Habari wadau..!
Nimefuatilia kesi ya Sabaya nikaona imejawa vichekesho na maigizo kama bongo movie yaani inaanza lakini unajua wapi itaishia.
Hii inatokana na jinsi mashitaka aliyopewa Sabaya yamekaa kichuki chuki tu zidi yake .
Unaaambia mkuu wa wilaya kabaka haiiingii akilini hivi hawa mabinti wa siku hizi walivyo mserereko hata kwa kiyepe yai ,yaani mkuu wa wilaya amtake demu usawa huu harafu demu akatae anapata wapi huo ujasiri wa kumkatalia mkuj wa wilaya nani mwenye uthubutu wa kupiga teke kapo la hela.
Unaambia mkuu wa wilaya kafanya ujambazi kakwapua 30,000/ = na 300,000/= haiingii akilini ,ni uzushi mtupu .Hakuna mkuu wa wilaya mwenye njaa ya kahela kama hacho.
Hizi ni chuki za Mbowe baada ya kudhibitiwa na kijana mdogo na kuukosa ubunge leo anataka kulipiza kisasa kwa Sabaya kwa njia nyingine.
Ila soon ukweli utawekwa wazi ,siku zote wanakwambia uongo unapanda lift lakini ukweli unakuja na bajaji[emoji23][emoji23][emoji23]
Mjiandae kisaikolojia [emoji23][emoji23]
View attachment 1823420