yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Aucho, Mkude, na Chama kuelekea kuiaga Yanga Je, wanastahili kucheza timu gani kwenye ligi ya NBC?

    Klabu ya Yanga SC iko mbioni kuingia kwenye ukurasa mpya wa kikosi chake baada ya taarifa kuibuka kuwa baadhi ya nyota wake wakongwe na mahiri kama Khalid Aucho, Jonas Mkude, na Clatous Chama huenda wakaondoka mwisho wa msimu huu. Kwa mujibu wa ripoti kutoka vyanzo vya ndani ya klabu pamoja na...
  2. Kwahiyo serikali imeshindwa kulinda uwanja wake wa Mkapa Hadi wakodi makomandoo wa Yanga

    Hi nchi Ina vituko sana Uwanja ni mali ya serikali alafu maamuzi ya ulinzi yanayohusu uwanja yanatolewa na makomandoo wa Yanga Ilitakiwa Simba walipofika uwanjani wakutane na walinzi wa uwanja waliowekwa na mmiliki wa uwanja wa Mkapa ambaye ni serikali ndio wawambie hichi mnaruhusiwa kuingia...
  3. Masaa 72 Yanga waliowapa TPLB yamekwisha, Sasa tukutane CAS

    Tukumbuke tarehe March 10, 2025. Yanga waliandika barua Kwa bodi ya ligi kudai haki Yao ya magoli 3 pamoja na points 3 na fidia ya Tshs million 56,435,000 baada ya uvunjifu wa mchezo ambao ulikuwa ufanyike tarehe 8 March Simba waliwashinikiza bodi ya ligi katika hali isiyo ya kawaida bodi ya...
  4. K

    Ikipendeza klabu ya Yanga impe mkono wa kwaheri kipa Mshery

    Ninaishauri Klabu ya Yanga impe mkono wa kwaheri kipa Mshery. Kwenye mechi ya jana kipa huyu alifanya mambo ya hovyo kweli kweli. Mpira wa mbali unamponyoka kama vile siyo kipa wa kiwango. Mipira mingi ilikuwa inateleza mikononi mwake kama vile mikono yake umejaa matope. Huyu kipa hana...
  5. Hivi zile saa 72 walizotoa Yanga bodi ya ligi hazijapita?

    Yanga walitoa saa 72 kwa bodi ya Ligi kuwapa ushindi kwenye dabi iliyoota mbawa, sasa nauliza muda bado haujafika?
  6. Sakata la Kuahirishwa Yanga vs Simba,Mbona waandishi mashabiki wa Yanga wanaukosea Mpira?

    Baada ya Bodi ya Ligi kuu Tanzania TPLB Kutangaza kuahirishwa kwa mechi ya watani wa Jadi Yanga vs Simba waandishi wa habari na wachambuzi wa maswala ya Kabumbu wameendelea kuukosea adabu mpira wa nchi hii kwa kuchambua kwa kutumia hisia zitokanazo na mapenzi yao juu ya Yanga badala ya kuwa...
  7. Uongozi wa Simba SC tafadhalini leteni Mechi zenu Uwanja wa Namboole hapa Uganda kwani mnakubalika na msipeleke Amahoro Rwanda kwa Yanga SC wengi

    Na GENTAMYCINE nitakuwa wa Kwanza kuwapokeeni na kuwapa kila aina ya Ushirikiano na mtafanya vyema Kimichezo.
  8. Huu ni zaidi ya wizi mashabiki wa simba na Yanga Amkeni kwenye huo usingizi mzito.

    Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ili saini mkataba wa makubaliano ya ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa na Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group (BCEG) ya China ambao uligharimu zaidi ya Sh. bilioni 31 na ulipaswa kukamilika Julai 2024. Hayo yalisemwa Dar es...
  9. Tukio la basi la Yanga kwenda Mo Simba Arena kule Bunju linatakiwa liondoke na watu pale Yanga

    Ndugu zangu, matukio ya siku chache zilizopita mnaweza kuyachukulia kwa utani ila ni matukio serious sana ambayo yangeweza kuleta maafa makubwa. Sitaongelea tukio la Simba kushindwa kufanya mazoezi wala Yanga kupeleka timu uwanjani maana kuna nyuzi nyingi zinazozungumzia hayo. Mimi nitaongelea...
  10. Kuvuruga derby ya Simba na Yanga ni kuvuruga usalama wa Taifa na kuhujumu juhudi za Rais.

