tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Jux anafanya wanaume wote wa Tanzania tuonekane wastaarabu kwenye mapenzi

    Mimi sio hansome,sina hela,sina six pax,sina umaarufu wowote ila tangu january mpaka sasa nimeshatindua mabinti zaidi ya 19,na mwaka bada mbichi kabisa Siku ya msiba wangu nitatia aibu sana kwa rundo la watoto msibani kwangu. Minajijua siendi mbinguni kwadhambi moja tu ya uzinzi Sasa mdogo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pasaka hii Ina uhusiano na ujenzi wa nchi ya Kidemokrasia ya Tanzania

    Upatikanaji wa Taifa la Kidemokrasia ni muhimu sana kama kupatikana uhuru wa Taifa. Hatuhitaji kumwaga damu ya Mtanzania yeyote Ili kuwa na Nchi ya Kidemokrasia. Damu ya Yesu Kwa mateso makali ilimwagika Kwa ajili ya ukombozi wa mwanadamu. Yesu alishinda kifo na mauti Ili tuwe huru. Tundu Lisu...
  3. JamiiForums Tanzania Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania

    Title ya Uzi (Mada): Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania Napenda kujua kwa undani juu ya jinsi ya kupata leseni ya udereva hapa Tanzania. Maswali yangu makuu ni: Ni vigezo gani muhimu vinavyohitajika kabla ya kuanza mchakato? Ada ya malipo TRA ni kiasi gani kiasi gani kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Hatua na taratibu za kupata leseni ya udereva tanzania

    Title ya Uzi (Mada): Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania Napenda kujua kwa undani juu ya jinsi ya kupata leseni ya udereva hapa Tanzania. Maswali yangu makuu ni: Ni vigezo gani muhimu vinavyohitajika kabla ya kuanza mchakato? Ni mitihani gani hupaswa kufanya (nadharia na...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kama Kiongozi wa Uzalishaji wa Mazao ya Kilimo Katika Afrika Mashariki: Uchambuzi Kutokana na Picha ya Satelaiti

    Kutokana na picha ya satelaiti ya eneo la Afrika Mashariki, Tanzania inaonekana kuwa mgombea bora wa uzalishaji wa mazao ya kilimo kutokana na mambo kadhaa ya kijiografia na kimazingira yanayoonekana kwenye picha: 1. Eneo Kubwa la Ardhi Uchunguzi: Tanzania ina eneo kubwa la ardhi ukilinganisha...
  6. JamiiForums Tanzania Ni biashara gani au uwekezaji gani una failure rate kubwa hapa Tanzania?

    Ni biashara gani au mradi gani hapa Tanzania unaongoza kwa kufelisha watu. Yaani unakuta biashara ndani ya mwaka inafungwa sana. Ni mradi gani ambao watu wengi wakiufanya huangukia pua? Pia ni mradi na biashara gani ambayo ina failure rate ndogo ndani ya mwaka mmoja?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Lissu Hana Familia Nchini na Watoto Wake Wana Uraia wa Marekani.Ndio Sababu Hana Uchungu na Tanzania hata kukitokea Machafuko na kuchinjana.

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwakumbusheni na kuwataarifuni ya kuwa mnapoona Lissu anatoa lugha za uchochezi,ubaguzi na kuhamasisha vurugu na machafuko hapa Nchini . Ni kwa sababu hana uchungu na Taifa hili, hana cha kupoteza katika Maisha yake hapa Nchini. Hana Damu inayoweza kumuuma...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hashimu Lundenga afariki dunia. Alijulikana kwa kusimamia mashindano ya Miss Tanzania

    Kutoka Mtandao wa X ndiyo habari mpya. My take: Simuhukumu lakini kusimamia wasichana kutembea uchi au Nusu uchi kwenye stage Mungu anasemaje kuhusu hilo?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Lissu na wengine ni Tanzania Mpya heros. Vizazi vitawatambua hivyo.

    Salaam! Miaka mingi sana sijaandika. Nipo busy ughaibuni. Lakini, leo nimelazimika kuandika ili kuwasihi. Nikiwa huku nilipo napata wasaa mzuri wa kuona siasa za Tanzania na uelekeo wake kwa ujumla. Tanzania inakwenda kubadilika kwa mara ya kwanza tangu ianzishwe. Mikononi mwa Rais Samia...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Are we advancing or regressing in tax dispute resolution in Tanzania?

