Uko vizuri aisei. Ni kweli kabisa demokrasia zetu bado kabisha. Sheikh na askofu wana uwezo wa kuwaamuru waumini wao wamchague au wasimchague nani kwa sababu zake sheikh na askofu. Kabila linashawishiwa liwe chama gani cha siasa na kumuunga mkono mkono mgombea kwasababu ni kabila lao hata kama ni wa hovyo kabisakabisa; ni kichaa.Naunga mkono kwa %100
Tanzania Wananchi wetu bado hawana uwelewa wa kujua msingi wa neno Demokrasia
Kwao wanaongozwa kutokea Misikitini na Makanisani kuchagua yupo ndio kiongozi mzuri au yupi ni m'baya
Demokrasia ya kuongozwa kutokea nyumba za Ibada❗️
Au Demokrasia yenye Ukanda kiongozi wa chama
anatokea wapi kina Bwashehe ❗️
CCM iendelee kutawala miaka mingi ijayo ili kuwakuza Wananchi wawe na uwelewa mpana wa Demokrasia
Wajue Demokrasia haitokei nyumba za Ibada
Kiongozi mzuri sio lazima hawe kwenye imani moja na wewe
Lkn kufikia uko Wananchi kuwa na uwelewa yumkin
Maisha ya Wananchi yataendana vizuri👈
kwani kipindi icho wagombea wetu watafanana na Wagombea wa Ulaya👈
Kule Ulaya mgombea yupo kuomba kura kwenye mambo tofauti na Shida za Msingi za Mwanadamu 👈
Sisi bado tupo kuomba kura kwa kutoa ahadi ya kujenga Barabara nzuri Uduma ya Afya Shule Maji
Wkt Ulaya uko wameshatoka
Miaka mingi nyuma✍️
Nikusema CCM iendelee kuijenga miundombinu mbalimbali
Ili tukifika uko👈
Nasisi sehemu sasa tunawaomba kura kwa vitu sio vya Msingi sio maitaji
ya lazima👈
Apo Wananchi watajua kiongozi bora anasifa zipi na zipi
Sio sasa Wananchi wanaongozwa kutokea nyumba za Ibada kumkataa kiongozi ✍️
japo hanatatizo lolote lkn utasikia tu hatumtaki hatumtaki
Kama wameambiwa kiongozi ni Mchumba wao😂😂
wao ndio wenye kuamua unamtaka au humtaki 😂
Demokrasia yasasa Samia must go Aleluyaaaaa Samia must go Aleluyaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sioni watu wanaofurahia vifo vya wenzao na kuvifanya mtindo wa kawaida wa maisha ila mwafrica tu.Kwavile ww umejichubua tayari unajiona mzungu pori
Uko sahihi. Nyerere alitawala akiwa na 39 years tu. Na hakuwa hata na Mawaziri wote graduate.Mtazunguka sana ila uimara wa nchi unaanzia kwenye katiba yake na sio vyama vya upinzani.
Ccm inaogopa katiba imara inabaki na propaganda vyama vya upinzani vikiingia ikulu havitaweza kutawala.
Hakuna vyama pinzani ila kuna vyama mbadala.
Yaani ukiwa hujui kabisa unaweza kudhani kulala na kuamka kwako salama wewe na familia yako kunatoka mbinguni tu hakuna gharama yoyote inahusika. Wakati ule wa vurugu za oct29 kila mtanzania ndio aliijua thamani ya amani na gharama za kuikosa.Hizo kodi nyingi zinatoka kwenye indirect tax. Hata hivyo huwa mnajigamba kuwa tuna raslimali hadi wazungu wanatuonea wivu, uzeni hizo acheni kutukata kwenye pesa zetu za miamala ya simu.