    Rais Samia amebadilisha uelekeo wa soka letu kwa kutia juhudi binafsi kusuma michezo Tanzania. Hakuna asiyefahamu kuwa watu wa taifa letu wamegawanyika kwenye ushabiki wa simba na yanga kwa mamilioni. Mtu kuahirisha mechi ya simba na yanga bila shaka anadhamiria yatokee mambo mabaya sana kwa...
  11. INAARIFIWA: Yanga kwenda Uwanjani 08/03/2025 mechi ilipoahirishwa ni kufuata majini yao na kuondoa uchawi wao.

    Kwanini Yanga walilazimisha kwenda uwanjani hata baada ya mechi kuahirishwa hiyo tarehe 8 Machi 2025? Ilikuwa ni kwenda kuondoka na majini na uchawi wao waliouacha uwanjani. Hakukuwa na namna nyingine ya kuhamisha uchawi wao mara baada ya bodi ya ligi kutangaza mechi haipo. Sasa wanaingiaje...
  12. Ikitokea YANGA wakakubali kucheza derby SIMBA atachezea goli nyingi sana sababu ya HASIRA alizonazo YANGA

    Yaani hawa YANGA wana hasira sana. Kuna gazeti limeandika kwamba simu moja tu itairudisha YANGA kwenye gemu pamoja na msimamo wa sasa kwamba hawachezi tena dabi. Sasa SIMBA wasiombee YANGA ikakubali maana watachabangwa goli zisizopungua 6. TAKE THIS FROM ME.
  13. Huyu Jemedari Said ndio maana Yanga hawampendi, amenyooka sana

    Rais wa Yanga amekaa na kamati yake ya utendaji wanadai hawatacheza mechi itakayopangwa.Yaani vichwa vyote vile vinatarajia kupewa point 3 za mezani!
  14. Kisheria na kikanuni, Yanga pia hawatambuliki kama walikuwepo uwanjani siku ya 08 March, 2025

    Watu wanadai pwenti 3 za bure wakati hata wao hawajafuata taratibu zinazoweza kuwapa nguvu ya kudai hizo pwenti tatu. Tuachilie mbali tukio la kuvunja kanuni kwa kuzuia mpinzani wake asifanye mazoezi na kumfanyia vurugu usiku wa kuamkia mechi husika. Tuachilie mbali kuvunja kanuni kwa kuingia...
  15. Ni hivi yanga wanajua wamevunja sheria na kanuni,na wanaweza kunyang'anywa point 3 ila wameamua kubweka sana ili kufunika hilo

    Hapo vip!! Ninachokiona kwenye sarakasi yote ambayo yanga wanafanya ni sawa sawa na mwizi aliyeiba alafu yeye ndio anajidai kumtafuta mwizi. Hili jambo lipo wazi kabisa yakwamba kisababishi cha tatizo ni yanga kwasababu yeye ameamua kufanya uhuni kwenye sheria na kanuni alafu anajiona anajua...
  16. Tunaacha kuwaambia ukweli Mashabiki wetu Yanga SC kwanini tumefukuzwa Avic Town tunahangaika kwa Kuwazuga na Sakata la Derby kutokuchezwa

    GENTAMYCINE narudia tena kusema kwa kujiamini kabisa kuwa TUMEFUKUZWA AVIC TOWN kutokana na Madeni kuzidi Ok?
  17. Mwanasheria wa Yanga asema waliinyima Simba haki ya kufanya mazoezi kwa kuwa nao walinyimwa mechi ya kwanza

    Ataka busara itumike, kanuni zikae kando kwanza Adhihirisha kuwa mabaunsa walitumwa na uongozi Tuendelee kuhifadhi post walizoweka mwanzo mwanzo, zitasaidia kujua kilichopangwa na kilichofanywa.
  18. Basi la Yanga kwenda Bunju ni masharti ya mganga wao - Mchungaji

  19. Uongozi wa Yanga, mnapotaka twende ndiyo tunapataka

    Uongozi wa Yanga mnataka kutingisha kiberiti ila sidhani kama mmefikiria vya kutosha madhara ya haya mnayofanya. Kuna matendo mengi ya hovyo mmehusishwa nayo ambayo yalifukiwa kwa sababu za kisiasa. Huku mnapokwenda tutalazimika kuyafukua na hamtabaki salama. 1. Tutafufua udhamini usio halali...
  20. M

    Yanga mtutake radhi sisi wazee Wafupi

    Ni kwanini suala la kuzuiliwa timu ya Simba kuingia uwanja wa taifa eti sababu mojawapo ni kuonekana kwa wazee wafupi kwenye magari. Kwani wazee wafupi wana shida gani . Nimetafakari sana hata sipati jibu. Ni vema uongozi wa Yanga kwa niaba ya timu na Mashabiki wao WATUOMBE MSAMAHA SISI WAZEE...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…