wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. Anko mafix adai ni mdogo wake na Gwajima

    Huyu comedian ana wazazi kweli,cimedy zake ni matusi na stori za kuzagamuana tu. Kubwa kuliko amedai ana undugu na gwajima
  2. Je, ni kweli kuwa Mwanamke kwa Mwezi mzima ana Siku 5 tu za Yeye kupenda 'Kungonoka' na zinginezo huwa anatimiza tu Wajibu kwa Mwanaume wake?

    Kama hii ni kweli Kitaalamu basi huenda Wanaume wengi tukawa tunatimiziwa nao tu Wajibu japo huwa tunajitutumua.
  3. Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?

    Wanabodi, Naomba kuanza na angalizo! Simple Mind Discuss People Ordinary Mind Discuss Events Great Minds Discuss Ideas。 Hili ni moja ya mabandiko yangu ya kiutu uzima,ya ku discuss ideas, hakuna kutaja majina,wala ku discuss watu!。 Naomba wachangiaji tujadili hoja tuu ya msingi bila kutaja...
  4. No doubt!: Kwa yaliyomtoka jana ni muendelezo wa kuwapa point tatu washindani wake kisiasa.

    Wasalaam, Wahenga hunena "Kimtokacho mtu kinywani ndicho kiujazacho moyo wake" kwa maneno yake ya jana kwa mtu mwenye kufanya tafakuri basi ni dhahiri shahiri yale wasemayo watu yana ukweli ndani yake, hata kwa sisi tuliokuwa tunampa benefit of the doubts basi ameprove na kutudhihirishia...
  5. F

    Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule

    Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule Maoni na ushauri wako please
  6. Chuki ya Museveni kwa Besigye ya nini wakati ni familia? Amekuwa daktari wake na amelelewa familia moja na Winnie mke wa Besigye!

    Museveni rais wa Uganda alikuwa mtoto wa kuasiliwa(adopted) katika familia ya Byanyima wakiishi pamoja na Winnie Byanyima mke wa kiongozi wa upinzani Kizza Besigye aliyetiwa kizuizini na serikali ya Museveni kwa sasa. Amesomeshwa na kukuzwa na hiyo familia mpaka alipoweza kujitegemea. Maisha...
  7. Burundi kurudisha wanajeshi wake waliosalimika

    Baada ya makundi mengine kutangaza kujiunga, kuongeza nguvu ili rais wa Burundi aondolewe madarakani; Huku pia waasi wake RED TABARA wakiwa tu umbali wa kilometa 76 kutoka walipo sasa M23, Rais ameagiza wanajeshi wake hao warudi nchini. Wanaorudi, wanafikia katika bonde la RUSIZI, kwa...
  8. TANROADS Yapokea Tuzo ya Kimataifa Kutokana na Mchango Wake wa Kuboresha Usalama wa Barabara (Safer Road)

    TANROADS YAPOKEA TUZO YA KIMATAIFA KUTOKANA NA MCHANGO WAKE WA KUBORESHA USALAMA WA BARABARA (SAFER ROAD) Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepokea tuzo ya heshima katika mashindano ya kimataifa ya usalama wa barabara, iRAP Gary Liddle...
  9. Putin akimcheka na kumrekebisha Waziri wake kuhusu mauzo ya kitimoto Indonesia

    Hii ilitokea wakiwa wanajadili masuala kadhaa ya biashara Waziri wa Russia wa Kilimo akatolea mfano jinsi Ujerumani inafaidika kwa mauzo ya kitimoto/nguruwe kwa mamilioni ya tani kwenye nchi nyingi ikiwemo Indonesia taifa lenye Waislamu wengi zaidi duniani, ndipo Putin akamuambia Indonesia...
  10. China ni maswahiba wa Urusi ila raia wake wamajaa Marekani kuliko Urusi!

