ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Uchaguzi 2020 Magufuli(Mlowa): Ubunge sio 'madigrii' ni kipaji kutoka kwa Mungu; mkichagua Wapinzani nitashindwa kuwatumbua wasipofanya kazi

    Katika kipindi cha miaka 5 tumefanya mengi, hata kuhamishia Makao Makuu Dodoma halikuwa jambo dogo. Miaka 47 haijawezekana ila miaka 5 tumeweza. Makao Makuu yanamaanisha ustawi wa eneo hili unakuja kwa nguvu. Tunajenga Uwanja wa Ndege mkubwa huko Msalato ili ndege za kimataifa zije. Tumeleta...
  2. K

    Uchaguzi 2020 Kuna Mgombea wa Ubunge kafanyia Kampeni Kanisani

    Ni Ramadhan Ighondu wa Singida Kaskazini. Alifanya hivyo jana katika kijiji cha Mangida kata ya Msange katika kanisa la FPCT. Je, hii inaruhusiwa na sheria za uchaguzi?
  3. D

    Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge Same Magharibi kupitia CHADEMA, Gervas Mgonja asimamishwa kufanya kampeni kwa siku 14. NEC mtueleze huu utararibu ulianza lini?

    Jana Boniface Jacob wa Ubungo alisimamishwa kwa siku saba. Leo Gervas Mgonja amesimamishwa kwa siku 14. Wote ni wa CHADEMA. Huu utararibu ulianza lini? Kamati ya Maadili ya Jimbo la Same Magharibi, imekuta na hatia katika fujo zilizotokea kati yake na Diwani wa CCM kwenye jimbo Husika. Mwenyeki...
  4. D

    Uchaguzi 2020 VIDEO: Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Bukoba vijijini, Jason Rweikiza afukuzwa na wananchi wakati akiomba kura

    Mambo ni moto. Hii ni leo kwa Rweikiza Bukoba Vijijini
  5. Uchaguzi 2020 Felix Mkosamali Mgombea Ubunge wa CHADEMA atangaza biashara ya uwakili kinyume cha Maadili ya Uwakili

    Sera ya CHADEMA ni maendeleo ya watu sio vitu Wakili Felix Mkosamali Mgombea Ubunge CHADEMA Muhambwe ampinga Lissu na CHADEMA anadi sera ya maendeleo ya vitu kuwa hizo ndizo sera kinyume na Lissu anayepinga maendeleo ya vitu Wakili Mkosamali pia ametangaza biashara yake ya Uwakili kwenye...
  6. Rufaa ya kugombea Ubunge wa Suzan Kiwanga

    Wadau naomba kuuliza kama mgombea Ubunge Jimbo la Mlimba kupitia CHADEMA, mheshimiwa Susan Limbeni Kiwanga kama rufaa yake ya kupinga kuondolewa kugombea Ubunge ilishatolewa uamuzi na tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)?
  7. Kukosekana kwa Sura mpya za Wagombea ubunge CHADEMA kunaashiria kutokubalika

    Mwaka 2010 na 2015 Chadema ilifanikiwa kupata wagombea ubunge wengi ambao ni ingizo jipya. Mwaka huu sijasikia kamanda mpya anayetajwatajwa kujiunga na Chadema na kugombea ubunge. Kwa upande wa CCM wapo wagombea wengi wenye influence na ni damu mpya itakayoleta chachu ya majadiliano bungeni.
  8. Video: Huyu ndiye mgombea ubunge jimbo la Kawe

    CCM ndiyo inataka kutupelekea wabunge wa dizaini hii halafu, weupe na wasio na uelewa na ufahamu wa namna serikali inavyofanya kazi. Gwajima anataka kuwaaminisha wananchi kuwa utofauti wa bei ya sukari unasababishwa na mbunge kutosema. Kwa usomi wake na exposure aliyonayo kila mtu alitegemea...
  9. Uchaguzi 2020 Waraka wa mgombea ubunge jimbo la Songwe kwa Askofu Mwamakula!

    WARAKA WA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SONGWE KWA ASKOFU MWAMAKULA! Bwana Yesu Asifiwe mtumishi wa Mungu. Ninaitwa OBADIAH SIMON MWAIPALU. Ni Mgombea UBUNGE Jimbo la SONGWE Mkoa wa SONGWE kupitia CHADEMA. Nilienguliwa na Msimamizi wa Uchanguzi Jimbo la SONGWE kwa kuchezea fomu yangu na kugushi namba...
  10. Uchaguzi 2020 Special Thread: Harakati za kampeni za mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima

    Haya naona Gwajima kaingia rasmi "kitaa" Kwenye siasa kila sanaa itafanywa haijalishi aliyeifanya ni nani!
  11. J

    Uchaguzi 2020 Ridhiwan Kikwete apita bila kupingwa Ubunge Chalinze, labda ndiye " yule" ajaye 2025!

