peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kuna kila uwezekano Lengai ole sabaya kuzomewa na wananchi kwa unnyama alioufanya Hadi wa kuhasi binadamu.pili hakuzomewa akiwa ndani ya mahakama . Ushauri mdogo,sabaya kuishi jela ni hauweni kwake,uraiani raia watamfanya hakunaNobody is Guilty until proven by the Court. why waliruhusu azomewe??