uganda

  1. Leo nimeyakumbuka maneno ya kiongozi wa Upinzani Uganda, Bobi Wine

    Mwaka 2016 Y.K Museveni alitanganzwa mshindi kwenye uchaguzi wa Raisi huku mpinzani wake Col Dkt kizza Besigye akiwa gerezani katika kipindi chote cha kuhesabu kura na utangazaji matokeo Baada Raisi Museveni kuapishwa kua raisi wa nchi hiyo na kuanza majukumu yake ndipo Col Dkt kizza besigye...
  2. Tanzania, Uganda order ships from Kenyan military firm

    Kenya Shipyard Limited (KSL) has received six orders from Tanzania and Uganda for the construction of ships, raising the business prospects of the newly formed entity. The firm’s deputy director, Peter Muthungu, added that it had another 11 orders from local firms for the construction of the...
  3. Mahakama ya ICJ yaiamuru Uganda kuilipa DRC faini dola milioni 325

    Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) ilitangaza Jumatano wiki hii kwamba dola Milioni 325 ndio kiasi cha fidia ambacho Uganda inapaswa kuilipa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambayo ilikuwa ikidai zaidi ya dola bilioni 11 kwa uvamizi wa Uganda mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
  4. Tarehe 2 Februari mwaka 1971 Idd Amini alijitangaza kuwa Rais wa Uganda

    Siku kama ya leo mwaka 1971, jitu la Miraba minne Idd Amin alijitangaza kuwa Rais wa nchi ya Uganda na hii ni baada ya kugutuka kwamba Milton Obote alikuwa akipanga kumkamata kwa matumizi mabaya ya fedha za jeshi, Awali, Amin alichukua mamlaka kwa kufanya mapinduzi ya kijeshi tarehe 25 Januari...
  5. B

    Uganda na Tanzania zasaini mkataba wa kuanza uzalishji wa mafuta

    MAKAMU WA RAIS AMUWAKILISHA RAIS SAMIA UGANDA, MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI.. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 1 Februari 2022 amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Samia Suluhu Hassan katika hafla...
  6. Ushuhuda: Kusomesha mtoto shule ya kiingereza yenye walimu wa Zambia/Malawi /Kenya /Uganda kuna afadhali zaidi kuliko walimu wa hapa kwetu

    Hiki kitu nimeshuhudia kuna mtoto wa ndugu yangu anasoma shule flani ya msingi darasa la nne, ni shule ya mtaala wa kiingereza ila walimu ni wa hapa kwetu, huwa anafaulu vizuri tu lakini kuna maswali aliniletea nimsaidie ya social studies (maarifa ya jamii) sasa nikawa namweleza swali...
  7. Kenya 🇰🇪 na Uganda 🇺🇬 zaongoza kwa uchawi Afrika Mashariki

    This article doesn’t mean to spoil any country or nation put to prove the existence of witch craft in African. According to research,there are 55 countries in Africa but not all could be found with witchcraft. We must know that the Witchcraft in Africa countries is different from that in other...
  8. Uganda na Total wamechagua Mombasa port badala ya Dar port kupokea mizigo kutoka Ulaya ya kujenga viwanda vya mafuta vya Uganda

    Kuna wakati Watanzania fulani hususan Geza Ulole alipinga vikali nilipomueleza kuwa Uganda watatumia port ya Mombasa kuingiza mizigo itakayotumika kujenga viwanda vya mafuta. Vifaa vingi vitakavyotumika kujenga viwanda hivi vitaagizwa kutoka ulaya na Dar port ipo mbali na Uganda na ndio sababu...
  9. Rais Mseveni aruhusu shughuli za uchumi kufunguliwa tena baada kufunga kwa takriban miaka miwili

    Shuguli zote za kiuchumi zimefunguliwa tena nchini Uganda leo Jumatatu baada ya kufungwa kwa baadhi ya biashara kwa karibu miaka miwili. Baa, vilabu vya usiku, kumbi za michezo na maeneo mengine ya burudani pamoja na shuguli nyingine za usiku vimefunguliwa rasmi baada ya kufungwa mwezi Machi...
  10. Uganda and Tanzania boosted Kenya's tourists numbers to 0.8 mln

    US, Uganda, Tanzania top as Kenya’s tourist sources THURSDAY JANUARY 20 2022 Tourists at a park Summary In the period between January to December 2021, USA topped as the major tourist source for Kenya with 136,981 followed by Uganda (80,067), Tanzania (74,051) while the United Kingdom and...
  11. Uganda: Wanafunzi milioni 4.5 hawatarudi shule

