Kila siku mnapewa mabango ya kumsaidia hangaya Leo mnalalamika nini ,ilitakiwa ukatike mwaka mzima iliakili ya watanzania image sawa
 
Ndiyo tushangae.
Wangempa mzabuni wa kusimamia uwanja. Inashangaza hata screen zile kubwa kushindwa kuwa na replay.
Sisi ni taifa la kipumbavu sana.
 
Kwa nini serikali inatoa pesa za magoli badala ya kurekebisha umeme

USSR
 
Kwenye nchi ambazo zimestaarabika ungeona viongozi wa mamlaka husika kajiuzulu.. ila kwa kuwa ni LAND OF MWALIMU utayaona yanapeta tu like nothing happened.. Aibu sana aisee
 
Hili nalo mkalitazame?

USSR
 
Hizi chuki za ajabu sana, Sasa Nape na Makamba wanahusikaje na Uwanja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…