Arusha na Kilimanjaro kuna shida? Kila kiongozi kwao ni mbaya?

Ikulu wataendelea kuisikia kwenye magazeti.

Waendelee tu kuuza mitumba kwa kweli...
 
Wakipelekwa Kwa Lengo la kubomoa na kuumiza watu wasisemwe? Mbona Siha, Moshi Mjini na Vijijini hatujasikia ya Hai? Shida ilikuwa kummaliza FM tuu. Nokia hii watu wako Peace, Wapendwa Maendeleo na kujituma. Ndio mikoa ambayo Wanafunzi kuanzia Msingi wanakula Lunch
 
Hoja zimeenda skonga kabisa....
Kaskazini hamna ujinga, usisahau ujinga ndio mtaji wa ccm.
kwa hiyo mikoa mingine ni wajinga.........
kwa hiyo amuoni huu ujinga wa kuamini hivi ndio unawafanya mjione ninyi ni special sana kumbe sivyo...
 
kwa hiyo mikoa mingine ni wajinga.........
kwa hiyo amuoni huu ujinga wa kuamini hivi ndio unawafanya mjione ninyi ni special sana kumbe sivyo...
Rafiki angu nakusalimia katika jina la jamhuri.... mbona msg angu kule hukuijibu 😁

Point of correction: hapo kwenye nyie mimi ni kama wewe na unajua 😁, mi mtu wa rock city lakini kaskazini nawakubali sana kwenye swala zima la kujielewa na kudai haki zao.

Hebu weka siasa pembeni, kanda ya kati Dom specific ni ngome za chama miaka rudi miaka nenda palifanywa nini????
Narudia tena ujinga na umasikini ni mtaji wa chama
 
Kuna RC mmoja mtu wa usalama alikua anaitwa ntibenda nadhani aliwahi kua DC karatu pia huyu jamaa nadhani ni mtu wa kibondo alipendwa sana Arusha hakua na mambo ya kishamba hakubagua wapinzani, alipoondolewa Arusha watu walisikitika sana
 
Matako wewe
Unaongea uongo mweupe kabsaa mchana jua linawaka
Pumbavu mkubwa wewe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kama kuna kaukweli fulani hivi.
 
wapi uko mwl sikujibu sms? kwa hiyo kule kwingine paliendelea kwa kuwa si ngome ya chama? kwa hiyo chama hicho hicho kilicho kataliwa kikapeleka maendeleo uko?
 
Siku hizi sitaki kabisa mambo ya kuzungumza kwa mafumbo. Una maana hujui ukabila wa kanda hiyo? Tatizo umekosea kidogo; Tatizo liko Kilimanjaro na ni zile wilaya za uchagani. Mbona hili tumelijadili miaka mingi? Ni wabaguzi tangu kijijini hadi mkoani. Hadi makanisani padri lazima awe mchaga. Nilisoma pale Moshi eti tunatangaziwa kanisani mwenzao kanunua mabasi ya kuelekea Dar na Moro, tumuunge mkono. Waalimu kodisheni magari ya mwenzetu, bhala bhla! za ukabila ni kila kona.

Fika vijiji vya wachaga, angalia waalimu ktk shule za msingi hadi sekondari. Waalimu ni wachaga, hawataki kabila jingine. Angalia watendaji wa vijiji na kata. baada ya hapo sasa kuna wakuu wa wilaya na mkuu wa mkoa. Hawa ni wateule wa rais na wana vyombo vya mabavu. Hawana ubavu nao, lakini wananchi wanawaona kama ni wavamizi. Wanataka nao wawe ni wachaga!! Mpuuzi mmoja akikamatwa na vyombo husika kelele zinapigwa toka kwenye paa za nyumba; Tunaonewa! tunanyanyaswa! .......
 
Akili Mingi so watawala wajinga hawawakubali mambo kama hayo nafanyie Songea huko ambako kwao cccm wanaona kama mungu
Sijawahi soma na mchaga akaonesha ni genius. chuo Kikuu nilichoshuhudia ni waalimu wa kichaga kutoa marks za bure kwa wanafunzi wa kichaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…