Arusha: Ole Sabaya na wenzake wamefikishwa Mahakamani, kesi yaahirishwa
Mbona wanamuwahisha mapema Sana mahakamani kwann asikae kama miaka 6 hivi kama wazee wa escrow au uhamsho kusubiria ushahidi kukamilika ndipo aanze pelekwa mahakamani.
Ni dalili ya makosa kufutwa na kodi zetu kumlipa fidia
 
Adhabu kabla ya hukumu!
Ile sheria ya uhujumu uchumi inapotungwa nadhani ukawa walitoka nje ,ccm achana iwatafune ..nammisi lisu aliwahi sema waziri wa ulinzi kati ya nchi ya Ghana au kamerun ,alisimamia kutungwa kwasheria ya uchochezi ,MTU wakwanza kutafunwa nasheria hiyo alikua waziri mwenyewe msimamizi....ccm hoyeeeee
 
Mbona wanamuwahisha mapema Sana mahakamani kwann asikae kama miaka 6 hivi kama wazee wa escrow au uhamsho kusubiria ushahidi kukamilika ndipo aanze pelekwa mahakamani.
Nyakati hizi ni za utawala wa sheria
 
Wazee wa arusha hawakopeshi kazomewajee
Unapungui mkono watu wanakuzomea wanakuita mwizi
 
Hapa ndo kuna swali "Sabaya ambaye Suti aliyoivaa leo inaonekana kumpwaya".Ndugu mleta mada ungesema 'amekonda' na sio "suti Kupwaya". Labda tu walio karibu nae wamshauri hayazoee tu maisha ya Ugali kwa Maharage maana Hakuna namna.
Wanampa ugali na maharage?Hiyo ni dharau kwa umma.Apewe saruji atafune.😂😂😂😂
 
Hivi kwanini anaficha uso huyu mtu? kumbe ule ujasiri aliokuwa nao haukuwa wake, ulikuwa wa plastic, leo anazidiwa ujanja na macho ya watu anaona aibu kama mtoto wa kike.

kwan utaka afanyaje mkuu
 
Back
Top Bottom