Arusha na Kilimanjaro kuna shida? Kila kiongozi kwao ni mbaya?

Duj
 
wakati wengine wa mikoa mingine wakisema Mungu amemshusha Dikteta kututoa misri kwenda Israel Nchi ya ahadi.
Hebu acha unafiki kama wewe unajitambua, kama bado teenage sawa endeleza unafiki.

Yule askofu 'Bagonza' aliye kuwa anamponda late Pombe mbona humtaji au anatoka kaskazini?.

Na yule aliyetaka kufukuzwa nchini je?.
 
Siku kukiwa na ujenzi, angalia kamati ya ujenzi ilivyo. M/kiti akiwa mchaga tu jueni mkandarasi atafutawa moshi.
Kabisa!

Na mchungaji au Mwinji akiwa mchaga jueni mhasibu na mweka hazina lazima awe mchaga!

Wana shida sana hawa watu.
 
Hajasema haendi bali anasema lazima awekwe mchaga kwa misingi ya kikabila. Na ili hata kupiga 10% iwe rahisi.
 
Kwa hiyo unahisi hao vijana wa kichaga hatuko nao huku mitaani wao wana sehemu yao wanaishi?
 
Jamaa wanaangalia maslahi tu. Hata haya mashirika ya waroma wao wenyewe ndio wako juu. Wakipewa msaada wa kujenga shule badala ya kuangalia penye uhitaji Ila bado wanaenda kujenga huko Rombo kwa mama Bureta jamani na watafugiamo kuku Sasa.
Na huku Kuna mahali watt wanasomea za matope.yaani hakuna Cha dini Wala nini suala la kupiga dili tu kwenda mbele
 
Huko ndio canan nchi ya asali n maziwa,ndipo elimu ilipoanzia na machief wao walienda shule,huko kwenu mlilowea kwenye ulonzi
 
Hajasema haendi bali anasema lazima awekwe mchaga kwa misingi ya kikabila. Na ili hata kupiga 10% iwe rahisi.
DG wa shirika si mchaga.. ni mtu wa nyanda za kati.. msaidizi wake mtu wa mbeya..
wakuu wa idara wako almost 8. wawili tu ndio wachaga.
kama top management si wachaga.. wamewekwaje hapo?
 
Hakika
 
Hiyo mikoa wanataka mtu anayesikiliza mawazo ya watu,kujadili Mambo ya maendeleo,kiongozi akija Kama ni Mambo ya maendeleo yasiyo na ubaguzi wapo tayari hata kuchangia,siyo unakuja unaleta tu mawazo yako ya kijinga na Mambo ya kujimwambafay tunakuingiza chocho
 
Wachagga ni wabinafsi, wanafiki, wenye dharau, na wabaguzi sana ...chunguza hata hapa we angalia tu post zao ni rahisi uwatambua utaona .."wanaojitambua", "Akili mingi", " Wenye hela", "ELIMU ELIMU", "Wajanja", "Wasomi wa kweli", "New York ya Africa" na kauli zingine za tambo na kinafiki.
 
Wachagga ni wabinafsi, MKE WANGU NI MCHAGGA HUWA NAONA ELEMENT ZA KIPUUZI SANA. KINACHOMSAIDIA NI KWAKUWA ALIBADILI DINI KUWA MUISLAM NDIO NAKOMAA NAE KIBISHI.
Ila akili zao wanazijua wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…