Kwani Mbowe ndio kafungua mashitaka au serikali ? Hv mataga huwa mnafikiria kutumia Nini wenye kutendewa uovu bado hata hawajatoa ushahidi subiri mahakama ifanye kazi na hata wakimwachia Kama aliyafanya haya yote yanayosemwa mungu atadili nae amini usiamini mungu anaweza yote time will tell.
 
Kubali tu kuwa ume- loose ili uachane na hizo denial zenu! He had gone forever! Swala la alikuwa Nani tuambie wewe maana wengine watakupa majibu yatakakupeleka kwenye depression na ukafa kweli! Let it go ili usonge mbele!
 
Hakuna wa kumfunga Sabaya, hayupo, ispokuwa Sabaya ndo defense ya CCM right now ..... Na wanajua thamani yake , jamaa atakuja kuwa kiongozi mkubwa Sana mbeleni
Una ndoto nzuri....ndoto.
 
Uliwahi kufikri kama hao wanaoachiwa sasa hivi wangeachiwa kwa makubaliano na DPP?
 
Eti suti kupwaya
 
Hakuna wa kumfunga Sabaya, hayupo, ispokuwa Sabaya ndo defense ya CCM right now ..... Na wanajua thamani yake , jamaa atakuja kuwa kiongozi mkubwa Sana mbeleni
Kiongozi wa watu ama wa nani.
 
Uliwahi kufikri kama hao wanaoachiwa sasa hivi wangeachiwa kwa makubaliano na DPP?
Kwa hiyo anza kujichanga ili akipata nafasi ya kulipishwa fine ,uweze kumrejesha uswahilini.
 
Kila kitu kitampwaya hadi nguo za ndani.
 
Kubali tu kuwa ume- loose ili uachane na hizo denial zenu! He had gone forever! Swala la alikuwa Nani tuambie wewe maana wengine watakupa majibu yatakakupeleka kwenye depression na ukafa kweli! Let it go ili usonge mbele!
Today is built on yesterday and tomorrow is under today. We never forget the past dude. We live it!
 
Kila kitu kitampwaya hadi nguo za ndani.
Mkandarasi mmoja wa barabara mhindi alishiriki na sabaya kuihujumu serikali. Sabaya anateseka mwenyewe gerezani Ila mhindi anaponda raha mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…