    Ni jambo jema. NEC imempitisha bila kupingwa Ridhiwani Kikwete kuwa Mbunge wa jimbo la Chalinze baada ya mshindani wake kutoka chama pinzani kujitoa. Source Swahili times Maendeleo hayana vyama!
  12. Uchaguzi 2020 Orodha ya kamili ya Viti Maalum Ubunge na Udiwani kutolewa baada ya ushiriki wa kampeni - Katibu Mkuu CCM Dkt. Bashiru

    ORODHA KAMILI YA VITI MAALUM UBUNGE NA UDIWANI KUTOLEWA BAADA YA USHIRIKI WA KAMPENI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, ametoa msimamo wa Chama katika kuteua wabunge wa viti maalum, ambapo ameeleza kuwa, kwa upande wa Udiwani aliyeshinda kura za maoni ndio...
  13. Uchaguzi 2020 Kampeni za Mgombea Ubunge wa Bukoba mjini kupitia CHADEMA ndugu Chief Karumuna: Bukoba yatikisika!

    Ni siku mbili tu baada ya Magufuli kutoka hapa!
  14. Uchaguzi 2020 Umuhimu wa Mawakala wa Wagombea Urais, Ubunge na Udiwani kupatiwa nakala za matokeo ya uchaguzi katika vituo vya kupiga kura

    KILA WAKALA WA MGOMBEA URAIS, UBUNGE NA UDIWANI KATIKA KITUO CHA KUPIGA KURA ANA HAKI YA KUPATIWA NAKALA YA FOMU YA MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS, MBUNGE NA DIWANI. SEHEMU 1: UTANGULIZI. Makala hii inaangazia haki ya kisheria ya wagombea Urais, Ubunge na Diwani kupatiwa Nakala za Fomu za Matokeo...
  15. B

    Uchaguzi 2020 Uzinduzi Kampeni: Mgombea wa Mbeya Vijijini ubunge

    17 September 2020 Mbeya Vijijini Tanzania Kamanda China wa China Joseph Mwasote Mgombea wa ubunge kupitia tiketi ya CHADEMA kamanda Joseph Mwasote hatimaye azindua kampeni yake ya 2020 baada ya Tume ya Uchaguzi kurudisha jina lake liliokuwa limeenguliwa kufuatia pingamizi alilowekewa...
  16. W

    Idadi ya wabunge tarajiwa ACT-Wazalendo inawabeba dhidi ya CHADEMA Bungeni, kama Zitto akishinda Ubunge kuwa KUB

    Ndugu zangu, Hii inatokana na uzoefu wa kura za Wazanzibar hususani wapemba ambao hupiga kura kutegemea chama anachotoka Maalim Seif. Kama hali itakuwa hivyo ACT wana uhakika wa wabunge angalau 20 kutoka Zanzibar kitu ambacho CHADEMA au chama kingine hakiwezi kupata wabunge kumi (10) nchi...
  17. Uchaguzi 2020 Ubunge Arusha sasa upo wazi kwa Godbless Lema

    Heshima sana wanajamvi, Mbio za ubunge katika jiji letu la Arusha sasa zipo wazi kabisa kiasi kwamba hata kipofu ni rahisi kujua na kufahamu nani atashinda ubunge. Mara baada ya Mheshimiwa Mrisho Mashaka Gambo kupitishwa na kamati kuu kugombea ubunge Arusha Mjini kulikuwa na sintofahamu kubwa...
  18. M

    Fact Checking: Rais Magufuli hukumteua Masilingi kuwa Balozi Marekani baada ya kumaliza Ubunge wa Muleba

    Kwenye kinyang'anyiro cha Uchaguzi wa mwaka huu wa 2020, Rais Magufuli alipopita katika mkoa wa Kagera wilayani Muleba, aliwaambia wananchi wa wilaya hiyo kuwa anafahamiana sana na mheshimiwa Masilingi na kwamba yeye ndiye aliyemteua Masilingi kuwa Balozi Marekani baada ya Ubunge wake huko...
  19. B

    Uchaguzi 2020 Robert Kisinini, Mgombea Ubunge wa Iringa Mjini kupitia NCCR-Mageuzi

    14 September 2020 Iringa Mjini MGOMBEA UBUNGE IRINGA MJINI ROBERT KISININI "AFUMANIWA" AKIFANYA HAYA Mwaka 2020 huu yupo NCCR-MAGEUZI akitumaini kuchaguliwa kuwa mbunge HISTORIA MWAKA 2015 aligombea Uspika Mgombea Uspika DP Mhe. Robert Kisinini aahidi kurudisha imani ya kweli kwa wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…