Mission za kutengeneza michongo zimeanza sasa 🀣🀣🀣!!
 
Hamna kazi aliyofanya. Hao walikuwa wapiga matarumbeta wa Jiwe. Walikuwa tayari mitambo ya tanesco iungue lakini wasizime umeme kwa ajili ya ukarabati
 
Chato wamekaa paleee wanamsubiri, wanachato wanasema hajaleta maradi wowote ule wa maendeleo, miradi iliyopo ni juhudi za JPM akiwa mbunge wao, na baadae akiwa Rais.

Tangu JPM afariki, ni mkuu wa Wilaya Mh. Katwale ndio amekuwa akipiga simu huku na kule kwa mawaziri ili walete miradi ya maendeleo. Hongera sana katwale, chukua Jimbo tu Sasa.
 
Chuki binafsi

Mwenzako ameomba msamaha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Dakika 5 tu baada ya umeme kukata akakanusha kuwa Tanesco hawahusiki as if hii nchi inaendeshwa na majenereta amesahau kuwa whichever the way power backup inatakiwa...Tanesco hawawezi kukwepa kwenye hili!
Yupo sahihi nafikiri

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Bado sana wataomba radhi nakulia machozi ya dam kupata msamaha.
 
Chuki binafsi

Mwenzako ameomba msamaha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Muulize alileta mradi gani hapo Chato, JPM ndiye alikuwa analeta miradi Chato, kwa muda wake wote wa ubunge, hajafanikiwa kuleta hata mradi wa choo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…