Arusha: Ole Sabaya na wenzake wamefikishwa Mahakamani, kesi yaahirishwa
Kwani Mbowe ndio kafungua mashitaka au serikali ? Hv mataga huwa mnafikiria kutumia Nini wenye kutendewa uovu bado hata hawajatoa ushahidi subiri mahakama ifanye kazi na hata wakimwachia Kama aliyafanya haya yote yanayosemwa mungu atadili nae amini usiamini mungu anaweza yote time will tell.
 
Kweli hizi ni zama zingine. Enzi za JPM upumbavu kama uliotokea hapo Mahakamani Arusha usingeweza kutokea. Lakini wewe endelea kuyashabikia, siku mkeo akipigwa mtungo mbele yako na ukawa huna la kufanya zaidi ya kumuuliza "wamekuumiza sana?" ndio utajua JPM alikuwa nani nchi hii. Wacha sisi wengine tuendelee kumlilia JPM!!!!
Kubali tu kuwa ume- loose ili uachane na hizo denial zenu! He had gone forever! Swala la alikuwa Nani tuambie wewe maana wengine watakupa majibu yatakakupeleka kwenye depression na ukafa kweli! Let it go ili usonge mbele!
 
Hakuna wa kumfunga Sabaya, hayupo, ispokuwa Sabaya ndo defense ya CCM right now ..... Na wanajua thamani yake , jamaa atakuja kuwa kiongozi mkubwa Sana mbeleni
Una ndoto nzuri....ndoto.
 
nitakunya kariakoo hadi ubungo. huyu kwanza uongozi wa umma asahau maisha yake yote. na akishafungwa mtakuja tena hapa kujifariji kuwa kafungwa miaka kidogo. huyu akimaliza arusha moshi wanae tena. kupangua kesi zote ni mpaka mwakani mwezi kama huu na hapo ashanyea ndoo vya kutosha
Uliwahi kufikri kama hao wanaoachiwa sasa hivi wangeachiwa kwa makubaliano na DPP?
 
Kesi inayomkabili Ole Sabaya na walinzi wake imetajwa tena kwenye Mahakama ya Arusha na kuahirishwa hadi July 2 , kwa kile ambacho mwendesha mashitaka amedai upelelezi wake bado haujakamilika .

Sabaya ambaye Suti aliyoivaa leo inaonekana kumpwaya , amerejeshwa rumande ya Kisongo akisubiri kesi itakapotajwa tena .
Eti suti kupwaya
 
Hakuna wa kumfunga Sabaya, hayupo, ispokuwa Sabaya ndo defense ya CCM right now ..... Na wanajua thamani yake , jamaa atakuja kuwa kiongozi mkubwa Sana mbeleni
Kiongozi wa watu ama wa nani.
 
Uliwahi kufikri kama hao wanaoachiwa sasa hivi wangeachiwa kwa makubaliano na DPP?
Kwa hiyo anza kujichanga ili akipata nafasi ya kulipishwa fine ,uweze kumrejesha uswahilini.
 
Kesi inayomkabili Ole Sabaya na walinzi wake imetajwa tena kwenye Mahakama ya Arusha na kuahirishwa hadi July 2 , kwa kile ambacho mwendesha mashitaka amedai upelelezi wake bado haujakamilika .

Sabaya ambaye Suti aliyoivaa leo inaonekana kumpwaya , amerejeshwa rumande ya Kisongo akisubiri kesi itakapotajwa tena .
Kila kitu kitampwaya hadi nguo za ndani.
 
Kubali tu kuwa ume- loose ili uachane na hizo denial zenu! He had gone forever! Swala la alikuwa Nani tuambie wewe maana wengine watakupa majibu yatakakupeleka kwenye depression na ukafa kweli! Let it go ili usonge mbele!
Today is built on yesterday and tomorrow is under today. We never forget the past dude. We live it!
 
Back
Top Bottom