    Ripoti ya Mamlaka ya Mipango ya Taifa Nchini humo imeonesha Wanafunzi Milioni 4.5 kati ya Milioni 15 hawataweza kurudi Shule kwa sababu mbalimbali Uganda imefungua Shule hivi karibuni baada ya kuzifunga kwa takriban miaka miwili ili kudhibiti maambukizi ya Corona. Kitendo cha Watoto kukaa...
  12. #COVID19 Uganda kuharibu dozi zaidi ya 400,000 za COVID19

    Uganda itaharibu dozi zaidi ya dozi 400,000 za COVID-19 ambazo zimeisha muda wake wa matumizi kutokana na kasi ndogo ya utoaji chanjo nchini humo Waziri wa Afya wa Uganda, Jane Ruth Aceng amesema chanjo zilizopelekwa mikoa ya kaskazini hazikutumika. Dozi zilizoisha muda ni modern ana...
  13. Tanzania - Uganda: Ramani ya Afrika Mashariki ingekuwa tofauti na ilivyo sasa iwapo Idi Amin angeshinda vita vya Kagera

    Vita vya Uganda-Tanzania, vinavyojulikana nchini Tanzania kama Vita vya Kagera na nchini Uganda kama vita vya Ukombozi vilihusisha Uganda na Tanzania kati ya Oktoba 1978 hadi Juni 1979. Matokeo yake yalikuwa kutimuliwa kwa Idi Amin madarakani na mwezi huu wa Juni ambapo vita viliisha...
  14. Mwandishi aliyeko kizuizini Uganda afikishwa Mahakamani

    Mwandishi wa Uganda anayetuhumiwa kutuma taarifa za kashfa kuhusu rais na mtoto wake wa kiume kwenye mtandao wa Twitter amefunguliwa mashtaka mahakamani, wiki kadhaa baada ya kukamatwa. Kakwenza Rukirabashaija alishtakiwa kwa makosa mawili ya mawasiliano ya kukera na amepelekwa gerezani hadi...
  15. China yaanza kujadali mikakati ya reli ya SGR kuunga hadi Rwanda, DRC, Uganda na Sudan Kusini

    Mataifa yote hayo kuunga kwenye reli moja kutokea Mombasa, mazungumzo yameanza na mikakati kupangwa...... Nairobi. China is proposing a grand infrastructure plan for the Horn of Africa that would involve expanding the two major railroads and developing ports on the Red Sea and the Indian Ocean...
  16. Tanzania yanyakua soko la Uganda toka Kenya kutokana na Kenya kuanzisha ugomvi wa kibiashara na Uganda

    Tanzania could eclipse Kenya to become the dominant economy in the East Africa region going by the latest findings by a US-based consultancy firm Invesco. Tanzania ranks at position six with Kenya coming at position 13 in the ranking of African nations most endowed with the potential to...
  17. Staajabu Siasa za Afrika; Bunge kumchagua Rais mpya nchini Uganda?

    Siasa za Afrika ni sawa na mti wenye majani mabichi yanayokufanya upende kwenda kukaa chini yake kwa sababu una kivuri kizuri ilihali chini kuna mchwa wanautafuna. Nchini Uganda Rais anayesemwa na mpinzani wake kuwa ni dikteta Yoweli Museveni anafikilia kuwanyima haki wananchi wa Uganda...
  18. Wabunge 38 wa Uganda wakubwa na corona baada ya kutoka Tanzania

    Wabunge 38 wa Uganda wakutwa na corona baada ya kutoka Tanzana, Safari ya wabunge wa Uganda zaidi ya 200 na wafanyakazi wa bunge 125 imeingia doa baada ya kurudi kutoka kwenye mashindano ya wabunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki, mjini Arusha Tanzania na kukutwa wana maambukizi ya uviko19. Kwa...
  19. #COVID19 Wabunge 38 wa Uganda waliokuwa Arusha wakutwa na Corona, waliobaki waambiwa wajitenge

    Safari ya wabunge wa Uganda zaidi ya 200 na wafanyakazi wa bunge 125 imeingia doa baada ya kurudi kutoka kwenye mashindano ya wabunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki, mjini Arusha Tanzania na kukutwa wana maambukizi ya uviko19. Kwa mjibu wa msemaji wa bunge la Uganda Chris Obore amefahamisha...
  20. T

    Museveni anaeonekana kuifahamu sana Tanzania, hii sio hatari kwa usalama?

    Nimekuwa namsikiliza rais wa Uganda mara kwa mara akitoa hotuba zake hasa akiwa hapa nchini, kwa kweli huyu mheshimiwa kijiografia anaijua vizuri sana Tanzania. Unakuta anaelezea maeneo ya ndani ya nchi yetu yaani vijiji na mpaka makabila ya maeneo husika tamaduni zao, lugha zao nk. Sasa ikiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…