Mm wito wangu kwa viongoz tuisisitize serikal iboreshe magereza yetu jaman watu wanateseka jaman huko ndan

Mnaweza ona Kama utani lakn UKWEL kwamba mm au wewe n wafungwa watarajiwa

Hivi sabaya katika utawala wake alishawah fikiria Leo anaweza kuwa huko ?

Kwa mwanasiasa maneno yangu anaweza dharau maneno yangu lakn baadh yao yanawakuta haya wakat walpokuwa na madaraka wangeweza changia hii hoja

HAMIS KIGWANGALA NAKUOMBA ULIPIGIE KELELE HILI HUKO BUNGENI N KWA NIA NJEMA TU
 
Tunacho taka vyombo vyetu vifanye kazi kwa weledi, kamwe visikubali kuendeshwa ama kusukumwa na maneno ya vijiweni, majungu, fitina na chuki za kisiasa.

Sheria zizingatiwe, tusiongozwe na hisia au dhana.
Kwani kasingiziwa?
 
Yote tisa kumi hili kosa ni balaa, dogo akizubaa anakula mvua za maisha!! yaani inaitwaga niagieni, iagieni!
Anapigwa 30 za Armed afu anaendelea sikilizia hizo zingine
 
Hivi mbona watu walikuwa wanazomea yy anapunga mkono[emoji134]

Nadhani amepagawa alikuwa anazomewa ila mwenye suti nyeusi naona aliwapungia mkono sasa sijajua kama alikuwa anawaaambia watulie au alikuwa anaitikia zomea zomea yao! Na je ni mlinzi aliyeunganishwa na sabaya au askari kanzu wa magereza?
 
CCM mbona kimya hivyo? huyu si ni mwanachama wao.
Mkuu@FUSO ,majambazi, mafisadi na masadist Tanzania yetu wote wana kadi za CCM. Kadi za CCM ndio kinga kwa wahalifu wote.
 
Nyakati hizi ni za utawala wa sheria
baada ya jamaa kutuvurugia mifumo yote, sasa taratibu tunaanza kurudi kwenye kitu inaitwa "rule of law" inatia moyo walau.
Kijana Sabaya atakuwa anakumbuka ule wimbo wa "...enzi za uhai wake babaa.......maisha yalikuwa..."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…