kushabikia. Kifo ni suala ambalo halihitaji kisasi. Ni kumuachia Mungu tu.
  18. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina acha kupotosha watu.Hatima ya hii nchi ipo mikononi ya Watanganyika wanaodhurumiwa sio Kikwete.Watanganyika hawamtaki Kikwete na Samia

    Unataka Kikwete aseme nini? Kuwa wewe Kikwete na huyo Samia wako wananchi hawatutaki? Mliogopa kusema ukweli mkiwa CCM kama Humphrey Polepole leo mnajuta mkijifanya wapinzani Hii haiwezekani. Maandamano ya Oktoba 29 kupinga mauaji ya raia ili CCM mtandao waibe mali za Watanganyika ni jibu la...
  19. JamiiForums Tanzania Kosea mambo yote lakini sio kuoa

    Ndoa zimeharibu maisha ya vijana wengi sana. Let me drink my fckng beer
  20. JamiiForums Tanzania Chai ya maziwa sio maziwa na kahawa

    Nimeagiza chai ya maziwa nimeletewa maziwa na kahawa nichanganye! Hakika Watanzania wengi wana IQ ya Panzi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…