Tunacho taka vyombo vyetu vifanye kazi kwa weledi, kamwe visikubali kuendeshwa ama kusukumwa na maneno ya vijiweni, majungu, fitina na chuki za kisiasa.

Sheria zizingatiwe, tusiongozwe na hisia au dhana.
Sawa vitatenda haki kwake kama vilivyotenda haki kwa akina Rugamarila sawa na uamsho. Huyo ksbb alikuwa kiongozi jambazi upelelezi wake unaweza kuchukua miaka 9 hivi. Kwa hiyo usijali mkuu upelelezi bado sana.
 
Wananchi wanapeleka ujumbe kwa Rais na DPP, na Hamduni, kuwa wamefurahishwa na kazi zao ,

Na hii pia ni ujumbe kwa mh. Rais na wakuu wa sheria, wasipindishe chochote kwenye ayo mashtaka ya uyo Jambazi ,kila kitu kipo dhahiri na ushaidi upo wazi kabisa,kwaiyo uyo jambazi wa kimataifa apate hukumu stahiki ya miaka 60 jela,
 
Haiondoi ukweli kuwa kashanyea debe. It has stick a bad spot the rest of his life. Yaani hapa wanyonge halisi tumeshashinda huo mtanange hata akitolewa kesho.
Nani kasema atatolewa kiwepesi ivyo???? Sabaya aliekuwa anampa kibri Ni yule mwehu, Sasaivi acha anyooshwe mbwa uyo
 
Nilijua tu lazima umtaje bi kirembwe maana bila kumtaja mimba yake aliyokuachia ingesababisha utapike siku nzima ya leo
kijana tafuta TOP mwingine, Sabaya hatoki tena akiwa mzima, aliekuwa anampa jeuri alishasemaga dawa ya jambazi Ni moja tuuu(hukumu ya kifo Cha namna yoyote ile, hakuna kulea ujambazi kweny utawala huu wa Mama Samia
 
Muda ndo utaongea huoni suti na diary kabisa.nyie bavicha endeleeni kupiga kelele Ila soon hamtaamini.
 
Muda ndo utaongea huoni suti na diary kabisa.nyie bavicha endeleeni kupiga kelele Ila soon hamtaamini.
Sabaya anafia jela dada, tafuta tu bwana mwingine usijipe matumaini hewa umesikia!!? Uyo Ni jambazi hawezi kuachiwa atahatarisha usalama wa wawekezaji, dhulma ya magufuli atailipia yeye
 
Tunacho taka vyombo vyetu vifanye kazi kwa weledi, kamwe visikubali kuendeshwa ama kusukumwa na maneno ya vijiweni, majungu, fitina na chuki za kisiasa.

Sheria zizingatiwe, tusiongozwe na hisia au dhana.
Umeyajua haya Leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…