    Ilitegemewa kutokana na urafiki mkubwa na ujirani uliopo kati ya China na Russia basi raia Wachina wangejaa kwa wingi zaidi Russia kuliko sehemu nyingine ila hali ni tofauti kabisa. Kuna raia takribani milioni tano na nusu wa China nchini Marekani wanoishi na kufanya kazi huko wakati kuna raia...
  11. S

    Namuonea huruma mume wake

    Kuna mdada nilifahamiana naye, kazini kwake siyo mbali na kwetu, so kwenye pita pita ndo nikamfahamu, kuna wakati changamoto za usafiri huwa nampa lifti baadhi ya siku. Kama ujuavyo wanaume, nikachokoza nione vp atakubali au la. Akaniambia yeye ameolewa na ana mtoto. Nikaendelea kumbana...
  12. Singida yaanza bila nyota wake muhimu dhidi ya Yanga, Marouf Chakei hayupo Kikosini kabisa

    Wakuu Singida Black Stars imefanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake kinachoanza dhidi ya Wananchi, Young Africans Sc katika dimba la KMC Complex. Wachezaji wazawa 7 wamepewa nafasi ya kuanza huku wakali kama Ande Cyrille, Arthur Bada, beki kitasa Anthony Tra Bi Tra, kiungo Morris Chukwu...
  13. Inakuaje mtoto anakuwa na akili kumzidi mzazi wake?

    Ukitazama hii video utaona maajabu Makubwa Sana . Mtoto unampeleka polini analala nje . Mvua na jua yote yake Unamwambia aangalie Ng'ombe na Mbuzi. Anatembea na Miguu kilometers 7 kwenda shule. Na mwisho anatokea msamalia Mwema na anafanikiwa kupata mfadhali wa kumsomesha na kila kitu...
  14. Wake za watu muwe na misimamo basi

    Miezi miwili iliopita nikawa nimeamia nyumba moja hivi Kwenye hiyo nyumba nikamkuta binti mmoja hivi sikujua kama ana mume Kwa maana katika mazoea na kukaa hapo kwa wiki moja sikuwahi kuona kuna dalili ya kuwa na mume Imepita wiki akaja jamaa yake ile usiku nakuta tu migunoo oohh shiiish...
  15. Natamani kuonana na Rais Samia, “face to face and privately”. Nina ujumbe wake, nitamfikiaje?

    Amani iwe kwenu nyote, Naomba msaada wa kumfikia Mheshimiwa Rais. Nia ni njema, ni manufaa ya taifa kwa ujumla.
  16. Naomba kukiri bila shurti makalio yana umuhimu wake, akili zikiwa za kuvukia barabara zinatosha

    Leo nakiri bila kushurutishwa makalio yana umuhimu wake. Najua baadhi ya waja hasa flat screeners wataguna😜na wengine wameenda mbali zaidi kwa kudai eti makalio makubwa yanapunguza akili. Nimegundua akili zikiwa za kuvukia barabara zinatosha. Kwanza mnaotaka miakili mingi yanini? mnataka...
  17. Aziz Ki kutoa mpira wake kwa sureboy anatuma ujumbe gani kwa nani?

    Je, ni rafiki yake?; je, anampa pole kwa kusugua benchi? je , anawalaumu makocha kwa kutompa nafasi Sureboy ya kucheza? Au ni nini alimaanisha?
  18. Unadhani ni kwanini wito wa kuichangia CHADEMA pesa ya maji na kuendeshea chama hicho uliotolewa na kiongozi wake mpya unasuasua kama vile umepuuzwa?

    Wengi wameshtukia na kuhisi mpango huo wa kiongozi wao ni utapeli? Au wanaona michango yao kupitia ruzuku inatosha kabisa kuendeshea chama, kununua maji ya kunywa spirit, nyama na matumizi mengine, na kuchangishwa tena ni usumbufu na ulaghai? Au wanahisi watadanganywa tena kama...
  19. Z

    Ufafanuzi juu ya haki ya mjukuu kurithi mali ya babu/bibi yake

    Habari wana jamii,kuna jambo naomba muongozo kidogo wa kisheria kwa mwenye ufahamu nalo.Tuna mali tumerithi toka kwa baba yetu na tuko watatu lakini kwa bahati mbaya mwenzetu mmoja amefariki na kuacha watoto wawili ambao ni wakubwa (above 18). Baada ya msiba tulikaa kama familia na sehemu ya...
  20. Pamoja na utajiri wake; matatizo ya Elon Musk na familia yake ni makubwa kuliko maskini

    Kweli kuwa Bilionea siyo mwisho wa matatizo. Angalia mahusiano mabaya ya Elon Musk dhidi ya wanafamilia wake:- 1. Wake wa Zamani Elon Musk amewahi kuoa mara mbili kwa wanawake wawili tofauti: Justine Musk (2000–2008): Justine alikuwa mke wa kwanza wa Musk, na walizaa watoto watano pamoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…