Pole mfuasi wa mwendazake, msipokubali ukweli kuwa ile maiti hairudi basi mtapata tabu na mtakosoa kila kitu.
Kama mnampenda sana jiueni mfe mumfuate motoni.
Kweli hizi ni zama zingine. Enzi za JPM upumbavu kama uliotokea hapo Mahakamani Arusha usingeweza kutokea. Lakini wewe endelea kuyashabikia, siku mkeo akipigwa mtungo mbele yako na ukawa huna la kufanya zaidi ya kumuuliza "wamekuumiza sana?" ndio utajua JPM alikuwa nani nchi hii. Wacha sisi wengine tuendelee kumlilia JPM!!!!
 
Tuliza kipago hicho, safari hii hata mkif*rwa mtalalamika kwa sababu mwendazake hayupo.
 
Matendo waliyoshuhudia,na pia wametoa somo kwa wapandisha mabega wote.
 
Unawazungumziwa vipi waliopigwa misumati na sabaya kudhurumiwa na kubakwa uku shujaa wa afrika akimfumbia macho na masikio huyo mwendazake wewe utamkumbuka kwa mazuri kama alivyokuamuru na wengine watamkumbuka kwa mabaya yake
 
Hakuna wa kumfunga Sabaya, hayupo, ispokuwa Sabaya ndo defense ya CCM right now ..... Na wanajua thamani yake , jamaa atakuja kuwa kiongozi mkubwa Sana mbeleni
 
Mwendazake ndiye alikuwa na hiyo β€œtendency” ya kuacha wafanye ujambazi na lolote wanalotaka dhidi ya wananchi kwasababu tu anamdhibiti Mbowe. Nyie ndiyo mnataka issue hii ionekane ya kisiasa kwa kusema kuwa eti ujambazi wake na ukatili ni suala bora kabisa kwasababu amemtendea Mbowe ushenzi.

Hili siyo jambo la kisiasa, na kamwe halitachukuliwa kuwa ni la kisiasa. Malalamiko ni ya wananchi wengi tu kuanzia Arusha hadi Hai na Moshi. Huko kote Mbowe anahusikaje?

Musitake kum β€œcorrupt” Mama Samia, kwa kutumia siasa dhidi ya Mbowe ili huo ukatili wake na tuhuma zake ziondolewe. Njama zenu ziko wazi tu kwa waelewa.
 
Mimi nimeelewa Kuwa hiyo comment ina maanisha mafisadi na watu wenye pesa wako tiari kwenda kuhonga vikundi ili vimzomee sabaya
Huo ni mwanzo siku akihukumiwa,mji mzima utalipuka kwa shangwe.
 
Wanasema mtapata tabu Sana,bora myakubali matokeo.
 
Hakuna wa kumfunga Sabaya, hayupo, ispokuwa Sabaya ndo defense ya CCM right now ..... Na wanajua thamani yake , jamaa atakuja kuwa kiongozi mkubwa Sana mbeleni
Kumbe ni kweli kuwa ccm ni chama cha majambazi? Hao walifanya uharamia na ukatili wanavyotaka, na kitu kiliwalinda na kupata sapoti ya mwendazake, ni Mbowe. Maana jamaa alikuwa akimchukia vibaya mno. Na pia aliwachukia sana wqchagga yule mwendazake. Hilo Mbona liko wazi?

Lakini Mama hayuko hivyo. Mnataka mumuingize Chaka bila ya kufahamu kuwa zama hizi ni mpya siyo zile za jiwe tena. Maana mlikuwa mkiendesha magenge ya uhalifu kwa raha zenu huku mkimtumia mwendazake.
 
Hivi kwa nini haupendi kujifikirisha zaidi ya hapo?
-kwamba Mbowe anamshughulikia Ole Saambaya?
-Kwamba mji mzima wa Hai una chuki binafsi tu na jamaa yako Saambaya?
-kwamba Wachaga hawampendi tu Saambaya bila sababu?
-kwamba Mama Samia amewasikiliza Mbowe na Wachaga ili amsumbue tu jamaa yako Saambaya?
-kwamba wote wanaotoa ushuhuda wa madhila waliyotendewa(akiwemo yule mheshimwa diwani)ni urongo na tena ni mwana CCM mwenzenu?
-kwamba Wachaga na Mbowe walimuonea gere sana Ole Saambaya kwa kupewa dhamana ya kuwa DC wa Hai?
-kwamba hata msanii/wasanii wanaotufungua kwamba jamaa yako ni mbakaji nalo hupendi kuelezwa?
--kwamba picha zinazomuonesha akivamia makazi na maeneo ya biashara akiwa na genge lake wakiwakoyonga,kupora,kutesa na kuteka watu ni urongo sana?
Jitahidi utumie basi huto tu-akili twako ulitobakiwa kufikirifikiri vema.
 
Umeandika upuuzi mtupu!
 
JF inazidi kupoteza hadhi yake kila kunapokucha, katika mashtaka aliyosomewa Sabaya kuna kosa la ubakaji?
 
swali zuri sana ila ungeuliza au nikuulize wewe kwanini unafikiri alizomewa? hapo ndipo utatibu tatizo,tibu chanzo utaepusha matokeo!
 
Niwaulize nyie Mataga mnaotumia makalio kufikiri, Mbowe ndio amemfungulia mashtaka? Serikali imehama Kutoka mikononi mwa CCM inaendeshwa na CDM?

Jambazi hata ukilipa wadhifa wa Askofu au Mufti bado litaiba tu tena Kwa kasi zaidi Kwa kutumia nguvu ya ofisi hiyo.
Kwa kifupi tulikabidhi nchi genge la majambazi hatari.
Ashukuriwe Mungu atendaye maajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…