Arusha: Ole Sabaya na wenzake wamefikishwa Mahakamani, kesi yaahirishwa
Wananchi wanapeleka ujumbe kwa Rais na DPP, na Hamduni, kuwa wamefurahishwa na kazi zao ,

Na hii pia ni ujumbe kwa mh. Rais na wakuu wa sheria, wasipindishe chochote kwenye ayo mashtaka ya uyo Jambazi ,kila kitu kipo dhahiri na ushaidi upo wazi kabisa,kwaiyo uyo jambazi wa kimataifa apate hukumu stahiki ya miaka 60 jela,
sasa kama wananchi wanatoa hukumu kwa sabaya kazi ya mahakama ni ipi?
Sabaya bado ni mtuhumiwa mpaka pale mahakama itakapo amua baada ya kupokea ushahidi, sasa hicho kikundi kinacho zomea na kutukana hapo nje ya mahakama ndio sahihi?
Mahakama na Polosi hawapaswi kuachilia vitendo vya kihuni vikifanyika ktk maeneo ya mahakama, hiyo ni dharau na kuishinikiza haki bila kufuata utaratibu.
vitendo hivyo vichialiwe.
 
Wananchi mwizii mwizii....
 
Na yeye alivyokuwa anatufanyia vitendo vya kizandikizi miaka yote hiyo mahaka ipi iliingilia kati? miaka yote hiyo hadi leo, kweli? Haki imechelewa sana.

Sasa ale alichokipanda, yana unatoka nje ya mipaka ya mamlaka yako "area of jurisdiction" na kwenda kufanya uwizi sehemu nyingine afu ubaki salama
 
Tunacho taka vyombo vyetu vifanye kazi kwa weledi, kamwe visikubali kuendeshwa ama kusukumwa na maneno ya vijiweni, majungu, fitina na chuki za kisiasa.

Sheria zizingatiwe, tusiongozwe na hisia au dhana.
Kweli.Wasimhurumie huyu jambazi kisa ni mwana CCM.
 
sasa kama wananchi wanatoa hukumu kwa sabaya kazi ya mahakama ni ipi?
Sabaya bado ni mtuhumiwa mpaka pale mahakama itakapo amua baada ya kupokea ushahidi, sasa hicho kikundi kinacho zomea na kutukana hapo nje ya mahakama ndio sahihi?
Mahakama na Polosi hawapaswi kuachilia vitendo vya kihuni vikifanyika ktk maeneo ya mahakama, hiyo ni dharau na kuishinikiza haki bila kufuata utaratibu.
vitendo hivyo vichialiwe.
Icho kikundi Ni Cha Wana CHADEMA mkuu. wananchi wenye akili zao timamu hawawezi kufanya huo ujinga
 
kwa trend hii ya mama hawa tumbili wanaamini sabaya atafungwa[emoji38][emoji38].

ni afadhali utolewe ubongo kuliko kuwa mfuasi wa chadema haki ya Mungu.
 
Back
Top Bottom