Who the fvck are you to decide for people who choose leaders according to their needs, pathetically you think you're mentally better than them but this shit post of yours exposes your stupidity.Kufanya hivyo ni sahihi kwenye mataifa ambayo wananchi wao wana uelewa mkubwa wa kusiliza sera na ahadi za mgombea na kuzichambua. Kufanya hivyo kwa mataifa haya ambayo bado mpaka leo kuna watu ambao wanajisaidia haja kubwa na kujitawaza kwa kusota chini kwenye mchanga sio sahihi. Hawana uwezo wa kujua nani muongo na nani mkweli, elimu bado. Utafika wakati vyama havitatumia nguvu kubwa kushinda na kushindwa uchaguzi. Sasa hivi bado kabisa
Sawa Museveni alikuwa mpinzani, kwahiyo Uganda iko viziri kiuchumi, kidemokrasia na kijamii kuliko Tz ya CCM? Hata CCM sio TANU ujue!!Vipo vingi sana. Sema wewe upo kwenye jela ya CCM ndio maana huoni. Hapo Kenya uchumi wa Kenya ulibadilishwa na Kibaki alipoingia madarakani. Nenda Kaangalie Botswana Wana mfumo wa uchumi mpya. Unajua hata Uganda Museveni alikuwa Mpinzani?
Hao wanaolinda hawafanyi hisani ni mshahara wa alipewa. Unaongea kama vile wanafanya hisani. Na hiyo 29 hao askari hawakuwa wanalinda amani kama amani, bali walikuwa wanalinda utawala usiotakiwa na walio wengi.Yaani ukiwa hujui kabisa unaweza kudhani kulala na kuamka kwako salama wewe na familia yako kunatoka mbinguni tu hakuna gharama yoyote inahusika. Wakati ule wa vurugu za oct29 kila mtanzania ndio aliijua thamani ya amani na gharama za kuikosa.
Usiende mbali,vyama hivyo vimeongoza Halmashauri,majiji na miji .Je,nini vimewai kufanya?Hakuna takwimu kuwa ukiachiwa wewe Ikulu nchi itakuwaje na wananchi watakuwaje. Tuambie hata kwa kutudanganya tu nini utafanya kwenye kilimo, ajira kwa vijana, uvuvi, elimu, afya, viwanda tofauti na anavyofanya CCM. Mfano, Trump yeye aliwaambia wapiga kura wake kama wakimchagua atafukuza wahamiaji haramu wote na kurejesha viwanda vilivyokuwa vimehamishiwa Asia virudi tena Amerika wakampa kura, na kweli alipopata urais akawatimua wahamiaji kama alivyosema na kujenga ukuta mpaka na mexco. Nyie sera zenu ni zipi ili tuwape kura au tusiwape kura? Hii ya kuikejeli CCM na viongozi wa serikali sio sera wananchi wanayoitaka, labda wananchi lakini wanaovuta bhangi.
kama huna sera zinazopimika ni heri tu ukazuiwa kwa nguvu zote usifike Ikulu, maana huna cha kufanya unataka ukapate cha kufanya utakapofika Ikulu. Hiyo inawezakuwa hatari kwa taifa. Wewe tuambie tu kuwa sisi tutakapofika Ikulu pale tutafanya yafuatayo kwenye Kilimo, kwenye umeme, kwenye usafiri, kwenye elimu, nk
Hakuna anaeikososoa CCM aliyetekwa wala kuuliwa kwasababu hiyo. Kama ingekuwa basi wangeshakufa akina Mrema, Mbatia, Mnyika, Kabwe, Heche, Mbowe, Selasini, Sharif Hamad, Lipumba, Jusa, nk. Hata wewe ungekuwa umeshalala kwakuwa hata sasa hivi unaikosoa.ASP NA TANU navyo vilikuwa vyama vya upinzani, vimezaa CCM ambayo imepoteza dira, kazi ni kuteka na kuua wanaowakosoa.
Yaani utawala usitakiwa na wengi unaweza kubaki madarakani? Ingekua ata aslimia 40 ya watanzania awaitaki CCM leo hii CCM isingekua Ikulu. Wakati mwingine inabidi tue honest na kuacha ushabiki na mihemko.Hao wanaolinda hawafanyi hisani ni mshahara wa alipewa. Unaongea kama vile wanafanya hisani. Na hiyo 29 hao askari hawakuwa wanalinda amani kama amani, bali walikuwa wanalinda utawala usiotakiwa na walio wengi.
