Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea
Kigogo mmoja amemuomba msamaha Waziiri wa zamani wa Nishati mh Kalemani na kusema Wakati Ule anamshambulia hakujua kuwa alikuwa anafanya Kazi kubwa sana

Kigogo huyo kupitia ukurasa wake wa twitter amesema anaomba radhi sana kwa mbunge huyo wa Chato na kwa Mungu wa mbinguni

Nawatakia Mei dei yenye Furaha!
Mission za kutengeneza michongo zimeanza sasa 🤣🤣🤣!!
 
Hamna kazi aliyofanya. Hao walikuwa wapiga matarumbeta wa Jiwe. Walikuwa tayari mitambo ya tanesco iungue lakini wasizime umeme kwa ajili ya ukarabati
 
Chato wamekaa paleee wanamsubiri, wanachato wanasema hajaleta maradi wowote ule wa maendeleo, miradi iliyopo ni juhudi za JPM akiwa mbunge wao, na baadae akiwa Rais.

Tangu JPM afariki, ni mkuu wa Wilaya Mh. Katwale ndio amekuwa akipiga simu huku na kule kwa mawaziri ili walete miradi ya maendeleo. Hongera sana katwale, chukua Jimbo tu Sasa.
 
Chuki binafsi

Mwenzako ameomba msamaha 😀😀😀
 
Kigogo mmoja amemuomba msamaha Waziiri wa zamani wa Nishati mh Kalemani na kusema Wakati Ule anamshambulia hakujua kuwa alikuwa anafanya Kazi kubwa sana

Kigogo huyo kupitia ukurasa wake wa twitter amesema anaomba radhi sana kwa mbunge huyo wa Chato na kwa Mungu wa mbinguni

Nawatakia Mei dei yenye Furaha!
Bado sana wataomba radhi nakulia machozi ya dam kupata msamaha.
 
Chuki binafsi

Mwenzako ameomba msamaha 😀😀😀
Muulize alileta mradi gani hapo Chato, JPM ndiye alikuwa analeta miradi Chato, kwa muda wake wote wa ubunge, hajafanikiwa kuleta hata mradi wa choo
 
Back
Top Bottom