    Introduction Since 2000, Tanzania has undertaken significant reforms to strengthen its governance and public administration frameworks. The tax sector was no exception. The enactment of the Tax Revenue Appeals Act (Cap. 408) led to the establishment of a Unified Tax Revenue Appeals Tribunal...
  11. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Dunia yapo Tanzania, Handeni Mjini wapiga kura 28,000 Arusha Mjini Wapiga kura 521,000

    Hii ndio Tanganyika ya Mwl Nyerere,Kawawa......... Mifumo yetu ya uchaguzi haitazami idadi ya watu inatazama nani anatoka wapi na anawakilisha chama gani. Jimbo la Arusha mjini lina wapiga kura 500,000 mbunge mmoja wa kuchaguliwa,Jimbo la Hadeni Mjini lina wapiga kura 28,000 mbunge mmoja wa...
  12. JamiiForums Tanzania Mabaki ya Roketi ya anga za juu yaweza kuanguka Kenya na Tanzania ndani ya saa 24 zijazo, Mamlaka zatahadharisha

    Nchi za kenya na Tanzania, zimetahadharishwa na wataalamu wa masuala ya anga za juu kuhusu uwezekano wa kuanguka kwa mabaki ya kifaa cha anga za juu (roketi). Shirika la Anga la Kenya (KSA) limethibitisha hilo na kutoa tahadhari kwa wananchi wa nchi hiyo kuhusu uwezekano wa kuanguka kwa kifaa...
  13. JamiiForums Tanzania Ukimya wa Wananchi: Nguzo ya Uonevu wa Kisiasa Tanzania

    Katika historia ya mataifa yote yaliyojikomboa kiutawala, sauti ya wananchi ndiyo iliyovunja minyororo ya uonevu na ukandamizaji. Lakini hapa Tanzania, tunaishi katika kipindi ambapo ukimya wa wananchi umegeuka kuwa baraka kwa watawala dhalimu. Viongozi wanakiuka haki, wanatumia vibaya madaraka...
  14. JamiiForums Tanzania CHINA AMEKWISHA SHINDA VITA YA UCHUMI DHIDI YA MAREKANI : MAREKANI ALIKOSEA KUCHANGA KARATA

    CHINA imechukulia vikwazo vya MAREKANI Kama fursa tukio linalotueleza kuwa MAREKANI ALIKOSEA kuchanga karata zake na ushuru wake wa asilimia Zaid ya 230 kwenye bidhaa za uchina. Kitu Dunia haikujua ni kwamba Kuna bidhaa nyingi Sana za kimarekani Hasa zile za mavazi na kielectronic huwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya harusi za Nigeria na Tanzania

    Kupitia harusi ya Jux kule Nigeria nimepata somo kubwa sana. A: 1. Nigeria 🇳🇬 wanaheshimu sana mila 2. Nigeria 🇳🇬 ni wachangamfu sana 3. Nigeria 🇳🇬 wana vibe kubwa 4. Nigeria 🇳🇬 kwenye Sherehe watu wote wamechangamka , wana furaha na tabasamu. B: 1. Tanzania 🇹🇿 mila ni kwa kiasi kidogo...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Je Tanzania ni nchi ya kidemokrasia? Sijui kama tunajielewa

    Hata huko China wameamua moja kwamba jamani sisi Demokrasia hatuna hivyo hivyo huko Russia Kakini hata Malawi, Zambia, Kenya, Botswana, SA wamechagua kwamba nchi zao ni za demokrasia Wenzetu wa Uganda na Rwanda ni mfumo wa familia na uongozi wa mtu mmoja Tanzania hatueleweke mara demokrasia...
  17. JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi ameelezea namna anavyofanya majukumu yake

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, ambaye pia anatuwakilisha katika nchi za Denmark, Finland, Norway, Iceland, Estonia, Latvia, Lithuania na Ukraine, amefanya mahojiano katika taarifa ya habari ya ZBC na mtangazaji Abubakar Harith na kueleza atakavyotekeleza majukumu yake ya...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Thabit kombo: Ireland waichagua tanzania kuwa makao makuu yake ya kibiashara barani Afrika

    14 Mach 2025 Dar es Salaam, Tanzania IRELAND WAICHAGUA TANZANIA KUWA MAKAO MAKUU YAKE YA KIBIASHARA BARANI AFRIKA - MHE. THABIT KOMBO https://m.youtube.com/watch?v=01B057JdTR0 Tanzania na Ireland zimeazimia kuimarisha ushirikiano wao katika nyanja mbalimbali za maendeleo na uchumi ili kukuza...
  19. JamiiForums Tanzania Nikigraduate tu, siwezi kutafuta maisha Tanzania, naanza na Botswana

    Ajira ni ngumu, lakini duniani huko ajira ni nyingi sana, Bora nikawe mlinzi Dubai kuliko kuwa mlinzi wa Suma jkt hapo dsm.. Nikiwa nje nitafanya KAZI yoyote mpaka nitoboe kama itapendeza ntaoa jimama la kizungu linipe uraia. Bongo Sina future napo.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania irudi kwenye mfumo wa chama kimoja ili kukomesha ukoloni mamboleo

    Nilikuwa kwenye pitapita zangu YouTube nikakutana na video hii https://www.youtube.com/watch?v=8blC9qfUya8&t=222s Kwenye hii video utajifunza kuwa taifa le kigeni tena siyo taifa jirani bali taifa ambalo liko mbali kabisa na nchi yetu limeamua kuingilia siasa za ndani ya taifa letu bila aibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…