NI UTANI TU ππ
Kama umeona umri unakutupa mkono,na unatamani kurudisha miaka nyuma,
Hemu Nenda hapo Ethiopia huko saivi ni 2017
Eti kadi yako ya bank unaambiwa umeweka namba ya siri,halafu ni siri yako tu...
Lakini ukikosea kuingiza pin unaambiwa umekosea,
Wao wamejuaje nimekosea
Au acha tu...