Mnamo March 2024, nilituma hela kwa mtu nkaambiwa haikufanikiwa kwenda. Baada ya siku kama kumi, nikagundua Salio langu limepungua tofauti na transactions nilizofanya, Baada ya kujiridhisha nikawapigia simu huduma kwa wateja wakaniambia hela ilienda ila haikukatwa kwenye account yangu, nikahoji...