Kwa mujibu wa simulizi za pale bustani ya Eden, baada ya Adam na Hawa kula tunda lililokatazwa, Hawa akapewa adhabu ya kuzaa kwa uchungu, huku Adam akiambiwa atakula kwa jasho la uso wake. 😂
Sasa cha kushangaza, wanawake wameona adhabu yao haitoshi! Wameamua kuingilia na adhabu ya mwanaume pia...