Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Anae manage vyanzo vya maji ni nani? Anae gawa maji mjini ni nani?Kushindwa kuondoa flouride kwenye maji inaonesha kwamba hawana elimu.
Ile dhana ya kwamba eti wameelimika ni urongo mtupu!
Hawajaelimika ndio maana majino mekundu bwashee!
Unaandika ukiwa wapi?? Usije kuwa wewe ni sukumagangAaawapi!! ukabila na kijicho ndicho kinasumbua majimbo hayo
Mama Mghwira alipata shida sana hakuwa mtu wakuongea ongea sana, hata Rais aliongea siku zileSi kweli, Mama Mghwira alikua na tatizo na nani? Meck Sadiki? Acheni unafiki
naona unapindisha maneno yangu.Wanafanikiwa kwa kupora na kutapeli.
Mbona umeshajijibu sasa? Ama?
Fuatilia ripoti ya majizi na matapeli ya mjini, asilimia 90 ni wachaga.
Akina Mushi, masawe, kimboka, manka...
Ukisikia tu "aseee babaangu".... ujue tayari kumekucha... JIZI hilo.
Mbowe si ni mbunge wa huko uchagani?Anae manage vyanzo vya maji ni nani? Anae gawa maji mjini ni nani?
Simple Kupitia idara Ya maji ambayo ni chombo cha serikali. Serikali imeajiri wataalam wa maji..
Ambao kimsingi top management yote si wenyenyeji.
unataka kusema serikali ilifeli?
Wewe elewa hivyo mangi.unaweza kuni direct hiyo report inayodai 90% ya wahalifu ni wachaga?
lakin pia ningependa kujua imefanywa na taasisi gani au nani? lini? methodies gani zilitumika?
naona unachanganya mafile hapa. Mbowe ni mbunge wa hai.. si mbunge wa arusha.Mbowe si ni mbunge wa huko uchagani?
Alikuwa mjumbe wa halmashauri za huko toka enzi na enzi, mbona hakuwasaidia kuondoa flouride!
Akina mrema, sijui Lema...na wachaga wenzao wale...
Shida ni elimu duni!
Hata wachaga pia mna mijino.naona unachanganya mafile hapa. Mbowe ni mbunge wa hai.. si mbunge wa arusha.
Arusha ndio wenye shida ya maji yenye flouride.
Acha uongo na utotoMama Mghwira alipata shida sana hakuwa mtu wakuongea ongea sana, hata Rais aliongea siku zile
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Kama yule aliyeng'oa bustani ya mboga mboga.Unapoelekea panaeleweka. Toa mifano ya walioonewa. Isijekuwa wanapelekwa kwa lengo maalum lililofichika, wenyeji wanawagudua.
Pumbavu kweli, alisumbuliwa na Wana CCM kwakua yeye alitokea upinzani, pimbi mkubwa weweSamia alisema wazi Mghwira alipata taabu kukubalika, Sadiki yeye alikuwa bora siku zipite. Gama hakutaka upuuzi wenu alipigiwa kelele sana eti wachaga wakitaka haki ya kufyeka misitu ya kilimanjaro. Wachaga tunawajua.
actualy hakuna latest data kama hizo kwenye tovuti ya jeshi la polisi.Wewe elewa hivyo mangi.
Kasome kwenye website ya mapolisi wameweka data za majizi.
Akina massawe wamejazana mule.
[emoji23][emoji23][emoji23] tanturum and blame shifting.Hata wachaga pia mna mijino.
Alikuwa wrong....kwahiyo baba mwenye nyumba, wewe unakubali kwamba JIWE waziwazi alisema kilimanjaro isubiri kwanza maendeleo?
Ni sawa kweli?