09 Dec, 2019: Maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Wafungwa 5,533 wapata msamaha wa Rais. Mbowe ataka maridhiano ya Kitaifa

Mbowe kaongea kijasiri...

''Mzee heshimu haki za binadamu...na dumisha umoja wa ki Taifa"

yaani kaongea 'short and clear'

huyo ndiye Kamanda wa ukweli.
 
Wanastahili pongezi
Watu wa CCM Ni washirikina. Mwenge Ni uchawi πŸ’― pasee, hata wachawi wa Gamboshi waliposema watamuua mtu yeyote atakayempinga Magufuli hamkukemea
 
Hahaha mbona hazungumzii wale ambao amewashikilia hadi Leo? Nani anamkumbuka aliyekua Mkurugenzi wa RAHCO? The Guy yuko ndani hadi Leo! Dah Mzee Tito anaozea gerezani.....
 
Huwezi kuamini la7kini kuna wafungwa wanaona ni bora kwao maisha ya gerezani kuliko huku uraiani
 
Unapowatia jambajamba watesi wako na watukana wako mpaka wakaomba po ,unakuwa unajua unanguvu kuliko wao

Kweli Magufuli amewashika pabaya hao viumbe

USSR
Afadhali ile ban ingekuwa ya identify
 
Hata kama ni wachawi bado ni watanzania! Na bahati mbaya serikali haitambui mchango wa wachawi na uchawi kwa ujumla. Km uchawi utaboreshwa kidogo na kutambulika tunaweza kuendelea km taifa.
Endelezeni basi huo uchawi tuone
 
Hukuona gari ya zimamoto ya nyumbu mkuu?
 
Sijui Wasukuma wanakwama wapi, yaani wamekaa kichawichawi halafu Kama Mazezeta
 
Lowassa amesema hayo wakati akitoa hotuba fupi katika sherehe za Uhuru jijini mwanza
 
Mambo haya tuwaachie wenyewe wa china utafurahi utasema kama movie vile lakini hii show yetu ni ukiwaki tu hakuna chochote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mkuu nimejaribu kudesa lakini sipati jibu saidia "UKIWAKI" ni nini? hata ukitumia codes ntafurahi tu uncle.
 
Watanzania mna kazi unataka kuona ulichotegemea wewe,wao wamefanya wao.. kwa mazingira Yale ulitaka uone au wafanye haraka na waondoke napo ungesema hukuona chochote.. fatilia hata umoja wa mataifa utajua jeshi letu linafanya nini achana na hizo movie za viwanjani.
 
Au kamwano DC wa Kisarawe kwa mbaali!
Anauhakika na gemu jioni!!
 
Watanzania mnataka mlichokiona kwenye movie ya command John kitokee live.
 
wapambe nux kina mkamia maji nawaona walivyofura kama chura wa masika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…