Arusha: Ole Sabaya na wenzake wamefikishwa Mahakamani, kesi yaahirishwa
Tunacho taka vyombo vyetu vifanye kazi kwa weledi, kamwe visikubali kuendeshwa ama kusukumwa na maneno ya vijiweni, majungu, fitina na chuki za kisiasa.

Sheria zizingatiwe, tusiongozwe na hisia au dhana.
Sawa vitatenda haki kwake kama vilivyotenda haki kwa akina Rugamarila sawa na uamsho. Huyo ksbb alikuwa kiongozi jambazi upelelezi wake unaweza kuchukua miaka 9 hivi. Kwa hiyo usijali mkuu upelelezi bado sana.
 
Jeshi la Polisi lisiruhusu mikusanyiko na zomea zomea kama ilivyo jitokeza leo hii nje ya mahakama.
tukiruhusu hali au tabia kama hiyo iendelee ni hatari sana kwa usalama wa watu wengine ambao huenda ni washabiki wa mtuhumiwa sabaya, maneno yanayo tolewa na kundi hilo la watu yanaweza kuchochea hasira kwa wengine na kusababisha vurugu kutokea au hata watu kuumizana.
wakati mwengine tusiruhusu watu kuleta ushabiki na kupiga mayowe na kutoa lugha za kukashifu ktk maeneo ya mahakama.
Wananchi wanapeleka ujumbe kwa Rais na DPP, na Hamduni, kuwa wamefurahishwa na kazi zao ,

Na hii pia ni ujumbe kwa mh. Rais na wakuu wa sheria, wasipindishe chochote kwenye ayo mashtaka ya uyo Jambazi ,kila kitu kipo dhahiri na ushaidi upo wazi kabisa,kwaiyo uyo jambazi wa kimataifa apate hukumu stahiki ya miaka 60 jela,
 
Haiondoi ukweli kuwa kashanyea debe. It has stick a bad spot the rest of his life. Yaani hapa wanyonge halisi tumeshashinda huo mtanange hata akitolewa kesho.
Nani kasema atatolewa kiwepesi ivyo???? Sabaya aliekuwa anampa kibri Ni yule mwehu, Sasaivi acha anyooshwe mbwa uyo
 
Nilijua tu lazima umtaje bi kirembwe maana bila kumtaja mimba yake aliyokuachia ingesababisha utapike siku nzima ya leo
kijana tafuta TOP mwingine, Sabaya hatoki tena akiwa mzima, aliekuwa anampa jeuri alishasemaga dawa ya jambazi Ni moja tuuu(hukumu ya kifo Cha namna yoyote ile, hakuna kulea ujambazi kweny utawala huu wa Mama Samia
 
naona unajifariji, msionacho mna tabu sana,uyo bwana ako Sabaya Lazima akajazwe mimba kisongo, ndio Atajua Kuna wenye Nchi sasa,yule chizi sialikuwa anampa kiburi uku kaskazini,

naona wewe ndio ulikuwa mpambe wake wakuzulula nae kwenye madanguro na kwenye maduka ya watu kuiba, na Lazima afie jela kabla ya hukumu, take it from me japo inauma sanaaa,ila pigia mstari ilo kijana,

Samia anataka aongoze Nchi bila majambazi Kama Sabaya,
na ana mashtaka mengine yakuichafua UN kwenye ujambazi wake,yashakuwa tayari yatajumlishwa,
uyo anafia jela 100%✓✓
Muda ndo utaongea huoni suti na diary kabisa.nyie bavicha endeleeni kupiga kelele Ila soon hamtaamini.
 
Muda ndo utaongea huoni suti na diary kabisa.nyie bavicha endeleeni kupiga kelele Ila soon hamtaamini.
Sabaya anafia jela dada, tafuta tu bwana mwingine usijipe matumaini hewa umesikia!!? Uyo Ni jambazi hawezi kuachiwa atahatarisha usalama wa wawekezaji, dhulma ya magufuli atailipia yeye
 
Tunacho taka vyombo vyetu vifanye kazi kwa weledi, kamwe visikubali kuendeshwa ama kusukumwa na maneno ya vijiweni, majungu, fitina na chuki za kisiasa.

Sheria zizingatiwe, tusiongozwe na hisia au dhana.
Umeyajua haya Leo?
 
Back
Top Bottom