mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Duuh kweli akufaae wakati wa dhiki ndie rafiki. Unamnanga kada mtiifu mwenzako badala ya kumpa moyo?
Alinangwa lowasa sembuse sabaya🙄🙄 CCM inajengwa siku baada ya siku....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh kweli akufaae wakati wa dhiki ndie rafiki. Unamnanga kada mtiifu mwenzako badala ya kumpa moyo?
Pole sana, bahati nzuri hatujuani humu dada, nna uwezo wakukulisha wewe Hadi vitukuu vyako,Ficha ujinga wako!
Masikini mkubwa we
Nilijua tu lazima umtaje bi kirembwe maana bila kumtaja mimba yake aliyokuachia ingesababisha utapike siku nzima ya leo
Masikini anajukikana tu mienendo yake.Pole sana, bahati nzuri hatujuani humu dada
Achana nae huyo matatizo ya kupewa mimba na wajomba zao.Sasa vp bi.kirembwe amuchie mwanaume mimba???au kwenu mama ni baba na baba ni mama????
Ukidhalilisha watu nawe jiandae kuaibishwaUovu hauhitaji semina. Dhamiri safi kila mtu kaumbwa nayo
Achana nae huyo matatizo ya kupewa mimba na wajomba zao.
DPP huwa ana bargain robbery sio?Huoni kama hayo ni maandalizi ya kesi kufutwa
Sabaya atalipa faini kwa DPP na kurudi kumzodoa mbowe kama kawaida
Eti!!!, naona unajifariji , msionacho mnapenda kujitutumua sana, wenzio tuna vyote Sasa Lofa weweMasikini anajukikana tu mienendo yake.
uyo anaenda kuchezea miaka 60 jelaAtaanza kubeba na biblia siku sio nyingi. Alijisahau sana wacha nae aonje ch Moto akae kama wale masheikh wa uamsho halafu atoke ndio atakuwa na adabu maana alizidi sana .
Robbery sio miongoni mwa mashtaka yalio katika iyo sheria ya plea bargain,DPP huwa ana bargain robbery sio?
Narudia masikini anajulikana kwa mienendo yake tuEti!!!, naona unajifariji , msionacho mnapenda kujitutumua sana, wenzio tuna vyote Sasa Lofa wewe
Halafu baba yake mwendazake alikataza mahabusu kupelekewa vyakula kutoka nyumbani. Kweli sometimes mchimba kaburi huingia mwenyewe!Hapa ndo kuna swali "Sabaya ambaye Suti aliyoivaa leo inaonekana kumpwaya".Ndugu mleta mada ungesema 'amekonda' na sio "suti Kupwaya". Labda tu walio karibu nae wamshauri hayazoee tu maisha ya Ugali kwa Maharage maana Hakuna namna.
Acha azomewe kabisa, mwiz mkubwaMwizii mwizii......Aisee maisha si mchezo.
View attachment 1822564
😁😁 Ahsante studio....Mwizii mwizii......Aisee maisha si mchezo.
View attachment 1822564
Na alisema serikali haitoi chakula, hata mahabusu wakalime pia.Halafu baba yake mwendazake alikataza mahabusu kupelekewa vyakula kutoka nyumbani. Kweli sometimes mchimba kaburi huingia mwenyewe!
naona unajifariji, msionacho mna tabu sana,uyo bwana ako Sabaya Lazima akajazwe mimba kisongo, ndio Atajua Kuna wenye Nchi sasa,yule chizi sialikuwa anampa kiburi uku kaskazini,Narudia masikini anajulikana kwa mienendo yake tu