Let it be so!! Only what you can do is bring facts in your shit arguments.Who the fvck are you to decide for people who choose leaders according to their needs, pathetically you think you're mentally better than them but this shit post of yours exposes stupidity.
Tunaposema box la kura liheshimiwe ukweli ufahamike hamtaki. Kama hamtaki kuheshimu box la kura, mnapata wapi uhalali wa kusema mnakubalika? Ukitazama kuanzia uchaguzi wa 2010 viti vya ccm vilianza kupungua kwa Kasi. Kufika 2015 vikapungua zaidi. 2020 mkaona isiwe tabu, ndio mkaanza huu upuuzi uliopelekea umwagaji wa damu uchaguzi uliopita. Hamkubaliki ndio maana hamko tayari kuheshimu uchaguzi huru na wa haki.Yaani utawala usitakiwa na wengi unaweza kubaki madarakani? Ingekua ata aslimia 40 ya watanzania awaitaki CCM leo hii CCM isingekua Ikulu. Wakati mwingine inabidi tue honest na kuacha ushabiki na mihemko.
Zambia, MalawiWewe nitajie nchi ambayo chama cha upinzani kimeshika kwa njia ya kura, kisha nchi hiyo ikawa masikini zaidi. Watu wanataka mabadiliko ya kiutawala, maendeleo watajiletea wenyewe.
CCM awakubaliki lakini umeshindana nao na ulikua unapata viti vya ubunge,udiwani nk.Alafu 2025 uligoma kua ushiriki sasa sijui ulitaka Taifa liongozwe na wahuni. Mlichokifanya 29 Oktoba kitawatafuna maisha yenu yote.Kuwatanguliza na kwaadaha watoto wa watu kua wachome magari,waiba,wabake,waue eti ndiyo CHADEMA mwende Ikulu.Tunaposema box la kura liheshimiwe ukweli ufahamike hamtaki. Kama hamtaki kuheshimu box la kura, mnapata wapi uhalali wa kusema mnakubalika? Ukitazama kuanzia uchaguzi wa 2010 viti vya ccm vilianza kupungua kwa Kasi. Kufika 2015 vikapungua zaidi. 2020 mkaona isiwe tabu, ndio mkaanza huu upuuzi uliopelekea umwagaji wa damu uchaguzi uliopita. Hamkubaliki ndio maana hamko tayari kuheshimu uchaguzi huru na wa haki.
The most important fact is that people have the right to choose freely whomever they want, nothing more nothing less.Let it be so!! Only what you can do is bring facts in your shit arguments.
Kama hawalindi bure wanalipwa basi ndio kusema kodi zetu haziliwi hivyo kama tunavyotaka ifahamike.Hao wanaolinda hawafanyi hisani ni mshahara wa alipewa. Unaongea kama vile wanafanya hisani. Na hiyo 29 hao askari hawakuwa wanalinda amani kama amani, bali walikuwa wanalinda utawala usiotakiwa na walio wengi.
Hakukuwa na mashindano bali chaguzi za kupanga matokeo, 2025 cdm wakachora mstari, kuwa hawako tayari kushiriki kama fashion. Kilichofanyika 2025 kitaleta heshima kwenye box la kura, na bila cdm kujitoa muhanga chaguzi za kishenzi zingeendelea muda mrefu. Hiyo 2030 mabadiliko ni lazima taka msitake. Na mkigoma watu wakisema uchaguzi haufanyika hautafanyika kweli.CCM awakubaliki lakini umeshindana nao na ulikua unapata viti vya ubunge,udiwani nk.Alafu 2025 uligoma kua ushiriki sasa sijui ulitaka Taifa liongozwe na wahuni. Mlichokifanya 29 Oktoba kitawatafuna maisha yenu yote.Kuwatanguliza na kwaadaha watoto wa watu kua wachome magari,waiba,wabake,waue eti ndiyo CHADEMA mwende Ikulu.