Arusha: Ole Sabaya na wenzake wamefikishwa Mahakamani, kesi yaahirishwa
Sabaya kwanza unaweza kukuta hakuwa rumande!

Na atawashinda mapema tu! Au ataambiwa alipe faini kwa DPP kama kina SETH

Chama imara kinajijenga kila kuchwao
Wacha Mama Samia ajikusanyie kura za mi15 tena☺☺☺
 
Ujambazi ni miaka 30 au maisha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona wanamuwahisha mapema Sana mahakamani kwann asikae kama miaka 6 hivi kama wazee wa escrow au uhamsho kusubiria ushahidi kukamilika ndipo aanze pelekwa mahakamani.
Iko hivi ,hawa madogo walivokua wanateuliwa wanapewa nyaraka zakazi kisheria lakini kunanyaraka zinatolewaga kwamdomo mfano..nimekuteua kua mkuu wawilaya wilaya ya HAI ,nakutuma hakikisha mbowe na watu wanyuma yake wamekwisha ,nitakulinda...ukiwa mjinga utajikuta husomi hatasheria zinakuongozaje mipaka yako ,utoke Kilimanjaro hadi HAI ,kweli mkuu wilaya
 
NI KWELI KABISA NDUGU NAONA HII KESI KAMA INATAKA KUFIKA TAMATI HALAF TUAMBIWE KAPIGWA FAINI MILLION 20 NA KIFUNGO CHA LULU
 
Kesi inayomkabili Ole Sabaya na walinzi wake imetajwa tena kwenye Mahakama ya Arusha na kuahirishwa hadi July 2 , kwa kile ambacho mwendesha mashitaka amedai upelelezi wake bado haujakamilika .

Sabaya ambaye Suti aliyoivaa leo inaonekana kumpwaya , amerejeshwa rumande ya Kisongo akisubiri kesi itakapotajwa tena .

PICHA: Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake, wakiwasili mahakamani mkoani Arusha kwenye kesi yao, leo Juni 18,2021 Ijumaa
View attachment 1822492View attachment 1822493View attachment 1822494
View attachment 1822496
View attachment 1822497
Kweli nimeamini maisha hayana baunsa
 
Iko hivi ,hawa madogo walivokua wanateuliwa wanapewa nyaraka zakazi kisheria lakini kunanyaraka zinatolewaga kwamdomo mfano..nimekuteua kua mkuu wawilaya wilaya ya HAI ,nakutuma hakikisha mbowe na watu wanyuma yake wamekwisha ,nitakulinda...ukiwa mjinga utajikuta husomi hatasheria zinakuongozaje mipaka yako ,utoke Kilimanjaro hadi HAI ,kweli mkuu wilaya
Ndo madhara ya kuondoa semina elekezi akihisi anabana matumizi kumbe ameleta janga.Sabaya hakujua mipaka ya DC sababu hakuwa na semina elekezi
 
Ni Vizuri ili siku akitoka humo awe na adabu na watu
 
Kesi inayomkabili Ole Sabaya na walinzi wake imetajwa tena kwenye Mahakama ya Arusha na kuahirishwa hadi July 2 , kwa kile ambacho mwendesha mashitaka amedai upelelezi wake bado haujakamilika .

Sabaya ambaye Suti aliyoivaa leo inaonekana kumpwaya , amerejeshwa rumande ya Kisongo akisubiri kesi itakapotajwa tena .

PICHA: Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake, wakiwasili mahakamani mkoani Arusha kwenye kesi yao, leo Juni 18,2021 Ijumaa
View attachment 1822492View attachment 1822493View attachment 1822494
View attachment 1822496
View attachment 1822497
Kujifanya Mzalendo zaidi ameamua kubeba na kitabu cha Historia ya Mwendazake.
 
hata waziri mkuu mstaafu lowasa aligeukwa ndio chadema wakamchukua sembuse sabaya🙄🙄🙄
Sasa sabaya atatoka lini jela ahamie chadema naamini atakuwa moto Sana kuibomoa ccm
 
Kesi inayomkabili Ole Sabaya na walinzi wake imetajwa tena kwenye Mahakama ya Arusha na kuahirishwa hadi July 2 , kwa kile ambacho mwendesha mashitaka amedai upelelezi wake bado haujakamilika .

Sabaya ambaye Suti aliyoivaa leo inaonekana kumpwaya , amerejeshwa rumande ya Kisongo akisubiri kesi itakapotajwa tena .

PICHA: Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake, wakiwasili mahakamani mkoani Arusha kwenye kesi yao, leo Juni 18,2021 Ijumaa
View attachment 1822492View attachment 1822493View attachment 1822494
View attachment 1822496
View attachment 1822497
Ila ipo Siku hukumu itatoka tu

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Tunacho taka vyombo vyetu vifanye kazi kwa weledi, kamwe visikubali kuendeshwa ama kusukumwa na maneno ya vijiweni, majungu, fitina na chuki za kisiasa.

Sheria zizingatiwe, tusiongozwe na hisia au dhana.
Mbona viongozi wa Chadema walipokuwa wakitupwa rumande na kushtakiwa kiuonevu ulijawa na furaha, au furaha siyo hisia?

Na inakuwaje uliona poa tu kushikiliwa kwa James Rugemalila na singasinga wake kwa miaka lukuki huku upelelezi wa 'yanayodaiwa makosa yao' ukiwa haujakamilika?

Acha huyo kenge wa kijivu Ole Saa-mbaya naye spite kwenye njia ya jasho na damu.
 
Back
Top Bottom