Arusha na Kilimanjaro kuna shida? Kila kiongozi kwao ni mbaya?

Na Kigoma ni wachaga? Unataka uungwe mkono wakati Sifa hiyo huna? Eti na Zanzibar ni wachaga.
 
Wachaga watu wabaya Sana katika taifa hili
Tanzania wote tuko sawa Ila sio na vimakundi vya kikabila vya mkoani Kilimanjaro,Ila toa wapate hawana shida.
Mchaga weka biashara pembeni yake ukiwa tishio kwake anakodi majambazi sembuse dada zao wanaua wanaume wenye pesa ili utajiri wapeleke kwao kuwainua wa kwao.
Kama yule wa dumila aliyeua mkikuyu aakiongea na majambazi huyo fala hamjammaliza tu bado.
Kuna yule mkikuyu aliyeua mholanzi Mana damu zao zinafanana
 
Lakini hizi ni dalili za wivu. Mimi sio mchaga lakini Kama ukikaa na mchaga Kama hujapata ufahamu wa maisha basi utakuwa fisi mpenda vya bure au mizoga.

Tuwape hongera Hawa bwashee Kwanza kwa kutokubaguana. Wananyamuuana Kama siafu. Inabidi na sisi tuangalie tabia zetu nazo zinachangia kutuletea uzembe wa maisha.
 
Ni ukabilga tu ndio unawasumbua!

Tunaona hata huku makanisani mfano kama dar hasa KKKT akiletwa mchungaji au mwinjilisti mpya utasikia wachaga wanauliza ni kabila gani?
Akiwa si wa kabila lao utaona wanasepa mdogo mdogo wanahama kanisa, akiwa mchaga utaona wanajazana kila jumapili na sadaka na michango watatoa sana.


Kwa ufupi mchaga ni mtu mbinafsi sana.
 
Sure Wana wivu na wanaumia mwingine asipokuwa wa kwao. Elimu hata kuku siku hizi wamesoma jamani sio Kama enzi zile tra ya mramba mpaka akajibu nchi ilo jibu la kuitukana Tanzania.
Kabisa!

Ndio maana sasa hivi hata wakienda maofisini wanakutana na wasomi wa kila aina wenye elimu kama zao wanataka kazi hizo hizo ambazo zamani wachaga walikuwa wanaandikiana vimemo tu,

Sasa wakikuta hiyo competition asipopata kazi anaanza kusema selikali ina ukabila.
 
Kadri siku zinavyosonga mchaga anajikuta boya tu!

Hawa walikuwa wanajivunia elimu na pia wao wakiwahi kubumburuka kuliko makabila mengine sasa hiyo hali imeisha kila mkoa sasa hivi kumekucha.

Wachaga acheni mentality ya zamani kwamba nyie ndio kila kitu.

Sasa hivi unakuta mchaga anasota miaka 3 hana ajira akienda na kimemo chake anakuta kuna chaka la watu limavizia ajira hiyo hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]anarudi ameinamia chini huku akilaumu ukabila selikalini.
 
Wewe ndo kichwa ngumu ka unamtetea mjinga sabaya nadhani hata maisha mengine yamekushinda
Ktk mabishano haya nimeshafahamu kiwango cha ufahamu wako. Naomba usiwe mbishi. Usitake kubishana kila wakati. kuna wakati unajifunza kwa wenzako. Hizi bundle tunazotumia mitandaoni ni vizuri ukafaidika pia kielimu. Hata ukinishinda kwa ubishi, utafiaid nini wakati hatufahamiani?
 
Hivi nyinyi mnasiri gani na hao wachaga? Waajirini waje wawe mayaya na mahouse boy. Yaani unakaa ofisini hufanyi kazi kazi yako unamwangalia mchaga. Umeajirwa ukafanyeoazi au ukahakiki makabila. Acheni uzembe.
 
Duuuuu hata kanisani unakagua makabila? Wewe ni shida.
 
1. Hayo maeneo watu wamebadilika kifikra...wako mbele sana kimatendo na kimaendeleo

2. Hawataki kuburuzwa zaidi wanahitaji kiongozi mbunifu na mshawishi na sio kilaza mtumia miguvu.

3. Wana maendeleo sana mtu mmoja mmoja
 
Endelea kujiuliza wenzetu wako speedkutafuta mbumba mikoa mingine inabakia kulalamika tu....kila kitu serikali x100
 
Ubinafsi wao unawatafuna kifamilia pia. Vijana wawili niliosoma nao, waliishi kwa taabu sana kwa kuwa tu wazazi wao hawako hai, wakati huo huo baba zao wadogo wapo, shangazi wapo na wana uwezo. Hakuna msaada kwa sababu tu ya mashindano hadi ndani ya familia.
 
Siku kukiwa na ujenzi, angalia kamati ya ujenzi ilivyo. M/kiti akiwa mchaga tu jueni mkandarasi atafutawa moshi.
 
Siku kukiwa na ujenzi, angalia kamati ya ujenzi ilivyo. M/kiti akiwa mchaga tu jueni mkandarasi atafutawa moshi.
Kuna taasisi kubwa sana hapa nchini. ambayo hivi majuzi imeingia mfumo wa kijeshi.
taasisi hiyo top engineer na afisa manunuzi ni wachaga.. mmoja mkibosho mwingine mmachame.

hawa wazee wanan 20+ years kwenye hizo nafasi bila doa au kesi yoyote.
wamesimamia miradi kibao yanhiyo taasisi.. tena project maalum za ujenzi.. zikaisha kwa wakati.
Audit both internal na external.. mpaka CAG wamepitia hizo hidara.. wanakagua hiyo miradi na hawajapata doa lolote.

how do i know. because i was there.

so issue yako kuwa eti mwenyekit akiwa mchaga mambo hayaendi.. nikwambie tu its down to mtu husika na ethics na performance yake.
 
Mbona ume describe almost makabila yote.? Mm si mchaga.. lakin natokea kabila moja kubwa hapa nchini.

Nina ndugu wako taasisi nyeti majeshini huko.. na walikuwa na uwezo wa kunichomeka kokote.. lakin hawakufanya hivyo.
Nilisota kitaa miaka na miaka mpaka nikatoka kwa effort zangu mwenyewe.

why? is it because ni wachaga? No

sababu ya tabia zao. Na for the record tu.. ni kuwa ndugu wa makabila mengi hawana msaada likija suala la kutafuta kazi...

Tegemea ndugu usote mpaka ushangae. japo si kwa familia zote
 
Huu uzi ni wa kipumbavu sana kwani mkabila namba moja tokea tupate uhuru marehemu Hamnazo ndiye anayepaswa kuwa center ya mjadala wa ukabila, otherwise ni rubbish tupu zinazojadiliwa.
 
sijaona mahali kijana kutokea moshi analalamika ajira sikuiz.
Hali ya ajira nchini inajulikana.. its not about kabila lako.. qualification na perfomance yako.

Mchaga angekuwa mtu wa kutegemea ajira.. leo hii wangekuwa mkoa masikini kuliko mkoa wowote. wangekuwa fukara wa kutupwa
 
Wamesoma Sana,sio kama hizi mburula za pwani,sumbawanga etc etc etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…